Teknolojia
133 subscribers
3.79K photos
4.47K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
🔍 Pro Tip:
Unaweza kutumia app ya AirBattery (Android) au Battery Widget (iOS) kufuatilia tabia ya betri za AirPods kwa undani.
MagSafe/Circuit ya ku-detect earphones kila sekunde chache huendelea bila kukoma.

Baadhi ya cases zina firmware bugs zinazosababisha battery kujimimina kimyakimya.
🧠 Suluhisho ni nini?

Safisha charging points mara kwa mara.

Hakikisha AirPods zimekaa vizuri kwenye case.

Zima Bluetooth ikiwa hutumii kwa muda mrefu.
Kuna baadhi ya components huwa zinaendelea kufanya kazi nyuma ya pazia:

Bluetooth chip 🟦

Proximity sensors 🟡

Motion sensors 🟠

Background sync na iCloud (kama uko kwenye Apple ecosystem) ☁️
@Huduma

💨Tecno hawajaachwa nyuma
Kampuni ya simu ya tecno wamezinduwa Tecno's Phantom Ultimate G Fold tri-fold.

Tecno's Phantom Ultimate G Fold tri-foldable ni simu yenye kioo kinachofunguka mara tatu (kama Huawei mate X).

Simu hii ndiyo simu nyembamba zaidi kuliko simu yoyote duniani yenye uwezo huo.

Ni swala muda tu tutawaona mbali sana hawa jamaa maana hawaachi kitu.
︎ Teknolojia

💨VIVO X200 Pro (Used)

▪️Unapata na box lake

▪️512GB ROM + 16GB RAM

💥Price: 1.9M

📍 Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨 USED DUBAI (Original Display)👇

▪️Pixel 7 (8+128) - 550K
▪️Pixel 7a (8+128) - 550K
▪️Pixel 8 (8+128) - 850K
▪️Pixel 8 Pro (12+128) - 1.15M

PIXEL MPYA (Non Active)💥
▪️Pixel 9a (8+128) - 1.45M
▪️Pixel 9a (8+256) - 1.7M
▪️Pixel 9 (12+128) - 1.75M
▪️Pixel 9 (12+256) - 2.1M
▪️Pixel 9 Pro (16+128) - 2.35M
▪️Pixel 9 Pro (16+256) - 2.65M
▪️Pixel 9 Pro XL (16+128) - 2.4M
▪️Pixel 9 Pro XL (16+256) - 2.65M

📍Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani 🚚
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨 XIAOMI REDMI (Brand new) 💥

▪️Redmi A5 (3+64) - 250K
▪️Redmi A5 (4+128) - 280K
▪️Redmi 14C (4+128) - 300K
▪️Redmi 14C (8+256) - 350K
▪️Note 13 (6+128) - 450K
▪️Note 13 (8+256) - 530K
▪️Note 13 Pro 4G (8+256) - 680K
▪️Note 13 Pro+ 5G (8+256) - Tsh. 880K
▪️Note 13 Pro+ 5G (12+512) - Tsh. 1.05M
▪️Redmi Note 14 (6+128) - 480K
▪️Redmi Note 14 (8+256) - 580K
▪️Redmi Note 14 5G (8+256) - 700K
▪️Redmi Note 14 Pro 4G (8+256) - 700K
▪️Redmi Note 14 Pro 5G (8+256) - 800K
▪️Redmi Note 14 Pro+ 5G (8+256)
︎ Teknolojia

💨 INFINIX BRAND NEW

▪️Infinix Smart 8 (4+64) - 230K
▪️Infinix Smart 9 (6+64) - 250K
▪️Infinix Hot 50i (8+128) - 310K
▪️Infinix Hot 50 Pro+ (16+128) - 520K
▪️Infinix Note 50 (16+256) - 650K
▪️Infinix Note 50 Pro+ (12+512) - 1.2M

📍Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1 utaingia ndani duka limeandikwa Njiwa
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
🆕 Shirika la Unicode Concortium, shirika linaloundwa na kampuni mbalimbali za teknolojia limetangaza emoji 8 mpya ambazo zitaanza kutoka rasmi mwaka huu
@Huduma

💨 Hii jezi ilikuwa inasifiwaga ni kali 😁
Tumia apps salama kama CCleaner au SD Maid
Futa OTA residues: Settings > About > Software updates > Storage cleanup
Kama storage yako iko chini ya 10% – simu yako inaweza kuwa slow kwa hadi 30%.
5. Njia za kufuta hii hidden data (bila kufomati simu):
Tumia Files by Google → nenda Clean
Nenda Settings > Storage > Apps > Clear cache manually
Tafuta na futa folder .thumbnails
9. Ukiona “Other files” kwenye storage yako zina 5GB+ — jua kuna cache, logs, na OTA updates zimejificha humo.

🎯 Zifuatilie. Zisafishe. Linda performance ya simu yako.
4. Matokeo ya hali hii?
🔻 Simu inakuwa slow

🔻 Inashindwa kupokea updates

🔻 Kamera inashindwa kupiga picha

🔻 Apps zinagoma kufunguka