Teknolojia
132 subscribers
3.74K photos
4.4K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
5. Simu Inatumika Wakati Inachaji ๐Ÿ”ฅ

Ukiwa unacheza game, YouTube au scrolling TikTok wakati wa charging... battery inajaa polepole sana.

๐Ÿ‘‰ Solution: Acha matumizi ya simu wakati wa charging.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จKWANINI SIMU YAKO INACHUKUA MUDA MREFU KUCHAJI?โณ๐Ÿ”‹

Kuna nyakati unachomeka simu yako kwenye charger... masaa mawili bado haijafika hata 50%! ๐Ÿ˜ฉ

Hizi hapa sababu 7 kubwa zinazofanya simu yako ichaji kwa muda mrefu kuliko kawaida:

Shuka๐Ÿงต๐Ÿงต๐Ÿ‘‡
4. Battery Imechoka/Old Battery Health โš ๏ธ

Kama simu yako ni ya zamani na battery health imeshuka sana (chini ya 80%), charging inakuwa slow hata ukiwa na charger nzuri.

๐Ÿ‘‰ Solution: Fikiria kubadilisha battery.
6. Charging Port Imeloa Vumbi/Rust ๐Ÿงน

Vumbi, uchafu au kutu kwenye charging port vinaweza kuathiri proper connection kati ya charger na simu.

๐Ÿ‘‰ Solution: Safisha port kwa brush ndogo au utembelee fundi kwa cleaning professional.
Hasara za Kutumia Simu Wakati Inachaji:

1. Overheating

2. Battery health kuisha haraka

3. Charging kuwa slow sana

4. Risk ya electric shock

5. Charging port kulegea au kuharibika

6. Risk ya battery kulipuka (kwa simu zenye defect)

7. Screen na processor overload
2. Power Source Duni ๐Ÿ”‹
Unacharge simu kupitia laptop USB, extension ya bei chee, au adapter yenye voltage ndogo.

๐Ÿ‘‰ Solution: Tumia wall socket yenye stable power na fast charging adapter.
1. Charger na Cable Feki/Low Quality ๐Ÿ”Œ
Kutumia charger au cable isiyo original au yenye uwezo mdogo wa current (Amperage) kunasababisha charging kuwa slow sana.

๐Ÿ‘‰ Solution: Tumia original charger au certified fast charger.
7. Overheating/Warm Environment ๐ŸŒก๏ธ

Charging kwenye joto kali au simu yenye overheating hupelekea software ku-limiter charging speed kama protection.

๐Ÿ‘‰ Solution: Charge simu sehemu yenye ventilation nzuri na epuka kutumia wakati wa charging.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จSogeza simu nyuma kidogo alafu uangalie hii simu tena.
Ni simu kali๐Ÿ”ฅ
๐Ÿ†• Apple itabadili utaratibu wa design ya logo yake katika upande wa nyuma ya simu.

Logo ya Apple itashuka upande wa chini zaidi na itakaa katikati ya sehemu ya box ya chini ya kamera. Pia mngรกo wake utabadilika kwa sababu ya mabadiliko ya aina mpya ya kioo cha nyuma ya iPhone.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ Redmi 14C ๐Ÿ’ฅ

Redmi 14C Specifications
โ–ช๏ธ Camera: 50MP
โ–ช๏ธ Storage: 128GB/256GB
โ–ช๏ธ RAM: 4GB
โ–ช๏ธ Battery Capacity: 5000mAh ๐Ÿ‘‡

๐Ÿ’ฅ Price: (4GB + 128GB) 300,000
(8GB + 256GB) 350,000

๐Ÿ“ Likoma, Opposite KKKT Kariakoo
๐Ÿ“ Roundabout ya samaki, Mwanza
@Njiwa_Store
๐Ÿ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ NOTHING PHONE (Non Active)

โ–ช๏ธCMF Phone1 (8+256) - 850K
โ–ช๏ธPhone2a (8+256) - 1.2m
โ–ช๏ธPhone2a Plus (12+256) - 1.35m
โ–ช๏ธPhone 2 (12+256) - 1.58m
โ–ช๏ธPhone 2 (12+512) - 1.75m
โ–ช๏ธPhone 3a (12+256) - 1.25M
โ–ช๏ธPhone 3a Pro (12+256) - 1.45M

๐Ÿ“Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani ๐Ÿšš
@Njiwa_Store
๐Ÿ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ OFFER SAMSUNG A SERIES

โ–ช๏ธA05 (4+64) - 250K
โ–ช๏ธA06 (4+64) - 300K
โ–ช๏ธA06 (4+128) - 330K
โ–ช๏ธA05s (4+128) - 350K
โ–ช๏ธA16 (4+128) -420K
โ–ช๏ธA16 (6+128) - 450K
โ–ช๏ธA16 (8+256) - 580K
โ–ช๏ธA26 5G (6+128) - 680K
โ–ช๏ธA26 5G (8+256) - 780K
โ–ช๏ธA36 5G (6+128) - 900K
โ–ช๏ธA36 5G (8+256) - 1M
โ–ช๏ธA56 5G (8+128) - 1M
โ–ช๏ธA56 5G (8+256) - 1.15M

๐Ÿ“Dar: KKKT Kariakoo
๐Ÿ“Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
๐Ÿ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ Nothing Phone 3

Nawaozijua simu tu ndio huwa wanapoa humu.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Ukweli kuhusu mtandao wa 10G nchini china Sio kama watu wengi walivyoaminishwa ,,10G ni special edition inayowakilisha mtandao wa kasi kwenye series ya 5G network ambayo hutumika kwenye heavy facilities kama smart homes pamoja na viwanda
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Unajua X-RAY inapenya hadi kuona ndani ya mwili wako? Lakini kwa nini mifupa huonekana meupe, na nyama laini haionekani kabisa? ๐Ÿค” โณ Subiri sekunde chache tu... utashangaa kujua jinsi mwanga usioonekana unavyofichua siri za ndani ya mwili! ๐Ÿ‘‡ ๐ŸŽฏ Elewa teknolojia ya X-ray kwa sekunde 60 โ€“ rahisi, haraka na ya kushangaza!
Mfano:

Samsung Galaxy A series

Xiaomi Redmi Note series

OnePlus Nord series

Realme Number series
1. Flagship Phones (High-End) ๐Ÿ†

Hizi ndizo simu za kiwango cha juu kabisa kutoka kila kampuni.

โœ… Chipset bora zaidi (Snapdragon 8 Series, Apple A Bionic, Dimensity 9000 series)
Mfano:

Itel series

Tecno Spark series

Samsung Galaxy A0x series

Xiaomi Redmi A series