Teknolojia
132 subscribers
3.74K photos
4.4K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
6️⃣ Charging Cycles & Battery Health
Simu mpya ina battery health 100%, lakini baada ya miezi 12-24, inaweza kushuka hadi 80%.

πŸ“‰ Ukiona simu yako inamaliza chaji haraka, huenda battery yako imezeeka (cycle nyingi) au kuna overheating imeshaharibu cell.
β›” Hizi huishi nyuma ya pazia – bila wewe kuzitumia – na hula battery polepole.
πŸ“² Nenda Settings > Battery > App usage > Angalia apps zinazotumia battery hata ukiwa hujazifungua.
7️⃣ User Behavior – Style ya Matumizi
Hii ni ngumu kupima lakini ya kweli:

πŸ“ Mtu anayepiga simu 3 tu kwa siku anahitaji battery kidogo

πŸ“ Mwingine yuko Instagram, TikTok, YouTube, WhatsApp video call saa nzima – atahitaji mAh kubwa zaidi.
@Huduma

πŸ’¨ OFFER SAMSUNG A SERIES

β–ͺ️A05 (4+64) - 250K
β–ͺ️A06 (4+64) - 300K
β–ͺ️A06 (4+128) - 330K
β–ͺ️A05s (4+128) - 350K
β–ͺ️A16 (4+128) -420K
β–ͺ️A16 (6+128) - 450K
β–ͺ️A16 (8+256) - 580K
β–ͺ️A26 5G (6+128) - 680K
β–ͺ️A26 5G (8+256) - 780K
β–ͺ️A36 5G (6+128) - 900K
β–ͺ️A36 5G (8+256) - 1M
β–ͺ️A56 5G (8+128) - 1M
β–ͺ️A56 5G (8+256) - 1.15M

πŸ“Dar: KKKT Kariakoo
πŸ“Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
πŸ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Edit Picha Kwa Kutumia ChatGPT – Hatuhitaji Tena Photoshop!
Katika video hii, nakuonyesha jinsi nilivyotumia ChatGPT na AI kuhariri picha bila kutumia Photoshop au programu ngumu. Unahitaji tu prompt moja nzuri!

🧠 Unataka kujifunza kutumia AI kama mtaalamu? Jiunge na group letu la WhatsApp ambapo tunashare:

Prompts za AI za picha

Mafunzo ya bure ya AI

Njia za kutengeneza kipato mtandaoni kwa kutumia AI

πŸ”— Jiunge hapa πŸ‘‰
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ JBL SPEAKER (OriginalπŸ’―)

β–ͺ️JBL Go 3 - 145K
β–ͺ️JBL Go 4 - 190K
β–ͺ️JBL Flip6 - 300K
β–ͺ️JBL Flip7 - 380K
β–ͺ️JBL Charger5 - 450K
β–ͺ️JBL Charger6 - 550K
β–ͺ️JBL XTRME3 - 700K
β–ͺ️JBL XTRME4 - 840K
β–ͺ️JBL Boombox X3 Wi-Fi - 1.3M

πŸ“Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1 utaingia ndani duka limeandikwa Njiwa
@Njiwa_Store
πŸ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
1. πŸ—οΈ Imetengenezwa Marekani?

Trump anadai kuwa hii ni simu ya β€œMade in America”.
Lakini ukweli?

πŸ” Vifaa vingi vya simu (kama processor, screen, battery) hutengenezwa China au Korea.
Inaonekana ni rebranded phone, siyo totally American.
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ REDMI NOTE 14 Series πŸ’₯

β–ͺ️Note 14 (6+128) - 480K
β–ͺ️Note 14 (8+256) - 550K
β–ͺ️Note 14 5G (8+256) - 700K
β–ͺ️Note 14 Pro 4G (8+256) - 700K
β–ͺ️Note 14 Pro 5G (8+256) - 900K
β–ͺ️Note 14 Pro+ 5G (8+256) - 1.1M
β–ͺ️Note 14 Pro+ 5G (12+512) - 1.25M

πŸ“Geti la KKKT Kariakoo
@Njiwa_Store
πŸ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨Huawei mwaka huu wamejipanga sana
Ona matoleo yao yanayosumbua mtandaoniπŸ’₯
❀1
πŸ“Έ Bill Gates na Linus Torvalds wanakutana kwa mara ya kwanza.

- Mwanzilishi wa Microsoft - Bill Gates
- Mwanzilishi wa Linux - Linus Torvalds
kwa mara ya kwanza wamekutana LIVE
@Huduma

πŸ’¨ INFINIX BRAND NEW

β–ͺ️Infinix Smart 8 (4+64) - 230K
β–ͺ️Infinix Smart 9 (6+64) - 250K
β–ͺ️Infinix Hot 50i (8+128) - 310K
β–ͺ️Infinix Hot 50 Pro+ (16+128) - 520K
β–ͺ️Infinix Note 50 (16+256) - 650K
β–ͺ️Infinix Note 50 Pro+ (12+512) - 1.2M

πŸ“Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1 utaingia ndani duka limeandikwa Njiwa
@Njiwa_Store
πŸ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨Tambo la SONY XPERIA kwenye swala la camera ni hatari sana

πŸ’₯πŸ‘‡πŸ‘‡
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Ubora na bei za simu mpya za Infinix note 50
Hii ni video inayofafanua maboresho na ubora ambao unapatikana kwenye simu za matoleo ya infinix note 50, unataka kujua aina ya ubora uliopo kwenye infinix note 50 basi maelezo ya kina na rahisi yapo kwenye hii tv
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ USED DUBAI (Original Display)πŸ‘‡

β–ͺ️Pixel 7 (8+128) - 550K
β–ͺ️Pixel 7a (8+128) - 550K
β–ͺ️Pixel 8 Pro (12+128) - 1.15M

PIXEL MPYA (Non Active)πŸ’₯
β–ͺ️Pixel 9a (8+128) - 1.45M
β–ͺ️Pixel 9a (8+256) - 1.7M
β–ͺ️Pixel 9 (12+128) - 1.75M
β–ͺ️Pixel 9 (12+256) - 2.1M
β–ͺ️Pixel 9 Pro (16+128) - 2.4M
β–ͺ️Pixel 9 Pro (16+256) - 2.8M
β–ͺ️Pixel 9 Pro XL (16+128) - 2.5M
β–ͺ️Pixel 9 Pro XL (16+256) - 2.8M

πŸ“Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani 🚚
@Njiwa_Store
πŸ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨SIMU YA BAJETI YA LAKI TATU

REDMI 14CπŸ”₯πŸ”₯

Redmi 14C specification

πŸ“Έ Camera: 50MP + 2MP (rear), 13MP (selfie)

πŸ”‹ Battery: 5,160mAh, 18W fast charging

πŸ“± Display: 6.88", HD+, 120Hz

βš™οΈ Processor: Helio G81 Ultra, Android 14 (HyperOS)

πŸ’Ύ Memory: 4/6/8GB RAM,
64/128/256GB ROM

πŸ“‘ Network: 4G, Dual SIM, Bluetooth 5.4, Wi-Fi

πŸ” Security: Side fingerprint, Face unlock

🎨 Colors: Black, Green, Purple, Blue

πŸ”₯ Price: Redmi 14C (4+128) 300,000
Redmi 14C (8+256) 350,000
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Mtu anaibiwa simu gafla pesa zinatolewa kwenye account yake kumbe ni mifumo iko dhaifu

Mfano Eyatel mtu akienda Badili namba za siri anaweka namba za siri mpya zinabadilika bila kuulizwa chochote.