Teknolojia
132 subscribers
3.74K photos
4.4K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ Mtu akikuazima simu yako umekwisha

WhatsApp walileta hii feature ili kuwasaidia watu wanaohitaji kujibiwa messages zao na watu waliowaunganishia linked devices.

Lakini siku hizi baadhi wanatumia upenyo huu kuingilia kwa siri mawasiliano ya wapenzi wao ๐Ÿ‘‡
Hasa kwa:
๐Ÿ“ฑ Professionals
๐ŸŽฎ Gamers
๐ŸŽ“ Students
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ผ Watu wa kawaida
5. Simu zingine zenye AI Button 2025?
โœ… Infinix HOT 60 5G+
โœ… TECNO Camon 30 Premier
โœ… Xiaomi Redmi AI Series
โœ… Vivo V30 AI Focus Button
(List inaongezeka kila mwezi...)
4. Kwa nini ni muhimu 2025?
โžก๏ธ Simu zimekuwa smart sana, apps zimejaa.
โžก๏ธ Watu hawataki kupoteza muda kufungua app moja moja.
โžก๏ธ AI button inarahisisha kila kitu kwa bonyeza moja tu.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จKWANINI SIMU NYINGI ZA 2025 ZINA AI BUTTON ๐Ÿ”˜ NA MATUMIZI YAKE NI YAPI?

Watu wengi wameanza kuona simu mpya zenye button ya AI upande wa pembeni, lakini hawajui inafanya nini haswa. Leo tuongee!

๐Ÿงต๐Ÿ‘‡
โœ… Kuchukua notes kwa sauti (voice-to-text)
โœ… Kufungua app unayotumia sana
โœ… AI assistant โ€“ kama Google Gemini au ChatGPT Mini
2. Mfano hai โ€“ HOT 60 5G+
Infinix wameita hii feature mpya:
๐Ÿ‘‰ โ€œOne-Tap AI Buttonโ€
3. Inafanya kazi gani?
Hii button inaweza kusaidia:
โœ… Kufungua camera ya AI moja kwa moja
โœ… Kutafsiri (translate) haraka messages
1. AI Button ni nini?
Hii ni kitufe maalum kinachowekwa upande wa simu โ€“ kama Infinix HOT 60 5G+ โ€“ kwa ajili ya kufanya kazi mbalimbali kwa haraka kupitia akili bandia (AI).

Ni kama shortcut, lakini yenye akili ๐Ÿคฏ
๐Ÿ”˜ Infinix Hot 60 5G+ inakuja na One-Tap AI Button
Imewekwa chini ya volume na power button. Inaitwa โ€œsmart and seamless shortcutโ€ โ€” shortcut ya kisasa isiyo na usumbufu.
Unapogusa, AI Assistant inafunguka instantly.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ USED DUBAI (Original Display)๐Ÿ‘‡

โ–ช๏ธPixel 7 (8+128) - 550K
โ–ช๏ธPixel 7a (8+128) - 550K
โ–ช๏ธPixel 8 Pro (12+128) - 1.15M

PIXEL MPYA (Non Active)๐Ÿ’ฅ
โ–ช๏ธPixel 9a (8+128) - 1.45M
โ–ช๏ธPixel 9a (8+256) - 1.7M
โ–ช๏ธPixel 9 (12+128) - 1.75M
โ–ช๏ธPixel 9 (12+256) - 2.1M
โ–ช๏ธPixel 9 Pro (16+128) - 2.4M
โ–ช๏ธPixel 9 Pro (16+256) - 2.8M
โ–ช๏ธPixel 9 Pro XL (16+128) - 2.5M
โ–ช๏ธPixel 9 Pro XL (16+256) - 2.8M

๐Ÿ“Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani ๐Ÿšš
@Njiwa_Store
๐Ÿ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จJuzi nilielezea feature ya Glyph light kwenye simu ya Nothing Phone 3 na hii hapa ni miongoni mwake
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จUkweli mtupu
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Namna ya kuseti simu yako mtu akikupigia aambiwe namba hii haipo.
5: Usitumie blow dryer au kuweka kwenye oven/moto!
Watu hujaribu kuikausha kwa joto kali โ€“ hilo linaweza kuharibu screen, betri, au circuits.

โŒ Ni hatari kuliko unavyofikiria.
4: Toa vitu vinavyotoka
โ€“ Toa SIM card
โ€“ Toa memory card (SD)
โ€“ Kama betri inawezekana kutolewa, iitoe pia

Lengo ni kuzuia mzunguko wa umeme kuendelea na kuharibu components.
9: Simu inaweza kupona baada ya maji โ€“ lakini tu kama hukufanya makosa makubwa mwanzoni.

Na mara nyingi, reaction yako ya kwanza ndiyo huamua hatima ya simu.

๐Ÿ›‘ Usiiwashe mara moja.
๐Ÿ›‘ Usiiweke kwa joto kali.
๐Ÿ›‘ Usikae nayo muda mrefu kwenye maji.
โค1
6: โœ… Badala yake, fanya hivi:
โ€“ Kausha kwa kitambaa kilicho kavu vizuri
โ€“ Uipe muda (masaa 24โ€“48) ikiwa kwenye mazingira yasiyo na unyevu