Teknolojia
132 subscribers
3.74K photos
4.41K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
πŸ” Bora kidogo lakini salama, kuliko bei rahisi yenye hatari.
πŸ’‘ Kama unatumia simu yenye fast charging kama Infinix, Xiaomi, au Samsung β€” hii ni muhimu sana.
Hakikisha ina specs kama:
βœ“ Short Circuit Protection
βœ“ Overvoltage Protection
βœ“ Temperature Control
1️⃣ Capacity (mAh)
β€’ Hii ndiyo inakuambia powerbank inaweza kuchaji mara ngapi.

Simu yako ina betri ya 5,000mAh?
Basi powerbank ya 10,000mAh inaweza kuchaji takribani mara 1.8–2.0.

βœ… Chagua kuanzia 10,000mAh hadi 20,000mAh kwa matumizi ya kawaida.
4️⃣ Safety Features (Overcharge, Overheat Protection)
β€’ Powerbank bila kinga za usalama inaweza kuharibu simu yako.
⚑ Chagua yenye USB-C (na kama ina dual input/output ni bonasi!)
πŸ“Œ BONUS: Features za Kisasa
β€’ Wireless Charging
β€’ Digital Display
β€’ Built-in Cables
β€’ PD (Power Delivery) & QC 3.0 support

Zinaongeza ubora na urahisi wa matumizi kwa dunia ya sasa.
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ INFINIX BRAND NEW

β–ͺ️Infinix Smart 8 (4+64) - 230K
β–ͺ️Infinix Smart 9 (6+64) - 250K
β–ͺ️Infinix Hot 50i (8+128) - 310K
β–ͺ️Infinix Hot 50 Pro+ (16+128) - 520K
β–ͺ️Infinix Note 50 Pro+ (12+512) - 1.2M

πŸ“Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1 utaingia ndani duka limeandikwa Njiwa
@Njiwa_Store
πŸ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ REDMI NOTE 14 Series πŸ’₯

β–ͺ️Note 14 (6+128) - 480K
β–ͺ️Note 14 (8+256) - 550K
β–ͺ️Note 14 5G (8+256) - 700K
β–ͺ️Note 14 Pro 4G (8+256) - 700K
β–ͺ️Note 14 Pro 5G (8+256) - 900K
β–ͺ️Note 14 Pro+ 5G (8+256) - 1.1M
β–ͺ️Note 14 Pro+ 5G (12+512) - 1.25M

πŸ“Geti la KKKT Kariakoo
@Njiwa_Store
πŸ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
πŸ†• Apple imetoa mifumo mipya ya iOS 26, iPadOS 26, na macOS Tahoe kwa developers wote

Imeweka mabadiliko makubwa zaidi ya 100, yakiwemo muundo mpya wa
- Liquid Glass,
- Menu bar mpya,
- Uboreshaji wa apps,
- Mwonekano mpya wa Spotlight kwenye Mac. 🍎
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ USED DUBAI (Original Display)πŸ‘‡

β–ͺ️Pixel 7 (8+128) - 550K
β–ͺ️Pixel 7a (8+128) - 550K
β–ͺ️Pixel 8 Pro (12+128) - 1.15M

PIXEL MPYA (Non Active)πŸ’₯
β–ͺ️Pixel 9a (8+128) - 1.45M
β–ͺ️Pixel 9a (8+256) - 1.7M
β–ͺ️Pixel 9 (12+128) - 1.75M
β–ͺ️Pixel 9 (12+256) - 2.1M
β–ͺ️Pixel 9 Pro (16+128) - 2.4M
β–ͺ️Pixel 9 Pro (16+256) - 2.8M
β–ͺ️Pixel 9 Pro XL (16+128) - 2.5M
β–ͺ️Pixel 9 Pro XL (16+256) - 2.8M

πŸ“Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani 🚚
@Njiwa_Store
πŸ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
πŸ”‹ 5. Betri & Joto – Inatunza afya ya simu

Inacontroll betri vizuri kuliko Gen 2 – hata ukiitumia kwa gaming, joto halipandi sana.

Inaruhusu charging speeds hadi 120W kwa simu zinazounga mkono.
πŸš€ 3. Performance – Kasi ya ajabu

CPU: Octa-core yenye mpangilio wa nguvu mpya:

1 core ya Prime (ultra fast) – kwa kazi nzito

5 cores za Performance

2 cores za Efficiency (kuokoa chaji)
🌐 6. Connectivity ya nguvu

5G Modem: Snapdragon X75

Kasi ya internet hadi 10Gbps (ikiwa mtandao unaruhusu)

WiFi 7, Bluetooth 5.4 – teknolojia mpya kabisa
> ⚑ Hii ni chip yenye nguvu zaidi ya Snapdragon hadi sasa – ilizinduliwa mwishoni mwa 2023.
GPU – Adreno 750

Inacheza games za 3D kwa smooth kama kwenye PlayStation

Inasaidia ray tracing – teknolojia ya realistic lighting kwenye games
AI yake ni ya nguvu sana – inatumika hata kwa real-time translation, voice typing, smart reply, nk.
βš™οΈ 2. β€œGen 3” maana yake nini?

"Gen 3" ni kifupi cha Generation 3 – toleo la tatu la Snapdragon 8 series, ambayo ni kwa ajili ya flagship phones (simu za daraja la juu kama Galaxy S24, Xiaomi 14, OnePlus 12).