Teknolojia
132 subscribers
3.74K photos
4.42K videos
93 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
πŸ“Œ Nani anaweza kupata Blue Tick?
Hauwezi kwa kutumia app ya kawaida.
Unahitaji:

WhatsApp Business API

Meta Business Manager verified

Biashara iliyo thabiti & inayojulikana

Engagement nzuri na wateja
πŸ”΅ Verified Business Account ni nini?
Ni akaunti ya WhatsApp iliyopata approval rasmi kutoka Meta (Facebook) na kupata alama ya bluu kando ya jina lake.

Mfano:
βœ… NJIWA STORE
Hii husaidia wateja kutambua kuwa wanazungumza na biashara halali.
@Huduma

πŸ’¨ WHATSAPP KAMA TWITTER TU MWENDO WA KITICK (βœ”οΈ).

πŸ“Œ β€œWhatsApp Business Verified (Blue Tick): Nani anastahili, faida zake ni zipi, na jinsi ya kuzipata?”

Uzi muhimu kwa wafanyabiashara wa kisasa πŸ‘‡πŸ½πŸ§΅
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Ikiwa biashara yako ina kiwango cha kukua, kuwekeza kwenye WhatsApp Business API na Verified Status ni hatua ya kulinda jina lako na kuwapa wateja confidence.
@Huduma

πŸ’¨ REDMI NOTE 14 Series πŸ’₯

β–ͺ️Note 14 (6+128) - 480K
β–ͺ️Note 14 (8+256) - 550K
β–ͺ️Note 14 5G (8+256) - 700K
β–ͺ️Note 14 Pro 4G (8+256) - 700K
β–ͺ️Note 14 Pro 5G (8+256) - 900K
β–ͺ️Note 14 Pro+ 5G (8+256) - 1.1M
β–ͺ️Note 14 Pro+ 5G (12+512) - 1.25M

πŸ“Geti la KKKT Kariakoo
@Njiwa_Store
πŸ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
@Huduma

πŸ’¨Mnaikumbuka ile setup ya camera ya vivo X200 ultraπŸ”₯
Hii hapa ni ya Huawei pura80 proπŸ₯ΆπŸ₯Ά
@Huduma

πŸ’¨ OFFER SAMSUNG A SERIES

β–ͺ️A05 (4+64) - 250K
β–ͺ️A06 (4+64) - 300K
β–ͺ️A06 (4+128) - 330K
β–ͺ️A05s (4+128) - 350K
β–ͺ️A16 (4+128) -450K
β–ͺ️A16 (8+256) - 580K
β–ͺ️A26 5G (6+128) - 680K
β–ͺ️A26 5G (8+256) - 780K
β–ͺ️A36 5G (6+128) - 900K
β–ͺ️A36 5G (8+256) - 1M
β–ͺ️A56 5G (8+128) - 1M
β–ͺ️A56 5G (8+256) - 1.15M

πŸ“Dar: KKKT Kariakoo
πŸ“Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
πŸ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
πŸ†• Tab ya Favorite itabadilika katika mfumo wa simu za Android 16 na itakuwa kwenye tab moja na recently
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨Nijaliwe hizi mbili baaas
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Umeshawahi kujiuliza nini hutokea unaposcan QR code? πŸ“² Jibu linaweza kukushangaza! πŸ‘€
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

List ya simu zilizouzwa zaidi duniani toka namba 9 Mpaka namba moja
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Kuwa makini na simu yako, fanya hii setting haraka sana.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Hizo nyaya ukizisogelea karibu bila hata kuzigusa flani zinakupiga shot ya Israeli.