Teknolojia
132 subscribers
3.76K photos
4.44K videos
93 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
︎ Teknolojia

💨 Samsung S26 Ultra 🥶
@Huduma

💨 VIVO imeongoza kuuza simu nyingi zaidi India kwenye robo ya pili ya 2025

XIAOMI toka 2022 alianza kupotea sokoni wakatolewa No1 na SAMSUNG sasa wameshushwa hadi No4.

NB: Vivo, Oppo na Realme zote zipo chini ya BKK Company.
🛡️ 8. Jinsi ya kujikinga baada ya hapa
Kama hujapoteza picha zako leo, jifunze kabla hujalia kesho:

Washa Google Photos Backup

Copy picha zako kwenye external SD card au USB flash drive

Tumia Telegram kujitumia picha zako kwa usalama
🔧 7. Tumia Apps za Recovery (kwa Android)
App kama DiskDigger, EaseUS MobiSaver, au Dr.Fone huweza ku-recover picha hata baada ya kufutwa kabisa.
➡️ Tumia search (kwa jina, mahali, tarehe nk).

➡️ Ukiziona, unaweza kuzidownload moja kwa moja.

NB: Backup inafanya kazi tu kama uliwahi kuiwasha.
Hapa unaweza kukuta picha nyingi ndogo (low res), lakini bora kuliko kupoteza zote.

NB: Hakikisha ume-ON "Show hidden files".
⚠️ Lakini:
➡️ Inafanya kazi vizuri kama bado hujatumia sana simu tangu ulipofuta.
➡️ Root access inaweza kuhitajika kwa recovery ya kina.
🔒 Samsung:
➡️ Gallery > Menu (3 dots) > Settings
➡️ Washa "Show hidden albums"
📁 3. Check kwenye .thumbnails folder (Android)
Hata baada ya kufuta picha, Android huihifadhi version yake kwenye .thumbnails folder.

➡️ Fungua File Manager
➡️ Nenda: Internal Storage > DCIM > .thumbnails
🔄 6. Cloud Storage nyingine
Je, uliwahi kutumia Dropbox, OneDrive, au Telegram?

➡️ Nenda kwenye apps hizo.
➡️ Angalia "Media" au "Saved" sections.
➡️ Kuna uwezekano picha zako zipo humo.

Telegram hasa huokoa media zote unazojitumia au kudownload kutoka group.