Teknolojia
133 subscribers
3.83K photos
4.59K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
︎ Teknolojia

Kampuni ya TECNO imeachia matoleo matatu ya SPARK 40 Series;
TECNO SPARK 40
TECNO SPARK 40 PRO na
TECNO SPARK 40 PRO +

TECNO wametisha kinoma noma leo nakuletea baadhi ya feature utakutana nazo kwenye toleo jipya.

Kama ifuatavyo 👇👇
@Huduma

💡 TECNO AI
Amekuja na Akili bandia anaitwa ELLA ambayo ina nguvu ya Deepseek, Gemini na chatGpt kwa kuweza kukusaidia na kurahisisha mawasiliano.

kwa kuediti picha zako, kubadili documents kuwa ujumbe, kurekebisha picha zako kwa kuondoa kitu usichokitaka.
@Huduma

🎁 Ili kusherehekea uzinduzi huo, kila ukinunua SPARK 40 Series unapata siku 180 za kustream Poaflix na warranty ya miaka miwili bure.
@Huduma

💨Michezo😂🔥
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

💨 Mtu akikuazima simu yako umekwisha

WhatsApp walileta hii feature ili kuwasaidia watu wanaohitaji kujibiwa messages zao na watu waliowaunganishia linked devices.

Lakini siku hizi baadhi wanatumia upenyo huu kuingilia kwa siri mawasiliano ya wapenzi wao 👇
Hasa kwa:
📱 Professionals
🎮 Gamers
🎓 Students
🧑‍💼 Watu wa kawaida
5. Simu zingine zenye AI Button 2025?
Infinix HOT 60 5G+
TECNO Camon 30 Premier
Xiaomi Redmi AI Series
Vivo V30 AI Focus Button
(List inaongezeka kila mwezi...)
4. Kwa nini ni muhimu 2025?
➡️ Simu zimekuwa smart sana, apps zimejaa.
➡️ Watu hawataki kupoteza muda kufungua app moja moja.
➡️ AI button inarahisisha kila kitu kwa bonyeza moja tu.
︎ Teknolojia

💨KWANINI SIMU NYINGI ZA 2025 ZINA AI BUTTON 🔘 NA MATUMIZI YAKE NI YAPI?

Watu wengi wameanza kuona simu mpya zenye button ya AI upande wa pembeni, lakini hawajui inafanya nini haswa. Leo tuongee!

🧵👇
Kuchukua notes kwa sauti (voice-to-text)
Kufungua app unayotumia sana
AI assistant – kama Google Gemini au ChatGPT Mini
2. Mfano hai – HOT 60 5G+
Infinix wameita hii feature mpya:
👉 “One-Tap AI Button”
3. Inafanya kazi gani?
Hii button inaweza kusaidia:
Kufungua camera ya AI moja kwa moja
Kutafsiri (translate) haraka messages
1. AI Button ni nini?
Hii ni kitufe maalum kinachowekwa upande wa simu – kama Infinix HOT 60 5G+ – kwa ajili ya kufanya kazi mbalimbali kwa haraka kupitia akili bandia (AI).

Ni kama shortcut, lakini yenye akili 🤯