Teknolojia
134 subscribers
3.86K photos
5.03K videos
94 files
13.4K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli πŸ‘‹
Download Telegram
5. πŸ“‘ Router yako yenyewe ndiyo mbovu

Wakati mwingine router hutoa network inayoonekana lakini haipo stable.

βœ… Solution:
Restart router. Pia change channel (2.4GHz vs 5GHz) au factory reset router kama tatizo linaendelea.
8. πŸ“± Apps za Background zina-block WiFi

Baadhi ya apps kama firewalls, battery savers, au cleaner apps zinaweza zuia WiFi kuunganishwa vizuri.

βœ… Solution:
Zima apps hizo temporarily au uninstall kabisa
@Huduma

πŸ’¨ JBL SPEAKER (OriginalπŸ’―)

β–ͺ️JBL Go 3 - 145K
β–ͺ️JBL Go 4 - 190K
β–ͺ️JBL Flip6 - 300K
β–ͺ️JBL Flip7 - 380K
β–ͺ️JBL Charger5 - 450K
β–ͺ️JBL Charger6 - 550K
β–ͺ️JBL XTRME3 - 700K
β–ͺ️JBL XTRME4 - 840K
β–ͺ️JBL Boombox X3 Wi-Fi - 1.3M

πŸ“Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1 utaingia ndani duka limeandikwa Njiwa
@Njiwa_Store
πŸ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨Hizi ndizo rangi official za Google pixel 10 pro na pro XL
πŸ‘‡
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨leo na kesho kuna jambo linakuja kutoka Redmi tukae tayari
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ USED DUBAI (Original Display)πŸ‘‡

β–ͺ️Pixel 7 (8+128) - 550K
β–ͺ️Pixel 7a (8+128) - 550K
β–ͺ️Pixel 8 (8+128) - 850K
β–ͺ️Pixel 8 Pro (12+128) - 1.15M

PIXEL MPYA (Non Active)πŸ’₯
β–ͺ️Pixel 9a (8+128) - 1.45M
β–ͺ️Pixel 9a (8+256) - 1.7M
β–ͺ️Pixel 9 (12+128) - 1.75M
β–ͺ️Pixel 9 (12+256) - 2.1M
β–ͺ️Pixel 9 Pro (16+128) - 2.35M
β–ͺ️Pixel 9 Pro (16+256) - 2.65M
β–ͺ️Pixel 9 Pro XL (16+128) - 2.4M
β–ͺ️Pixel 9 Pro XL (16+256) - 2.65M

πŸ“Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani 🚚
@Njiwa_Store
πŸ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
5. πŸ›°οΈ Phone not Registered on Network (NRN):
Inawezekana simu yako haijasajiliwa ipasavyo kwenye mtandao.

➑ Nenda Settings > Mobile Network > Manual Search > chagua mtandao wako mwenyewe.
Mara nyingi simu inaonyesha "full bars" lakini haipo kabisa kwenye active registration ya network
7. ☠️ Null IMEI / Invalid Baseband:
Simu ambazo zimetoka root au flash vibaya, huwa zinapoteza IMEI au baseband na hiyo inafanya uwe na signal fake tu.

βœ… Hakiki kwa kupiga *# kama haionyeshi IMEI, tatizo ni kubwa zaidi.
2. πŸ“Ά Band Incompatibility:
Baadhi ya simu, hasa zile za kutoka Asia au Marekani, hazisapoti frequencies za mitandao ya Afrika.

➑ Inaonyesha signal, lakini network haiwezi kushika vizuri.
πŸ”š Solution:
βœ” Tumia SIM yako kwenye simu nyingine kama inafanya kazi, basi tatizo ni simu yako.

βœ” Hakikisha simu haina SIM lock.

βœ” Rekebisha APN & Network Mode.
3. 🧠 Corrupted Baseband / Modem Firmware:
Baseband ni sehemu ya software inayoongoza mawasiliano ya simu.

➑ Ikiwa imeharibika, unaweza kuona signal lakini hakuna mawasiliano.
4. 🚫 IMSI or SIM Profile Issues:
Line yako inaweza kuwa imeharibika, ime-expire, au ina tatizo la SIM Profile.

➑ Jaribu kuiweka kwenye simu nyingine kujua kama bado inafanya kazi.
βœ” Ikiwa root/flash umefanya, jaribu kuflash official firmware tena.

βœ” Kwa cases ngumu, mtaalamu wa software anaweza kurekebisha baseband/IMEI.
1. βš™οΈ Network Lock (SIM lock):
Simu yako inaweza kuwa imefungwa kwa mtandao fulani (e.g. Vodacom, Tigo), na unatumia line tofauti.

➑ Hili hujitokeza sana kwenye simu zilizotoka nje ya nchi.
6. πŸ› οΈ Wrong APN or Network Mode:
Wakati mwingine, kuwa kwenye wrong network mode kama 2G only au 4G only (no voice) kunakata simu.

➑ Rekebisha kwa kuchagua β€œAuto/Preferred Network”.
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Official hii ndiyo series ya Google pixel 10 inayotarajiwa kuzinduliwa mwezi huu wa 8.