Teknolojia
132 subscribers
3.82K photos
4.57K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Unajua Google hutumika zaidi ya bilioni 8 kwa siku? Lakini… huwa unajiuliza inavyofanya kazi? πŸ‘‡πŸ½ Hebu tukufungulie pazia! Google haitumii uchawi – inatumia hatua 3 tu rahisi: 1️⃣ Crawling – kutembelea kurasa zote mtandaoni πŸ•·οΈ 2️⃣ Indexing – kuhifadhi taarifa bora kama maktaba πŸ“š 3️⃣ Ranking – kupanga majibu bora kukufaa wewe 🎯 Mfano rahisi: Ukiandika β€œchai ya tangawizi,” Google hutafuta kurasa zenye maelezo sahihi, ya kuaminika, na bora zaidi. πŸ“² Video hii itakufungua macho – share kwa anayependa kujua jinsi internet inavyofanya kazi!
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Infinix GT 30GT 5G+ πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Hizi ni motoπŸ”₯
@Huduma

πŸ’¨ Chuma kama hii πŸ”₯
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Unatumia Wi-Fi ya bure? Kaa chonjo! VPN ni kama barabara ya siri inayokulinda unapotuma taarifa zako mtandaoni. Hebu tujue VPN ni nini, inafanyaje kazi, na kwa nini unaihitaji hasa ukiwa kwenye Wi-Fi ya umma!
5. βš™οΈ Check APN settings zako:
Wakati mwingine slow speed ni sababu ya Access Point Name (APN) isiyo sahihi.

πŸ‘‰ Nenda Settings > Mobile Network > Access Point Names
β†’ Hakikisha umetumia APN ya kampuni yako (Vodacom, Airtel, Tigo, Halotel n.k.)
2. πŸ“Ά Signal strength vs bandwidth:

Unaweza kuwa na full bars za 4G lakini still ukose kasi.

Hii ni kwa sababu signal ni intact lakini bandwidth (upana wa njia ya data) ni finyu.
4. πŸ”„ Airplane mode hack:
Washa Airplane Mode sekunde 10 kisha uzime.
β†’ Hii inalazimisha simu kutafuta tower mpya (ambayo inaweza kuwa less congested au stable zaidi).

Inasaidia mara nyingi kuliko unavyodhani.
7. πŸ“Location inahesabika:
Ukiwa ndani ya nyumba zenye kuta nzito, basement au kijijini β€” signal inaweza kudanganya (inaonyesha 4G lakini haina nguvu).