Teknolojia
132 subscribers
3.82K photos
4.58K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
@Huduma

πŸ’¨Muonekano wa kibabe sanaπŸ’₯

Poco F7
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Angalia hapa ili ukiambiwa tumemuona Mo Dewji ananchoma mishkaki nyumbani kwake uelewe . Wataalamu wetu wa Vweta chukueni hapa nawapa siku tatu nisipoyaona haya nawashukia huko chini. Video kwa hisani ya @Goodluck . πŸ‡ΉπŸ‡Ώ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡ΊπŸ‡¬πŸ‡ΊπŸ‡¬πŸ‡ΊπŸ‡¬ πŸ‡¨πŸ‡© πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ SAMSUNG A55 5G

β–ͺ️50MP Camera
β–ͺ️Exynos 1480
β–ͺ️8GB RAM, 256GB ROM
β–ͺ️5000mAh | 25W

β–ͺ️TSH. 1,000,000

πŸ“Dar: KKKT Kariakoo
πŸ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Speaker zote kali na za kijanja zimeshawasili kitaani πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯..
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

I had a wonderful journey to travel back to my country after grindin’ hard in Dubai,,finally it’s time for a new chapter of BLAX STORE.Ni MUNGU TUβœ…πŸ™πŸ™
3️⃣ Click "Manage Now" au "Add Business"

β†’ Ingiza jina la biashara yako kama unavyotaka liwe linaonekana kwa wateja.
8️⃣ Baada ya ku-verify... Boom! Biashara yako itaonekana Google Maps πŸ”₯

Wateja wanaweza kuona:
βœ… Jina la biashara
βœ… Mahali ulipo
βœ… Reviews
βœ… Contact details
βœ… Business hours
6️⃣ Weka Contact Info
β†’ Namba ya simu πŸ“ž
β†’ Website (Kama unayo 🌐)
β†’ Opening hours πŸ•’ (Unaweza kuruka kama hutaki)
β€Œ

1️⃣ Fungua Google Maps au Google Search
β†’ Tafuta "Add your business on Google" au nenda moja kwa moja kwenye link hii:
πŸ‘‰ google.com/business/
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨JINSI YA KUONGEZA BIASHARA YAKO KWENYE GOOGLE MAP (GOOGLE MY BUSINESS).

Heading:
πŸ” "Unataka wateja wakupate kirahisi? Hivi ndivyo unavyoongeza biashara yako kwenye Google Maps!"

ShukaπŸ§΅πŸ§΅πŸ‘‡
Tip ya Bonus:
βœ… Omba wateja wako wakuandikie reviews ili uonekane zaidi.
4️⃣ Chagua Category
β†’ Mfano:

πŸ“± Mobile Shop

πŸ” Restaurant

🏨 Hotel

πŸ› οΈ Electronics Repair

Hii inasaidia Google kuwapa watu sahihi biashara yako wanapofanya search.
5️⃣ Weka Location

β†’ Chora eneo kwenye ramani au weka physical address yako.

β†’ Kama huna duka la kudumu, unaweza kusema β€œI deliver goods or services to customers” (Optional).