Teknolojia
132 subscribers
3.74K photos
4.4K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
๐Ÿงต 3. Zima kila sehemu yenye usumbufu

โœ… Auto-correction โ€” Zima
โœ… Show suggestion strip โ€” Zima
โœ… Next-word suggestions โ€” Zima
โœ… Auto-capitalization โ€” Zima
โœ… Personalized suggestions โ€” Zima

Ukimaliza, hakuna neno litabadilika tena bila ruhusa yako!
๐Ÿงต 6. Kwa nini hii ni muhimu?

Unaandika haraka na kwa uhuru

Simu haitakurubia na kubadilisha maana

Inafaa zaidi kwa lugha ya Kiswahili + mitandao

Inazuia aibu kwenye status au DM zako ๐Ÿ˜‚
๐Ÿงต 5. BONUS โ€“ Futa historia ya maneno uliyoandika zamani

> Gboard โ†’ Settings โ†’ Advanced โ†’ Delete learned words & data โ†’ Ingiza code (0000) โ†’ Delete
๐Ÿงต 2. Jinsi ya kuingia kwenye settings (Android)

1. Fungua Settings

2. Tafuta System au General Management

3. Gonga Language & Input

4. Nenda kwenye On-screen Keyboard

5. Chagua Gboard (au keyboard unayotumia)

6. Gonga Text Correction
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จUNASUMBULIWA NA AUTO CORRECT, PREDICTIONS WORDS?

"Simu yako inabadilisha maneno unayoandika?

Zima hizi settings mara moja!"

Unaandika โ€œnipoโ€ inageuka โ€œNairobiโ€ ๐Ÿ˜‘
๐Ÿงต๐Ÿงต๐Ÿ‘‡
๐Ÿงต 4. Vipi kama unatumia keyboard tofauti?

โ–ถ๏ธ Kama unatumia Samsung Keyboard:
Fungua Settings > General Management > Samsung Keyboard settings > Smart typing
โ–ถ๏ธ Kama ni Microsoft SwiftKey:
Settings > Languages & input > On-screen keyboard > SwiftKey > Typing > Typing & autocorrect
โš ๏ธ Kila keyboard ina njia yake lakini logic ni ile ile: tafuta sehemu ya 'Text correction' au 'Smart typing'.
Sababu ni settings kama:

โœ… Auto-correct

๐Ÿ”ฎ Prediction strip

๐Ÿ”  Auto-capitalization

๐Ÿง  Personalized suggestions

Zimewekwa default, lakini unaweza kuzima zote kwa dakika 2 tu.
@Huduma

๐Ÿ’จ Hawa wadogo zangu sijui wamesikia nini ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ hii wiki wamenicheki

Huyu wakike ndio anamaliza Clinical Medicine mwaka huu na huyu wa kiume ndio yuko mwaka wa kwanza chuoni.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Unajua Google hutumika zaidi ya bilioni 8 kwa siku? Lakiniโ€ฆ huwa unajiuliza inavyofanya kazi? ๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ Hebu tukufungulie pazia! Google haitumii uchawi โ€“ inatumia hatua 3 tu rahisi: 1๏ธโƒฃ Crawling โ€“ kutembelea kurasa zote mtandaoni ๐Ÿ•ท๏ธ 2๏ธโƒฃ Indexing โ€“ kuhifadhi taarifa bora kama maktaba ๐Ÿ“š 3๏ธโƒฃ Ranking โ€“ kupanga majibu bora kukufaa wewe ๐ŸŽฏ Mfano rahisi: Ukiandika โ€œchai ya tangawizi,โ€ Google hutafuta kurasa zenye maelezo sahihi, ya kuaminika, na bora zaidi. ๐Ÿ“ฒ Video hii itakufungua macho โ€“ share kwa anayependa kujua jinsi internet inavyofanya kazi!
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ Infinix GT 30GT 5G+ ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

Hizi ni moto๐Ÿ”ฅ
@Huduma

๐Ÿ’จ Chuma kama hii ๐Ÿ”ฅ