Teknolojia
133 subscribers
3.82K photos
4.55K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
3. Gorilla Glass Victus (2020)
πŸ”₯ Hii ni level ya juu!

βœ… Drop resistance hadi 2 meters.

βœ… Scratch resistance imeboreshwa kwa 4x zaidi ya Gorilla Glass 5.
⚠️ Kwa Nini Hii Tofauti Ni Muhimu?
Ukiangusha simu yenye GG3: high chance itavunjika.

GG5: inaweza kuhimili kidogo, lakini still ina risk.

Victus: chance ya survival ni kubwa sana.

Kwa hiyo, ukiambiwa "Simu ina Gorilla Glass Victus" – hiyo ni point kubwa ya kuuza.
2. Gorilla Glass 5 (2016)

βœ… Kipaumbele: Drop protection (inaweza kuhimili kudondoka kutoka ~1.6m).

βœ… Bado ina scratch resistance ya kawaida.
@Huduma

πŸ’¨ INFINIX BRAND NEW

β–ͺ️Infinix Smart 8 (4+64) - 230K
β–ͺ️Infinix Smart 9 (6+64) - 250K
β–ͺ️Infinix Hot 50i (8+128) - 310K
β–ͺ️Infinix Hot 50 Pro+ (16+128) - 520K
β–ͺ️Infinix Note 50 (16+256) - 650K
β–ͺ️Infinix Note 50 Pro+ (12+512) - 1.2M

πŸ“Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1 utaingia ndani duka limeandikwa Njiwa
@Njiwa_Store
πŸ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Mimi awe anafanania hivi 100% naisha
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ PS6 😁
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Infinix wanahatari mnoo aisee, kupitia toleo lao jipya la NOTE 50 Pro+ 5.5G wamekuja na Features nyingi kali za AI na zote zinarahisisha matumizi ya kila siku ya mtumiaji wa simu hii.
πŸŒ™ 5. Night Mode, HDR, AI – hizi zinabadili mchezo
β€’ HDR huongeza contrast
β€’ AI hubalance mwanga na rangi
β€’ Night Mode huruhusu picha ang’avu bila flash
πŸ“· 4. Pixel Binning: 200MP inakuwa 12MP kwa makusudi!

Simu nyingi hutumia teknolojia ya Pixel Binning – kuchanganya pixels ili kupata mwanga bora.
βœ… 7. Jinsi ya kuchagua simu yenye kamera bora (kwa kweli):

Angalia sensor size (Sony IMX, Samsung GN2...)

Chipset ya simu (Snapdragon 8 Gen 2, n.k.)

Mfano wa matokeo ya kamera (YouTube/Reviews)
🧠 3. Processing chip ina mchango mkubwa
Kamera haina akili β€” chip ya simu ndiyo inafanya kazi ya kusafisha picha.
⚠️ 6. Uchafu wa lenzi, mtikisiko, na autofocus duni = picha mbaya
β€’ Hakikisha lenzi yako safi
β€’ Acha simu ikafocus vizuri kabla ya kupiga
β€’ Tumia mode sahihi (portrait, pro, n.k.)
Kuwa na 200MP siyo vibaya, lakini si kila 200MP ni picha bora. Ubora wa picha unategemea mambo mengi β€” sio namba pekee
πŸ”Ž Hivyo picha bora ni software + sensor + chip β€” si megapixel pekee.
πŸ“± iPhone 12 12MP inaweza kuwapiga bao baadhi ya 108MP phones kwa sababu ya processor nzuri (A14 Bionic, n.k.)
πŸ§ͺ Mfano: 16 pixels zinachanganywa kuwa moja β†’ picha za 12MP zenye ubora zaidi kuliko 200MP raw.