Teknolojia
133 subscribers
3.82K photos
4.55K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
🆕 Update ya beta ya One UI 8 Watch imeanza kutoka rasmi! 🚀
#OneUI8Watch #Beta
︎ Teknolojia

💨Wakati tukiendelea kusubiri uzinduzi wa GOOGLE PIXEL 10 SERIES.

Hapa nimekusogezea specifications za Google pixel 10.

6.3” FHD+ 120Hz OLED display
- 3000nits peak brightness
- Tensor G5
- 48MP + 12MP Ultra-wide + 10.8MP (5x) Periscope  
- 10.5MP front 
- Fully custom camera ISP
- 4970mAh battery + 29W
- 15W wireless | IP68 rating
- Android 16
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Ps5 BRAND NEW Ps5 digital slim 1Tb::1,350,000 Ps5 Disc version slim 1Tb:1,650,000 Ps5 spider man 2 version::1,850,000 Ps5 pro 2Tb::2,100,000
Battery
4970mAh battery
29W wired charging
15W wireless charging (Qi supported)

👉 Battery kubwa yenye optimization ya Tensor chip. Inaweza kuvuka siku moja kwa matumizi ya kawaida. Wireless charging ni plus kwa convenience lovers.
Connectivity
5G (Sub-6 & mmWave)
Wi-Fi 6E/7
Bluetooth 5.3
NFC
USB-C 3.2

👉 Kwa wapenzi wa speed: 5G support ni future proof. Wi-Fi 6E/7 inamaanisha connection yako ya wireless itakuwa faster na stable zaidi.
Memory & Storage
12GB RAM (LPDDR5X)
128GB storage (UFS fast storage)
No microSD slot

👉 RAM kubwa ina maana multitasking bila lags. Utaweza kufungua apps nyingi bila simu kushtuka. Storage ni ya kasi kwa app load times na game performance.
Inaongeza speed kwenye apps, inaboresha battery efficiency, na inafanya AI features kama call screening & live translation kuwa haraka zaidi.
︎ Teknolojia

💨 XIAOMI REDMI (Brand new) 💥

▪️Redmi A5 (3+64) - 250K
▪️Redmi A5 (4+128) - 280K
▪️Redmi 14C (4+128) - 300K
▪️Redmi 14C (8+256) - 350K
▪️Note 13 (6+128) - 450K
▪️Note 13 (8+256) - 530K
▪️Note 13 Pro 4G (8+256) - 680K
▪️Note 13 Pro+ 5G (8+256) - Tsh. 880K
▪️Note 13 Pro+ 5G (12+512) - Tsh. 1.05M
▪️Redmi Note 14 (6+128) - 480K
▪️Redmi Note 14 (8+256) - 580K
▪️Redmi Note 14 5G (8+256) - 700K
▪️Redmi Note 14 Pro 4G (8+256) - 700K
▪️Redmi Note 14 Pro 5G (8+256) - 800K
▪️Redmi Note 14 Pro+ 5G (8+256)
Security & Features
Optical under-display fingerprint sensor
Face Unlock (AI optimized)
Emergency SOS via Satellite (for specific regions

👉 Ulinzi wa data zako uko strong na biometric options mbili. Na SOS via Satellite ni feature ya usalama unaposafiri
Audio
Stereo speakers
Noise cancellation mic

👉 For music lovers, movie streamers na gamers, stereo speakers zinatoa immersive sound. Mic yenye noise cancellation ni bonus kwenye calls na recordings.
👉 Kamera hii ni beast kwa low light shots, wide angle photography, na high-quality video recording

Google pia inajulikana kwa computational photography – hivyo hata kama specs zinaonekana simple, results huwa outstanding!
Selfie Camera
10.5MP
4K@60fps video
👉 Perfect kwa vlogs, video calls na social media content creators. 4K selfie video sio kawaida kwenye phones nyingi.
Camera
Rear

50MP Main (f/1.7, OIS)
48MP Ultra-wide
4K
60fps video support48MP + 12MP Ultra-wide + 10.8MP (5x) Periscope
Box Contents
Ukinunua, unapata:
The phone (obviously 😂)
USB-C cable
SIM ejector
Paperwork
👉 Kama kawaida ya Pixels, hakuna charger kwenye box (environmental reasons).
︎ Teknolojia

💨 SAMSUNG A55 5G

▪️50MP Camera
▪️Exynos 1480
▪️8GB RAM, 256GB ROM
▪️5000mAh | 25W

▪️TSH. 1,000,000

📍Dar: KKKT Kariakoo
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨Muonekano wa One plus Nord 5🔥🔥