Teknolojia
134 subscribers
3.86K photos
5.03K videos
94 files
13.4K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli πŸ‘‹
Download Telegram
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ INFINIX HOT 60iπŸ’₯πŸ’₯

Infinix hot 60i specifications

πŸ”‹ Battery: 5160mAh with 45W fast charging

πŸ“Ί Display: 6.7" HD+ IPS LCD, 120Hz refresh rate

βš™οΈ Processor: MediaTek Helio G81 Ultimate

πŸ’Ύ Memory: 4GB / 6GB / 8GB RAM + 128GB / 256GB storage (expandable via microSD)

πŸ“Έ Cameras:

Rear: 50MP + AI lens

Front: 8MP with LED flash

πŸ” Security: Side-mounted fingerprint sensor + Face unlock

πŸ“‘ Connectivity: 4G LTE, NFC, Bluetooth 5.3, Wi-Fi 5, USB-C, OTG support

πŸ’§ Protection: IP64 dust and splash res
πŸ†• Range Rover imebadilisha logo yake.

JLR imethibitisha kuwa nembo hiyo haitachukua nafasi ya maandishi ya kawaida ya β€œRange Rover” kwenye magari.

Badala yake, itatumika mahali ambapo alama kubwa haitoshi, kama kwenye lebo au matukio ya kifahari.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Namna ya kufunga mkanda wa kwenye gari kwa wamama wenye mimba kwausalama zaidi
πŸ‘€ 3. Unajuaje kama kuna keylogger kwenye simu yako?
– Simu inakuwa slow bila sababu

– Battery inaisha haraka sana

– Simu inapasha joto hata ukiwa huifanyi kazi
– Unapata popup au errors zisizoeleweka

– Unapoteza control ya app fulani (mf. WhatsApp, Facebook)
πŸ“‰ 4. Hatari ya keylogger ni kubwa sana:

– Mtu anajua PIN ya simu yako

– Anaweza kupata password ya email yako au benki

– Anaweza kuona chats zako zote

– Anaweza hata ku-log in kwenye accounts zako bila OTP
πŸ” 7. Njia ya kuangalia apps za ajabu kwa haraka:

1. Nenda Settings > Apps > All Apps

2. Angalia apps zisizo na icon au jina la ajabu

3. Angalia apps zilizo na access ya β€œUsage Access” au β€œDevice Admin” – chunguza zote
⚠️ 5. Keylogger ni aina ya spyware – na ni vigumu sana kuigundua kama hujui mbinu.
– Baadhi hujiita β€œAccessibility Tool”

– Nyingine hujificha kwenye app ya kawaida kama calculator

– Zinabaki nyuma ya system bila kuonekana screen
🧡 1. Keylogger ni nini?
Ni programu inayorekodi kila unachokiandika kwenye simu yako kila herufi, namba, password, message, search... kila kitu.

Na mbaya zaidi: hutuma taarifa hizo kwa mtu mwingine kisiri
βœ… Usitumie Wi-Fi ya bure isiyo na ulinzi

βœ… Futa apps usizozitumia mara kwa mara
πŸ“΄ 8. Ukiwa na mashaka:
– Tumia Safe Mode kuangalia kama tatizo linaendelea

– Fanya Factory Reset kama ni lazima (na uhakikishe huna malware kwenye backup)

– Badili password zako zote muhimu mara moja
πŸ›‘οΈ 6. Jinsi ya kujikinga:
βœ… Usifungue link usiyoielewa (hata kama ni ya promosheni)

βœ… Tumia Google Play Protect au antivirus ya kuaminika

βœ… Ruhusu apps chache sana ku-access β€œAccessibility” kwenye settings
πŸ“₯ 2. Unaweza kuwekewa keylogger kwa njia hizi:
– Kufungua link ya tapeli (phishing site)
– Kudownload app ya bandia (loan app, VPN, games)
– Kupokea file kwenye WhatsApp au Telegram
– Kutumia Wi-Fi ya bila password (public Wi-Fi)
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Nothing Phone 3 Pro?
@Huduma

πŸ’¨Kushoto ni Motorola Razr 60 kulia ni Samsung flip 7.
Kuna mmoja kamcopy mwenzake kwa mbali