Teknolojia
132 subscribers
3.76K photos
4.44K videos
93 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Jeh ulikua unayajua haya Mwanakitaa..!! Najua ulikua ufahamu mengi kuhusu haya ila Tafadhali angalia video Hii Mpaka Mwisho Then Thank Me Later.. Nawakumbusha tu hapa ndo mahali pekee utajipatia simu original kabisa tena kwa bei nafuu.. Call/Whatsapp 0712858344 Tunapatikana Sinza Mori
3. Njia bora ya kuzuia hili ni kuzima preview ya ujumbe kwenye lock screen au kwenye notification bar.
︎ Teknolojia

💨ZUIA WATU KUSOMA NOTIFICATION ZAKO ZA WHATSAPP.
(SHOW SENSITIVITY CONTENT)

Uzi mfupi sana🧵🧵👇

1. 📱 Unapopokea WhatsApp message, huwa inaonekana juu ya skrini hata kama simu imefungwa — ikiwa na jina na sehemu ya ujumbe.
3. Njia bora ya kuzuia hili ni kuzima preview ya ujumbe kwenye lock screen au kwenye notification bar.
5. Zima chaguo la "Show notification content" au "Sensitive content on lock screen" (kutegemea aina ya simu).
📱 Kwa iPhone:

7. Nenda Settings > Notifications > WhatsApp
→ Chagua Show Previews
→ Weka Never au When Unlocked
8. Hii inahakikisha mtu hawezi kuona hata sehemu ya ujumbe mpaka uifungue wewe mwenyewe.
2. Hii inaitwa notification preview na inaweza kuwa tishio kwa faragha yako. Mtu yeyote karibu anaweza kusoma hata bila kufungua simu yako.
6. Pia kwenye WhatsApp:
→ Nenda Settings > Notifications
→ Badilisha Message notification kuwa “No preview” au “Silent.”
🔧 Namna ya kuhide WhatsApp message preview (Android):

4. Fungua Settings kwenye simu yako
→ Nenda Notifications
→ App Notifications au Manage apps
→ Chagua WhatsApp
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Madhara ya ku update iOS 26 kwenye simu yako hivi sasa…