Teknolojia
132 subscribers
3.74K photos
4.39K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
🆕 Range Rover imebadilisha logo yake.

JLR imethibitisha kuwa nembo hiyo haitachukua nafasi ya maandishi ya kawaida ya “Range Rover” kwenye magari.

Badala yake, itatumika mahali ambapo alama kubwa haitoshi, kama kwenye lebo au matukio ya kifahari.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Namna ya kufunga mkanda wa kwenye gari kwa wamama wenye mimba kwausalama zaidi
👀 3. Unajuaje kama kuna keylogger kwenye simu yako?
– Simu inakuwa slow bila sababu

– Battery inaisha haraka sana

– Simu inapasha joto hata ukiwa huifanyi kazi
– Unapata popup au errors zisizoeleweka

– Unapoteza control ya app fulani (mf. WhatsApp, Facebook)
📉 4. Hatari ya keylogger ni kubwa sana:

– Mtu anajua PIN ya simu yako

– Anaweza kupata password ya email yako au benki

– Anaweza kuona chats zako zote

– Anaweza hata ku-log in kwenye accounts zako bila OTP
🔍 7. Njia ya kuangalia apps za ajabu kwa haraka:

1. Nenda Settings > Apps > All Apps

2. Angalia apps zisizo na icon au jina la ajabu

3. Angalia apps zilizo na access ya “Usage Access” au “Device Admin” – chunguza zote
⚠️ 5. Keylogger ni aina ya spyware – na ni vigumu sana kuigundua kama hujui mbinu.
– Baadhi hujiita “Accessibility Tool”

– Nyingine hujificha kwenye app ya kawaida kama calculator

– Zinabaki nyuma ya system bila kuonekana screen
🧵 1. Keylogger ni nini?
Ni programu inayorekodi kila unachokiandika kwenye simu yako kila herufi, namba, password, message, search... kila kitu.

Na mbaya zaidi: hutuma taarifa hizo kwa mtu mwingine kisiri
Usitumie Wi-Fi ya bure isiyo na ulinzi

Futa apps usizozitumia mara kwa mara
📴 8. Ukiwa na mashaka:
– Tumia Safe Mode kuangalia kama tatizo linaendelea

– Fanya Factory Reset kama ni lazima (na uhakikishe huna malware kwenye backup)

– Badili password zako zote muhimu mara moja
🛡️ 6. Jinsi ya kujikinga:
Usifungue link usiyoielewa (hata kama ni ya promosheni)

Tumia Google Play Protect au antivirus ya kuaminika

Ruhusu apps chache sana ku-access “Accessibility” kwenye settings
📥 2. Unaweza kuwekewa keylogger kwa njia hizi:
– Kufungua link ya tapeli (phishing site)
– Kudownload app ya bandia (loan app, VPN, games)
– Kupokea file kwenye WhatsApp au Telegram
– Kutumia Wi-Fi ya bila password (public Wi-Fi)
︎ Teknolojia

💨 Nothing Phone 3 Pro?
@Huduma

💨Kushoto ni Motorola Razr 60 kulia ni Samsung flip 7.
Kuna mmoja kamcopy mwenzake kwa mbali