Teknolojia
132 subscribers
3.8K photos
4.49K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
︎ Teknolojia

💨T1 mobile phone simu ya Trump ila haitengenezwi marekani.
Bado haijawekwa wazi ila specifications zake huenda ikawa inatengenezwa China.
Simu hii iko mbioni kuzinduliwa mwanzoni mwa mwezi wa 9
💨 Wanawake wa Kisikuma ni wanyenyekevu sana wana upendo wa kweli ni wastaharabu na pia ni watulivu.
@Huduma

💨 OFFER SAMSUNG A SERIES

▪️A05 (4+64) - 250K
▪️A06 (4+64) - 300K
▪️A06 (4+128) - 330K
▪️A05s (4+128) - 350K
▪️A16 (4+128) -420K
▪️A16 (6+128) - 450K
▪️A16 (8+256) - 580K
▪️A26 5G (6+128) - 680K
▪️A26 5G (8+256) - 780K
▪️A36 5G (6+128) - 900K
▪️A36 5G (8+256) - 1M
▪️A56 5G (8+128) - 1M
▪️A56 5G (8+256) - 1.15M

📍Dar: KKKT Kariakoo
📍Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Harman kardon Studio 9 sasa zinapatikana kitaani🔥🔥🔥
︎ Teknolojia

💨 Official sasa huu utakuwa Muonekano wa simu ya Nothing phone ³
Unaipa ngapi 1-10
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

✈️ Kwanini Ndege Haina Parachute? Watu wengi hudhani parachute ni suluhisho bora – lakini ukweli utakuacha mdomo wazi! 😱 👉 Kasi ya ndege? Hatari! 👉 Urefu? Baridi kali & hakuna hewa! 👉 Ungeweza kuruka kweli? 🎥 Tazama hii video ujue kwanini life jacket ndiyo inawekwa badala ya parachute.
📸 Kamera:

64MP main camera

16MP front camera

Hii si simu ya photography professional, lakini inafanya kazi vizuri kwa picha za field na documentation.
7/
⚙️ Utendaji wa Ndani:

MediaTek Helio G100 processor

6GB RAM

128GB storage (expandable via microSD)

Android 15 tayari ikiwa imewekwa

Kwa kazi za field, navigation apps, na communication apps... performance inatosha.
9/
📏 Ukubwa na Uzito:

Uzito: 538g

Unene: 24.6mm

Hii ni simu nzito zaidi ya wastani, lakini uzito huo unaendana na uimara na ukubwa wa betri.
︎ Teknolojia

/
🔈 Sauti:
KingKong Power 5 ina spika kubwa yenye nguvu inayofikia hadi 136dB

Inafaa kwa matumizi ya site, mawasiliano ya emergency, au taarifa za sauti mahali penye kelele nyingi.
11/
KingKong Power 5 inafaa kwa:
Watu wanaofanya kazi kwenye mazingira magumu (construction sites, migodini, viwandani)
Wapenzi wa safari ndefu na camping
Madereva wa safari ndefu
Mtu yeyote anayehitaji battery ya kudumu na uimara wa kweli
6/
📱 Display:

6.88 inch HD+ IPS LCD

120Hz refresh rate

1000 nits brightness (inasomeka vizuri hata kwenye jua kali)

Gorilla Glass protection dhidi ya mikwaruzo
10/
💰 Bei:
Kwa sasa, bei ya kimataifa inarange kati ya $200 hadi $250
(Tsh 500,000 - 650,000 kabla ya kodi na usafirishaji)

Bei inaweza kutofautiana kulingana na muuzaji na eneo ulipo.
Cubot KingKong Power 5 ni chaguo sahihi kwa wale wanaotanguliza uimara, betri kubwa, na matumizi ya field kuliko uzito wa simu au aesthetics.
︎ Teknolojia

/
🌧️ Uimara na Ulinzi:
Simu hii imeidhinishwa kwa viwango vya kimataifa vya uimara:

IP68 / IP69K (waterproof & dustproof)

MIL-STD-810H certification (shockproof & drop resistant)

Imejengwa kwa ajili ya mazingira magumu kama migodini, viwandani, au safari za porini.