Teknolojia
132 subscribers
3.74K photos
4.4K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Bitchat itashindana na WhatsApp na app za kutuma meseji.

- Itakuwa haitumii bando
- Mamlaka za kudhibiti apps na mawasiliano hazitaweza kuizuia
- Haikusanyi data zozote
- Ni encrypted na salama
🆕 Kama unapenda kupiga picha zenye ubora mzuri kwa kutumia simu yako, jaribu kutumia app hii ya Project Indigo.

Project Indigo ni app mpya ya Adobe - inafanya simu kuwa na uwezo mzuri wa kupiga picha https://twitter.com/Swahili_Tek/status/1942619900536594443#m
🆕📸📲 Project Indigo ni app mpya ya Adobe ambayo inawezesha simu kuchukua picha zenye ubora kuliko kutumia app ya simu.

Project Indigo inatumia mfumo maalum wa kuchkata picha na kuiboresha kuwa bora zaidi.
Setup ya kisafi
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
🆕📲 Style mpya wa Spacial Effects katika icons na widgets za Home Screen katika mfumo mpya wa iOS 26

Ukichezesha simu, utaona icons na widgets zinabadilika kuendana na angle ya simu
︎ Teknolojia

💨Hawa jamaa sijui kwanini swala la battery bado
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

💨Kwenye uzinduzi wa nothing phone 3 pia walizindua Headphone 1 💥🔥

Hii design ya hapa ni kali kuliko hata simu yenyewe 🔥🔥
Hatua ya Mwisho: Angalia review za watu wengine
– YouTube: “Simu hii inafaa?”
– Reddit / Facebook Groups
– Review za Tanzania pia zipo!

Hii hukusaidia kuona matatizo ambayo hayajaandikwa kwenye karatasi.
RAM: Angalau 4GB kwa kawaida, 6GB+ kwa matumizi makubwa

🔸 Storage: 64GB ni minimum. 128GB ni bora zaidi.
Camera
– Megapixels si kila kitu!
– Angalia sensor type (Sony, Samsung)
– Ota reviews za picha – kwa mfano YouTube

🔸 Operating System
– Android 13/14
– Usichukue simu yenye Android Go kama unahitaji multitasking
🔸 Display (Kioo)
– Resolution: Full HD+ (1080p) ni bora
– Panel: AMOLED ni nzuri zaidi kuliko IPS LCD
– Refresh Rate: 90Hz/120Hz huongeza smoothness

🔸 Battery: 5000mAh ni standard
🔌 Fast Charging: 18W–120W ni bora kwa kasi
Ukiwa na bajeti nzuri, unaweza pata simu kali sana bila kuibiwa.
Hatua ya Pili: Elewa mahitaji yako
Unahitaji simu kwa nini?
– Kutuma tu messages & calls?
– Picha kali?
– TikTok, YouTube, IG?
– Gaming?
– Biashara?

Hii inasaidia kujua specs gani ni muhimu zaidi kwako.
Hatua ya Tatu: Tumia tovuti kama GSM Arena au kimtindo wa specs checklist.

👉 Search "Best phones under 1M Tanzania GSM Arena"

Au tembelea hizi apps:
– Kimovil
– NanoReview
– Phone Finder tools
🔸 Updates
– Brands kama Samsung, Xiaomi, Infinix, realme, Tecno — angalia support ya updates
︎ Teknolojia

💨 Lamine Yamal anatumia Oppo Find X8 Ultra.
︎ Teknolojia

💨 INFINIX HOT 60i💥💥

Infinix hot 60i specifications

🔋 Battery: 5160mAh with 45W fast charging

📺 Display: 6.7" HD+ IPS LCD, 120Hz refresh rate

⚙️ Processor: MediaTek Helio G81 Ultimate

💾 Memory: 4GB / 6GB / 8GB RAM + 128GB / 256GB storage (expandable via microSD)

📸 Cameras:

Rear: 50MP + AI lens

Front: 8MP with LED flash

🔐 Security: Side-mounted fingerprint sensor + Face unlock

📡 Connectivity: 4G LTE, NFC, Bluetooth 5.3, Wi-Fi 5, USB-C, OTG support

💧 Protection: IP64 dust and splash res