Teknolojia
132 subscribers
3.8K photos
4.51K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
🛠️ 4. Warranty na After Sales Service:

Simu nyingi kutoka nje hazina warranty Tanzania

Kama ikiharibika, huduma ya matengenezo itakuwa kwa gharama zako

Angalia kama brand ina authorized service center hapa Tanzania


💨 Fanya research na mikoa mingine pia utagundua hiyo issue iko kila sehemu

Kuna sababu nyingi moja wapo ni bahati mbaya ya kuishi na mwanamke anayeamini kwenye ushirikina yeye hufikiria kuangamiza sauti ya Mwanaume ndani ya nyumba ili awe huru.
︎ Teknolojia

💨JBL GO4🔥🔥🔥

▪️Original product

💥Price: 190,000

📍Dar: KKKT Kariakoo
📍Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨 TECNO CAMON 40 Series

▪️Camon 40 (16+256) - 650K
▪️Camon 40 Pro (16+256) - 750K
▪️Camon 40 Premier (21+512) - 1.15M

📍Geti la KKKT Kariakoo
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Simu yako inajuaje uko wapi? 😱 Angalia jinsi GPS inavyoongea na anga kwa kasi ya mwanga!🚀📡
Mfano:

Samsung Super Fast Charging: 45W

Xiaomi HyperCharge: 67W - 120W

Infinix All-Round FastCharge: 45W - 68W
Je, unaweza kutumia Super Fast Charger kwenye simu yoyote?
Hapana❗️

Simu yako lazima iwe na hardware support ya Super Fast Charging.
Kama simu yako inapokea max 25W, hata ununue charger ya 100W, bado itachaji kwa 25W tu.
Kwa kifupi:

Fast Charging = Kasi ya kawaida ya haraka
Super Fast Charging = Kasi ya juu zaidi, inahitaji vifaa maalum na simu yenye uwezo huo

Kabla hujanunua charger yoyote → Angalia maximum charging wattage ya simu yako
Tofauti Kuu kati ya hizi mbili ni hizi:

Kasi ya kuchaji:
Super Fast Charging ni mara mbili au tatu haraka zaidi kuliko Fast Charging ya kawaida.
👉 Nini maana ya Super Fast Charging?
Super Fast Charging ni step ya juu zaidi.
Hapa power delivery huwa kubwa zaidi (kuanzia 40W, 50W, hadi 100W+ kwa baadhi ya models)
Jambo la kuzingatia:
Daima tumia original charger au certified charger.

Fake fast chargers zinaweza kuharibu battery yako, au kuleta moto.
Muda wa kuchaji:
Fast Charging inaweza kuchukua zaidi ya saa moja hadi simu ijaze.

Super Fast Charging inaweza kujaza ndani ya dakika 20 hadi 45 kutegemea na capacity ya battery.
Super Fast Charging ni hatari kwa battery?
Kwa simu za kisasa: Hapana.
Brands kubwa zinatumia teknolojia ya:

Smart Temperature Control

Adaptive Charging

Battery Health Protection
Hitaji la vifaa maalum:
Super Fast Charging inahitaji charger na cable maalum zilizotengenezwa kwa power hiyo kubwa.
Lakini:
Usitumie fake chargers
Usichaji simu usiku kucha bila sababu
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Ukweli Kuhusu Kutengeneza Pesa Kupitia vudeo za AI (VEO 3)
🚀 Umewahi kusikia kuhusu VEO 3? Hii ni teknolojia mpya ya AI inayotengeneza video za ajabu — na watu tayari wanatengeneza pesa nyingi kwa kuzitumia kwenye mitandao kama YouTube, TikTok na Instagram!