Teknolojia
133 subscribers
3.82K photos
4.53K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Kwa iPhone:
Settings > Battery > Battery Health > Turn off “Optimized Battery Charging”
Moto mwingi wakati wa kuchaji

Mzunguko wa nguvu usiokuwa stable

Simu yako inakinga ya akili kuzuia hayo yote!
📲 Namna ya kuizima (ukihitaji full charge):

Kwa Samsung:
Settings > Battery & device care > Battery > More battery settings > Turn off “Protect battery”
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Mambo muhimu ya kuzingatia unaponunua simu yako ili udumu nayo kwa muda mrefu..
🔒 Apple imetoa mifumo mipya ya iOS 18.6, iPadOS 18.6 na macOS Sequoia 15.6 kurekebisha matatizo ya usalama,

🚨 Zaidi ya 80 bugs zimeondolewa!

💻📱 Update kifaa chako sasa ili kulinda taarifa zako binafsi.
💨 Kuna huyu kapangisha nyumba, mwenye nyumba kamuambia lazima anunue fagio kubwa la chelewa alale nalo ndani tena ikiwezekana mawili.

Hii ina maana gani?
︎ Teknolojia

💨OnePlus Nord 5 vs. Nothing Phone 3a Pro🔥🔥
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Tumia simu kama remote ya TV. @Stick - Remote Control For TV
@Huduma

💨 OFFICIAL & CONFIRMED

Huu mkono sio wa Feisal muda wake utafika ngojeni CHAN iishe.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Unadhani friza hutengeneza baridi? 😲 Hapana! Inachofanya ni kutoa joto! 🔥 Angalia hadi mwisho ujue mzunguko wa friza unavyofanya kazi!
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Nani tunaenda kumsuprise kesho kwenye siku ya girlfriends day??Ajitokeze mwanaume mmoja anaempenda mwanamke wake tumpe idea za zawadi kutokea dukani kwetu kwan kwanzia 100,000 Tshs🔥🔥❤️❤️🥰
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Hii video ilitaka kuni toa machozi 🥹😍 THIS IS PURE LOVE FROM MY CUSTOMERS it might not be expensive but the joy is extraordinary I’m really grateful 🙏🙏
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Kama unapenda kukagua simu ya mpenzi wako badi sikiliza hii mpaka mwisho..
💨 Hii kasi wanayokuja nayo Selcom 🔥🔥