Teknolojia
132 subscribers
3.74K photos
4.4K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ USED DUBAI (Original Display)πŸ‘‡

β–ͺ️Pixel 7 (8+128) - 550K
β–ͺ️Pixel 7a (8+128) - 550K
β–ͺ️Pixel 8 Pro (12+128) - 1.15M

PIXEL MPYA (Non Active)πŸ’₯
β–ͺ️Pixel 9a (8+128) - 1.45M
β–ͺ️Pixel 9a (8+256) - 1.7M
β–ͺ️Pixel 9 (12+128) - 1.75M
β–ͺ️Pixel 9 (12+256) - 2.1M
β–ͺ️Pixel 9 Pro (16+128) - 2.4M
β–ͺ️Pixel 9 Pro (16+256) - 2.8M
β–ͺ️Pixel 9 Pro XL (16+128) - 2.5M
β–ͺ️Pixel 9 Pro XL (16+256) - 2.8M

πŸ“Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani 🚚
@Njiwa_Store
πŸ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨SIMU YA BAJETI YA LAKI TATU

REDMI 14CπŸ”₯πŸ”₯

Redmi 14C specification

πŸ“Έ Camera: 50MP + 2MP (rear), 13MP (selfie)

πŸ”‹ Battery: 5,160mAh, 18W fast charging

πŸ“± Display: 6.88", HD+, 120Hz

βš™οΈ Processor: Helio G81 Ultra, Android 14 (HyperOS)

πŸ’Ύ Memory: 4/6/8GB RAM,
64/128/256GB ROM

πŸ“‘ Network: 4G, Dual SIM, Bluetooth 5.4, Wi-Fi

πŸ” Security: Side fingerprint, Face unlock

🎨 Colors: Black, Green, Purple, Blue

πŸ”₯ Price: Redmi 14C (4+128) 300,000
Redmi 14C (8+256) 350,000
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Mtu anaibiwa simu gafla pesa zinatolewa kwenye account yake kumbe ni mifumo iko dhaifu

Mfano Eyatel mtu akienda Badili namba za siri anaweka namba za siri mpya zinabadilika bila kuulizwa chochote.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Hey!.. hivi mnafahamu kwamba ukiwa na Infinix NOTE 50 Pro+ utaweza kupima Blood Pressure na Heart Rate kwa usahihi bila hata kutembelea hospitali iliyo karibu nawe!?.. kupitia My health App inayopatikana katika toleo jipya la Infinix NOTE 50 Pro+ sasa watumiaji wake wanaweza kuangalia afya zao kila siku. .
πŸ†• Apple imetoa mfumo mpya wa iOS 26 Beta 2
Ikiwa wewe ni mpenzi wa Trump au unataka simu ya kipekee kwa sababu za identity, unaweza kuinunua
4. πŸ’Έ Bei & Gharama za Huduma

πŸ›’ Bei ya simu: $499 (β‰ˆ TZS 1.3M)
πŸ“ž Gharama ya line ya Trump Mobile: $47.45/mwezi (β‰ˆ TZS 78,000)
Inajumuisha:

Unlimited calls & data

Roadside assistance

Priority customer care
T1 Phone ya Trump inafanana uwezo na mid-range Android phone ya bei ya kawaida, mfano Samsung Galaxy A14 5G au Redmi Note 12 5G.

Kwa nini?

Ina specs za kawaida (8GB RAM, 128GB storage)

Haina kamera za kipekee

Haina processor ya hali ya juu (kama Snapdragon 8 Gen 2)
Kwa matumizi ya kawaida, hii ni ghali ukilinganisha na huduma za kawaida (halafu hakuna 5G ya uhakika).
γ€½οΈŽ Teknolojia

. 🟑 Muonekano wa Gold

Simu ina rangi ya gold 🟨, imechorwa bendera ya Marekani, na ina maandishi ya β€œT1” nyuma kama identity ya nguvu.

🎨 Inaonekana kama limited edition phone ya kisiasa β€” kama vile Apple ingekuwa ya Republican.
6. πŸ€” Je, Ina Maajabu Yoyote?
βœ… Ina design ya kipekee
βœ… Ina branding ya kipekee
❌ Haina teknolojia mpya
❌ Sio simu ya "ki-mapinduzi" kama wanavyoitangaza
❌ Hakuna AI, satellite comms, au specs bora kuzidi flagships
Haina OS ya kipekee, inatumia mod ya Android

Ni simu ya kawaida yenye jina kubwa la kisiasa, lakini haina β€œmaajabu ya kiteknolojia.”
γ€½οΈŽ Teknolojia

. πŸ—οΈ Imetengenezwa Marekani?

Trump anadai kuwa hii ni simu ya β€œMade in America”.
Lakini ukweli?

πŸ” Vifaa vingi vya simu (kama processor, screen, battery) hutengenezwa China au Korea.
Inaonekana ni rebranded phone, siyo totally American.
γ€½οΈŽ Teknolojia

. 🎯 Imetengenezwa kwa Ajili ya Nani?
Simu hii inalenga:
πŸ”΄ Wafuasi wa Trump (MAGA)
πŸ‡ΊπŸ‡Έ Wapenda bidhaa za kisiasa
πŸ“² Watu wanaotaka "simu tofauti" kwa ajili ya identity – si performance.

Hii ni kama simu ya kiitikadi kuliko kifaa cha teknolojia cha nguvu.
γ€½οΈŽ Teknolojia

. πŸ”§ Specs Zake

Zinachosha:

πŸ“± Screen: 6.8β€³ AMOLED, 120Hz

πŸŽ₯ Kamera: 50MP

πŸ’Ύ RAM: 12GB | Storage: 256GB

πŸ”‹ Battery: 5000mAh

πŸ”’ Fingerprint sensor

πŸ“‘ Android 15 (custom UI?)

Lakini zote hizi hazina jipya, ni specs za kawaida za simu nyingi mid-range.
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ NOTHING PHONE (Non Active)

β–ͺ️CMF Phone1 (8+256) - 850K
β–ͺ️Phone2a (8+256) - 1.2m
β–ͺ️Phone2a Plus (12+256) - 1.35m
β–ͺ️Phone 2 (12+256) - 1.58m
β–ͺ️Phone 2 (12+512) - 1.75m
β–ͺ️Phone 3a (12+256) - 1.25M
β–ͺ️Phone 3a Pro (12+256) - 1.45M

πŸ“Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani 🚚
@Njiwa_Store
πŸ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ INFINIX BRAND NEW

β–ͺ️Infinix Smart 8 (4+64) - 230K
β–ͺ️Infinix Smart 9 (6+64) - 250K
β–ͺ️Infinix Hot 50i (8+128) - 310K
β–ͺ️Infinix Hot 50 Pro+ (16+128) - 520K
β–ͺ️Infinix Note 50 (16+256) - 650K
β–ͺ️Infinix Note 50 Pro+ (12+512) - 1.2M

πŸ“Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1 utaingia ndani duka limeandikwa Njiwa
@Njiwa_Store
πŸ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨Hii simu mpaka kuzinduliwa kutakuwa na design nyingi sana

Huu muonekano mwingine wa Nothing phone 3 ambayo bado haijazinduliwa
@Huduma

πŸ’¨ JBL SPEAKER (OriginalπŸ’―)

β–ͺ️JBL Go 3 - 145K
β–ͺ️JBL Go 4 - 190K
β–ͺ️JBL Flip6 - 300K
β–ͺ️JBL Flip7 - 380K
β–ͺ️JBL Charger5 - 450K
β–ͺ️JBL Charger6 - 550K
β–ͺ️JBL XTRME3 - 700K
β–ͺ️JBL XTRME4 - 840K
β–ͺ️JBL Boombox X3 Wi-Fi - 1.3M

πŸ“Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1 utaingia ndani duka limeandikwa Njiwa
@Njiwa_Store
πŸ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757