Teknolojia
133 subscribers
3.79K photos
4.45K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Mwanakitaa aliyekuja kitaani kuchukua 16 Pro Max Non Active..
Na hata kujua vitu vya siri bila kufungua simu

Hii ni hatari kwa usalama, hasa kama:

Unatumia simu kazini

Unaacha simu nyumbani kwa ndugu

Unapoteza simu yako na imefungwa lock tu
SMS (Messages App)

Kwa Android:

1. Settings > Notifications > Messages

2. Zima Show preview

3. Unaweza pia kuchagua: “Only when unlocked”
Pia unaweza nenda Settings > Lock screen > Notifications na uchague:

> "Do not show notifications"
au "Icons only" (itaonyesha ikoni tu, si ujumbe)
WhatsApp (iPhone)

1. Settings > WhatsApp > Notifications

2. Kwenye Show Previews, chagua Never au When Unlocked
Tumia Notification Access Control Apps kama AppLock, kwa apps nyeti kama WhatsApp au Telegram.

Usisahau kuweka strong screen lock: PIN au biometric (fingerprint/Face ID).

Badili Notification Style kwenye Settings > Lock screen > Notifications
Kwa iPhone:

1. Settings > Notifications > Messages

2. Show Previews > Never
Telegram (Android & iOS)

1. Fungua Telegram

2. Nenda Settings > Notifications and Sounds

3. Zima Message preview kwa:

Private Chats

Groups

Channels

🔐 Hii inazuia sehemu yoyote ya ujumbe kuonekana juu ya screen.
Kwanini uzime message preview?

📌 Notification preview ni huduma ya simu kuonyesha ujumbe unaokuja bila kufungua app.
Hii inamaanisha mtu yeyote anaweza:

Kuona jina la aliyetuma

Kusoma sehemu ya ujumbe
Njia za kuzima notification preview kwa kila app:

WhatsApp (Android)

1. Nenda Settings > Notifications

2. Zima High priority notifications

3. Kwenye Popup notification, chagua “No popup”

4. Zima Show preview
@Huduma

💨Kampuni ya Xiaomi wanaenda kuzindua simu nne kwa wakati mmoja.

Simu hizi ni Xiaomi 16 series zitakazojumuisha Xiaomi 16, Xiaomi 16 pro, Xiaomi 16 pro max na Xiaomi 16 Ultra.
👇👇
🧵 3. Zima kila sehemu yenye usumbufu

Auto-correction — Zima
Show suggestion strip — Zima
Next-word suggestions — Zima
Auto-capitalization — Zima
Personalized suggestions — Zima

Ukimaliza, hakuna neno litabadilika tena bila ruhusa yako!
🧵 6. Kwa nini hii ni muhimu?

Unaandika haraka na kwa uhuru

Simu haitakurubia na kubadilisha maana

Inafaa zaidi kwa lugha ya Kiswahili + mitandao

Inazuia aibu kwenye status au DM zako 😂
🧵 5. BONUS – Futa historia ya maneno uliyoandika zamani

> Gboard → Settings → Advanced → Delete learned words & data → Ingiza code (0000) → Delete