Teknolojia
132 subscribers
3.82K photos
4.57K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
💨 Dogo janja alivyosema "Nikupeleke Ngarenaro tukapande Kilimanjaro" alimaanisha Kilimanjaro Bus

Mbosso kadhani alimaanisha Mlima kapita jumla jumla alafu Ngarenaro iko mkoa wa Arusha na Mlima uko Mkoa wa Kilimanjaro. Hii mikoa watu wengi wameshindwaga kuitofautisha.
︎ Teknolojia

💨 XIAOMI REDMI (Brand new) 💥

▪️Redmi A5 (3+64) - 250K
▪️Redmi A5 (4+128) - 280K
▪️Redmi 14C (4+128) - 300K
▪️Redmi 14C (8+256) - 350K
▪️Note 13 (6+128) - 450K
▪️Note 13 (8+256) - 530K
▪️Note 13 Pro 4G (8+256) - 680K
▪️Note 13 Pro+ 5G (8+256) - Tsh. 880K
▪️Note 13 Pro+ 5G (12+512) - Tsh. 1.05M
▪️Redmi Note 14 (6+128) - 480K
▪️Redmi Note 14 (8+256) - 580K
▪️Redmi Note 14 5G (8+256) - 700K
▪️Redmi Note 14 Pro 4G (8+256) - 700K
▪️Redmi Note 14 Pro 5G (8+256) - 800K
▪️Redmi Note 14 Pro+ 5G (8+256)
︎ Teknolojia

💨 Nothing phone 3
︎ Teknolojia

💨 Tecno wamewacopy Nothing.
Bottom Line:
Simu yenye 5000mAh sio lazima idumu zaidi ya 4000mAh – usiamini namba pekee.
Kagua:
✔️ Optimization
✔️ Chipset
✔️ Screen
✔️ Network
✔️ Apps za background
✔️ Battery Health
➡️ Tumia apps kama AccuBattery au kwenye Samsung/Pixel nenda Settings > Battery Health.
5️⃣ Signal Strength & Network Usage
Kama uko eneo lenye signal mbaya, simu yako inalazimika kutumia nguvu nyingi kupata 4G/5G.
📡 Kitu hiki kinatumia battery kama vile unafanya video call.
⚠️ Watu wengi huangalia tu namba za 5000mAh bila kutathmini matumizi yao halisi.
🧠 Bonus: Unavyoweza Kuongeza Battery Life
Tumia Dark Mode

Zima Location & Bluetooth ukizihitaji

Punguza Refresh Rate

Tumia Wi-Fi badala ya Mobile Data

Usitumie wallpapers zenye movement

Fungia apps zisizo na maana
➡️ Njia rahisi ya kutuliza drain ni kutumia Airplane Mode unapokuwa kwenye maeneo ya low signal.
6️⃣ Charging Cycles & Battery Health
Simu mpya ina battery health 100%, lakini baada ya miezi 12-24, inaweza kushuka hadi 80%.

📉 Ukiona simu yako inamaliza chaji haraka, huenda battery yako imezeeka (cycle nyingi) au kuna overheating imeshaharibu cell.
Hizi huishi nyuma ya pazia – bila wewe kuzitumia – na hula battery polepole.
📲 Nenda Settings > Battery > App usage > Angalia apps zinazotumia battery hata ukiwa hujazifungua.
7️⃣ User Behavior – Style ya Matumizi
Hii ni ngumu kupima lakini ya kweli:

📍 Mtu anayepiga simu 3 tu kwa siku anahitaji battery kidogo

📍 Mwingine yuko Instagram, TikTok, YouTube, WhatsApp video call saa nzima – atahitaji mAh kubwa zaidi.
@Huduma

💨 OFFER SAMSUNG A SERIES

▪️A05 (4+64) - 250K
▪️A06 (4+64) - 300K
▪️A06 (4+128) - 330K
▪️A05s (4+128) - 350K
▪️A16 (4+128) -420K
▪️A16 (6+128) - 450K
▪️A16 (8+256) - 580K
▪️A26 5G (6+128) - 680K
▪️A26 5G (8+256) - 780K
▪️A36 5G (6+128) - 900K
▪️A36 5G (8+256) - 1M
▪️A56 5G (8+128) - 1M
▪️A56 5G (8+256) - 1.15M

📍Dar: KKKT Kariakoo
📍Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757