Teknolojia
132 subscribers
3.78K photos
4.45K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
12. 🔁 Simu inajizima yenyewe kila mara

Safisha storage
Angalia kama kuna app mbovu imeingizwa (cracked apps)
Fanya Factory Reset kama haijasaidia
Kama bado – betri inaweza kuwa imechoka
@Huduma

💨 Apple wamewaiga wachina namna wanavyovujisha simu zao mpya ambazo hazijatoka.

Wanaiingiza mtaani makusudi kwa kuifanyia majaribio na kuificha ficha kimkakati.
16. 🔐 WhatsApp yako hai-display jina la mtumaji kwenye notification?

Nenda WhatsApp Settings > Notifications
Hakikisha Show Preview imewashwa
Pia settings za simu (notification settings) ziwe sawa
︎ Teknolojia

💨 Google Pixel 10 itazinduliwa tarehe 20 mwezi ujao.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Unadhani mistari myeupe nyuma ya ndege ni mafuta au kemikali? ✈️😨 Ukweli wake ni rahisi kuliko unavyofikiri — ni kama pumzi yako kwenye baridi kali!❄️ Hebu tuchambue kinachoendelea angani... "
@Huduma

💨 Shot on Nothing Phone 3 📸
@Huduma

💨 Designer wa Fold 7 apewe maua yake
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Hii ndiyo mbinu mpya inayotumiwa na matapeli 🙌🙌 Inahitaji umakini mkubwa sana kwenye hili kama wewe ni mfanya biashara kwani inaweza ikakukuta siku moja.. Angalia video hii mpaka mwisho mwanakitaa utakuja kunishukuru baadaye.. Bado tunaendelea kuwakumbusha kwamba hapa ndiyo chimbo pekee la kujipatia simu genuine kwa bei nafuu kabisa... Unasubiri nini mwanakitaa?!!! Call/Whatsapp 0712858344 Tunapatikana Sinza Mori