Teknolojia
132 subscribers
3.76K photos
4.44K videos
93 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
🌐 6. Connectivity ya nguvu

5G Modem: Snapdragon X75

Kasi ya internet hadi 10Gbps (ikiwa mtandao unaruhusu)

WiFi 7, Bluetooth 5.4 – teknolojia mpya kabisa
> ⚑ Hii ni chip yenye nguvu zaidi ya Snapdragon hadi sasa – ilizinduliwa mwishoni mwa 2023.
GPU – Adreno 750

Inacheza games za 3D kwa smooth kama kwenye PlayStation

Inasaidia ray tracing – teknolojia ya realistic lighting kwenye games
AI yake ni ya nguvu sana – inatumika hata kwa real-time translation, voice typing, smart reply, nk.
βš™οΈ 2. β€œGen 3” maana yake nini?

"Gen 3" ni kifupi cha Generation 3 – toleo la tatu la Snapdragon 8 series, ambayo ni kwa ajili ya flagship phones (simu za daraja la juu kama Galaxy S24, Xiaomi 14, OnePlus 12).
πŸ“Έ 4. Kamera & AI – Picha kali kuliko kawaida

Ina Cognitive ISP – AI inatambua vitu kama nyuso, anga, mwanga, nk. kabla hata picha haijapigwa.

Inasaidia 8K video recording, HDR, na night mode za ajabu.
@Huduma

πŸ’¨ Oppo Find X8 Ultra πŸ“Έ
🧠 1. Snapdragon ni nini?

Snapdragon ni jina la familia ya chipsets kutoka kampuni ya Qualcomm.

Chip hizi ndizo zinazowasha kila kitu kwenye simu – zinafanya kazi kama ubongo (CPU), akili ya picha (GPU), akili bandia (AI), na ku control network kama 5G, WiFi, GPS, nk.
TubePesa, Dollartub - kulipwa kwa kungalia Video? UKWELI NI HUU
Vinei TV
γ€½οΈŽ Teknolojia

TubePesa, Dollartub - kulipwa kwa kungalia Video? UKWELI NI HUU

πŸ’Ύ Size: 0.93 MB
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

MAMBO MAPYA KWENYE IOS 26 FULL REVIEW KWENYE YOUTUBE YA SIMUKITAA
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Amaizing Whatsap features ambazo watu wengi hawazijui
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Cooking podcast sessions in Dubai is very expensive lazima uwe na moyoπŸ˜‚πŸ˜‚
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Umewahi kujiuliza ni kwa nini simu yako haifunguki kwa kidole cha mtu mwingine? 🧐 Teknolojia ya fingerprint sensor hutambua mistari ya kipekee kwenye kidole chako – na inakumbuka hadi kwa usahihi wa ajabu! Fahamu jinsi capacitive, optical, na ultrasonic sensors zinavyofanya kazi kuilinda simu yako kila siku. πŸ”’πŸ“²
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Wote wanaofanya Forex shuleni pia vichwa vyao vilikuwa active.

Kipengele chao ni kuwaona wasiotrade ni mambumbu, hawajielewi, wamechelewa sana, hawawezi kufanikiwa kuwaliko wao.
❀1