Teknolojia
129 subscribers
3.71K photos
4.35K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Infinix Hot 60 Pro – Je Inastahili Kununuliwa kwa Sifa Zake na Bei Hii?
Simu mpya ya Infinix Hot 60 Pro unaweza kwa kuipata kwa bei rafiki lakini ya kufikiria kununua huna budi kujua kiundani iwapo bei yake inaendana na sifa zake basi hii video itakupa taarifa zote muhimu kuhusu hii simu
Hii huwa inatokea sana kwenye:
• Samsung
• Infinix
• TECNO
• Xiaomi
• iPhone (kwenye 80%)
Na simu zingine mpya mpya.
Mfano:
Kama kawaida unaamka saa 11 alfajiri, itaanza kuchaji 85–100% polepole kuanzia saa 10 usiku.
Ushauri:

Tumia fast charger original

Usilaze simu juu ya godoro ikichaji

Weka battery health juu ya speed ya kuchaji

Hakikisha OS yako iko updated
⚠️ Angalizo:
Ukizima protection hizi, utaanza kuchaji hadi 100%, lakini battery yako inaweza kuharibika mapema (hasa baada ya miezi 6–12).

Ni bora kubaki na feature hiyo ikiwa huna uhitaji wa power ya ziada.
Kwa TECNO/Infinix/Xiaomi:
Settings > Battery Lab / Smart Manager > Health Charging > Zima
🔋 Battery Protection Mode hufanya hivi:

Inazuia kuchaji ikifika 80–85%

Huwezesha kuchaji polepole mwisho wa mzunguko

Hujifunza tabia zako za kuchaji (kwa iPhone & Samsung)
🧠 Kwanini imewekwa?
Hii ni teknolojia ya kuzuia battery kuharibika mapema.

Battery nyingi huchakaa haraka kwa sababu ya:

Overcharging
Kwa iPhone:
Settings > Battery > Battery Health > Turn off “Optimized Battery Charging”
Moto mwingi wakati wa kuchaji

Mzunguko wa nguvu usiokuwa stable

Simu yako inakinga ya akili kuzuia hayo yote!
📲 Namna ya kuizima (ukihitaji full charge):

Kwa Samsung:
Settings > Battery & device care > Battery > More battery settings > Turn off “Protect battery”
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Mambo muhimu ya kuzingatia unaponunua simu yako ili udumu nayo kwa muda mrefu..
🔒 Apple imetoa mifumo mipya ya iOS 18.6, iPadOS 18.6 na macOS Sequoia 15.6 kurekebisha matatizo ya usalama,

🚨 Zaidi ya 80 bugs zimeondolewa!

💻📱 Update kifaa chako sasa ili kulinda taarifa zako binafsi.
💨 Kuna huyu kapangisha nyumba, mwenye nyumba kamuambia lazima anunue fagio kubwa la chelewa alale nalo ndani tena ikiwezekana mawili.

Hii ina maana gani?
︎ Teknolojia

💨OnePlus Nord 5 vs. Nothing Phone 3a Pro🔥🔥
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Tumia simu kama remote ya TV. @Stick - Remote Control For TV