Teknolojia
134 subscribers
3.86K photos
5.03K videos
94 files
13.4K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli πŸ‘‹
Download Telegram
β€Œ

βœ… 2. Tumia β€˜Undo Changes’ ya Google Contacts

Ikiwa umefuta contacts ndani ya siku 30 zilizopita:

➑️ Ingia contacts.google.com
NB: Hizi zinahitaji PC/Laptop na mara nyingine root/permissions maalum.
βœ… 5. Rejesha Kutoka Backup App

Kama uliwahi kutumia apps kama:

Truecaller – inabackup contacts pia

Samsung Cloud – kwa simu za Samsung

Mi Cloud – kwa Xiaomi

Phone Clone (Huawei, Tecno, etc.)

Ingia kwenye app husika > Login > Rejesha backups zako.
Hakikisha unawasha auto-backup ya Google Contacts

Usihifadhi contacts kwenye SIM – ni rahisi kufutika

Tumia apps kama MCBackup au Super Backup kwa backup ya haraka
β€Œ

βœ… 6. Angalia kwenye Trash ya Google Contacts
(Njia bora kabisa)

Google Contacts huweka namba zote ulizofuta kwa makusudi kwenye Trash (takataka) kwa siku 30 kabla hazijafutwa kabisa.

➑️ Fungua contacts.google.com kwenye browser
➑️ Gusa "Organize" upande wa kushoto
βœ… 3. Angalia SIM Card Yako

Huenda baadhi ya namba zilikuwa zimehifadhiwa kwenye SIM.

➑️ Fungua Contacts app
➑️ Nenda Settings > Display preferences > SIM card only
➑️ Angalia kama kuna namba zilizofichwa
βœ… 4. Tumia Apps za Recovery (Kama Huna Backup)

Unaweza kutumia apps kama:

Dr.Fone by Wondershare

Tenorshare UltData for Android

iMobie PhoneRescue (kwa iPhone)
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Simu yako ina GB 128 ndani na 128 kwenye memory card? Usidanganyike, si sawa kabisa! ⚠️ Tofauti ni kubwa kwenye speed na performance.
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨Kuanzia mwezi huu wa saba hadi wa kumi tutarajie kuwepo wa simu mpya nyingi sana sokoni.

Realme pia wametangaza uzinduzi wa Realme GT 8 na GT 8 pro zitazinduliwa ndani ya mwezi wa 10.

πŸ‘‡πŸ‘‡
🟑 3. Je, unaweza kurejesha backup ya zamani (local)?

Kwa Android:

Nenda kwenye File Manager > WhatsApp > Databases

Utakuta mafaili ya siku kadhaa yakiwa na majina kama msgstore-YYYY-MM-DD.db.crypt14
iPhone:

> WhatsApp > Settings > Chats > Chat Backup > Auto Backup > Daily
🟒 2. Reinstall WhatsApp:

Pakua WhatsApp tena kwenye simu yako.

Ingia kwa namba ileile uliyokuwa unatumia awali.
Android:

> WhatsApp > Settings > Chats > Chat backup > Back up to Google Drive
❌ Vipi kama backup haipo?
Pole, lakini chats zako haziwezi kurudi bila backup.

Hapo ni muhimu uanze ku-activate backup settings:
Baada ya verification, WhatsApp itakuuliza kama unataka kurestore backup.

Kubali kwa kubonyeza β€œRestore” na subiri.
🟒 Tips za kujiokoa siku zijazo:

1. Weka backup daily.

2. Tumia WiFi ili backup ifanyike bila kukula data zako.

3. Hakikisha Google Drive/iCloud ina storage ya kutosha.
Badilisha jina la faili ya tarehe unayotaka kuwa msgstore.db.crypt14

Uninstall WhatsApp > reinstall > restore.