Teknolojia
132 subscribers
3.74K photos
4.4K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
4️⃣ Chagua Category
→ Mfano:

📱 Mobile Shop

🍔 Restaurant

🏨 Hotel

🛠️ Electronics Repair

Hii inasaidia Google kuwapa watu sahihi biashara yako wanapofanya search.
5️⃣ Weka Location

→ Chora eneo kwenye ramani au weka physical address yako.

→ Kama huna duka la kudumu, unaweza kusema “I deliver goods or services to customers” (Optional).
7️⃣ Verification Step (Mara nyingi Postcard 📮)

→ Google atakutumia barua yenye verification code kwenye anwani yako (huja ndani ya wiki 2-3).

→ Weka hiyo code ili biashara yako iwe live.
2️⃣ Login kwa Gmail yako
→ Hakikisha unatumia Gmail ambayo unataka iwe mmiliki wa biashara hiyo
︎ Teknolojia

💨 XIAOMI REDMI (Brand new) 💥

▪️Redmi A5 (3+64) - 250K
▪️Redmi A5 (4+128) - 280K
▪️Redmi 14C (4+128) - 300K
▪️Redmi 14C (8+256) - 350K
▪️Note 13 (6+128) - 450K
▪️Note 13 (8+256) - 530K
▪️Note 13 Pro 4G (8+256) - 680K
▪️Note 13 Pro+ 5G (8+256) - Tsh. 880K
▪️Note 13 Pro+ 5G (12+512) - Tsh. 1.05M
▪️Redmi Note 14 (6+128) - 480K
▪️Redmi Note 14 (8+256) - 580K
▪️Redmi Note 14 5G (8+256) - 700K
▪️Redmi Note 14 Pro 4G (8+256) - 700K
▪️Redmi Note 14 Pro 5G (8+256) - 800K
▪️Redmi Note 14 Pro+ 5G (8+256)
︎ Teknolojia

💨Mshafika huku au niwaache kidogo
︎ Teknolojia

💨 TECNO CAMON 40 Series

▪️Camon 40 (16+256) - 650K
▪️Camon 40 Pro (16+256) - 750K
▪️Camon 40 Premier (21+512) - 1.15M

📍Geti la KKKT Kariakoo
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨T1 mobile phone simu ya Trump ila haitengenezwi marekani.
Bado haijawekwa wazi ila specifications zake huenda ikawa inatengenezwa China.
Simu hii iko mbioni kuzinduliwa mwanzoni mwa mwezi wa 9
💨 Wanawake wa Kisikuma ni wanyenyekevu sana wana upendo wa kweli ni wastaharabu na pia ni watulivu.
@Huduma

💨 OFFER SAMSUNG A SERIES

▪️A05 (4+64) - 250K
▪️A06 (4+64) - 300K
▪️A06 (4+128) - 330K
▪️A05s (4+128) - 350K
▪️A16 (4+128) -420K
▪️A16 (6+128) - 450K
▪️A16 (8+256) - 580K
▪️A26 5G (6+128) - 680K
▪️A26 5G (8+256) - 780K
▪️A36 5G (6+128) - 900K
▪️A36 5G (8+256) - 1M
▪️A56 5G (8+128) - 1M
▪️A56 5G (8+256) - 1.15M

📍Dar: KKKT Kariakoo
📍Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Harman kardon Studio 9 sasa zinapatikana kitaani🔥🔥🔥
︎ Teknolojia

💨 Official sasa huu utakuwa Muonekano wa simu ya Nothing phone ³
Unaipa ngapi 1-10
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

✈️ Kwanini Ndege Haina Parachute? Watu wengi hudhani parachute ni suluhisho bora – lakini ukweli utakuacha mdomo wazi! 😱 👉 Kasi ya ndege? Hatari! 👉 Urefu? Baridi kali & hakuna hewa! 👉 Ungeweza kuruka kweli? 🎥 Tazama hii video ujue kwanini life jacket ndiyo inawekwa badala ya parachute.
📸 Kamera:

64MP main camera

16MP front camera

Hii si simu ya photography professional, lakini inafanya kazi vizuri kwa picha za field na documentation.