Teknolojia
132 subscribers
3.79K photos
4.48K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
▶️ Kama ni Microsoft SwiftKey:
Settings > Languages & input > On-screen keyboard > SwiftKey > Typing > Typing & autocorrect
⚠️ Kila keyboard ina njia yake lakini logic ni ile ile: tafuta sehemu ya 'Text correction' au 'Smart typing'.
Sababu ni settings kama:

Auto-correct

🔮 Prediction strip

🔠 Auto-capitalization

🧠 Personalized suggestions

Zimewekwa default, lakini unaweza kuzima zote kwa dakika 2 tu.
@Huduma

💨 Hawa wadogo zangu sijui wamesikia nini 😂😂 hii wiki wamenicheki

Huyu wakike ndio anamaliza Clinical Medicine mwaka huu na huyu wa kiume ndio yuko mwaka wa kwanza chuoni.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Unajua Google hutumika zaidi ya bilioni 8 kwa siku? Lakini… huwa unajiuliza inavyofanya kazi? 👇🏽 Hebu tukufungulie pazia! Google haitumii uchawi – inatumia hatua 3 tu rahisi: 1️⃣ Crawling – kutembelea kurasa zote mtandaoni 🕷️ 2️⃣ Indexing – kuhifadhi taarifa bora kama maktaba 📚 3️⃣ Ranking – kupanga majibu bora kukufaa wewe 🎯 Mfano rahisi: Ukiandika “chai ya tangawizi,” Google hutafuta kurasa zenye maelezo sahihi, ya kuaminika, na bora zaidi. 📲 Video hii itakufungua macho – share kwa anayependa kujua jinsi internet inavyofanya kazi!
︎ Teknolojia

💨 Infinix GT 30GT 5G+ 🔥🔥🔥

Hizi ni moto🔥
@Huduma

💨 Chuma kama hii 🔥
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Unatumia Wi-Fi ya bure? Kaa chonjo! VPN ni kama barabara ya siri inayokulinda unapotuma taarifa zako mtandaoni. Hebu tujue VPN ni nini, inafanyaje kazi, na kwa nini unaihitaji hasa ukiwa kwenye Wi-Fi ya umma!