Teknolojia
132 subscribers
3.76K photos
4.44K videos
93 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

💨 iPhone zitakazopokea iOS 26 (Updated)

1. iPhone 16 Pro Max 🆕

2. iPhone 16 Pro 🆕

3. iPhone 16 Plus 🆕

4. iPhone 16 🆕

5. iPhone 15 Pro Max

6. iPhone 15 Pro

7. iPhone 15 Plus

8. iPhone 15

9. iPhone 14 Pro Max

10. iPhone 14 Pro

11. iPhone 14 Plus

12. iPhone 14

13. iPhone 13 Pro Max

14. iPhone 13 Pro

15. iPhone 13

16. iPhone 13 mini

17. iPhone SE (3rd generation)

18. iPhone 12 Pro Max

19. iPhone 12 Pro

20. iPhone 12

21. iPhone 12 mini

22. iPhone 11 Pro Max

23. iPhone 11 Pro
︎ Teknolojia

💨 OFFER SAMSUNG A SERIES

▪️A05 (4+64) - 250K
▪️A06 (4+64) - 300K
▪️A06 (4+128) - 330K
▪️A05s (4+128) - 350K
▪️A16 (4+128) -450K
▪️A16 (8+256) - 580K
▪️A26 5G (6+128) - 680K
▪️A26 5G (8+256) - 780K
▪️A36 5G (6+128) - 900K
▪️A36 5G (8+256) - 1M
▪️A56 5G (8+128) - 1M
▪️A56 5G (8+256) - 1.15M

📍Dar: KKKT Kariakoo
📍Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
Android 15:
Inaongeza uwezo wa Bluetooth mesh na tracking kupitia vifaa vya jirani – lakini bado haijafika level ya Apple.
Android 15: Theft Detection Lock, simu inajifungia ikigundua imeporwa (AI-based motion detection).
Google naye hakubaki nyuma. Android 15 imekuja na Theft Detection Lock. Simu ikihisi inaporwa
mfano mtu anaitoa mfukoni ghafla na kukimbia inajifunga yenyewe bila kujali password
︎ Teknolojia

💨 JBL SPEAKER (Original💯)

▪️JBL Go 3 - 145K
▪️JBL Go 4 - 190K
▪️JBL Flip6 - 300K
▪️JBL Flip7 - 380K
▪️JBL Charger5 - 450K
▪️JBL Charger6 - 550K
▪️JBL XTRME3 - 700K
▪️JBL XTRME4 - 840K
▪️JBL Boombox X3 Wi-Fi - 1.3M

📍Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1 utaingia ndani duka limeandikwa Njiwa
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
5:🔋 Battery & Performance

Apple inajulikana kwa kutumia chip zake za Apple Silicon kwa maximum performance na battery life. iOS 26 imeboresha zaidi utendaji wake na efficiency.
Android 15 nayo imeleta Battery Health Insights na adaptive charging, lakini kutokana na simu kuwa nyingi na tofauti (fragmentation), mafanikio yake yanategemea kampuni husika.
Android 15 nayo inatumia AI kuchambua alerts zako lakini bado haijaingia ndani kama Apple.
3. Notification Smart Filters 🧠

iOS 26 inaleta filters zinazotanguliza taarifa muhimu – mfano, ujumbe wa benki au wa mtu wa familia.
4. 🛰️ Offline Tracking

iOS 26:
Find My inafanya kazi hata ikiwa simu imezimwa kabisa. Hii ni hatua ya juu sana ya ulinzi.
Kama unatafuta privacy, security, na AI inayoheshimu faragha – iOS 26 ni chaguo la busara.

Kama unapenda customization, uhuru na kujaribu kila aina ya app – Android 15 ni bingwa wako.
︎ Teknolojia

💨 USED DUBAI (Original Display)👇
▪️Pixel 7 (8+128) - 580K
▪️Pixel 7a (8+128) - 580K
▪️Pixel 8 Pro (12+128) - 1.15M

PIXEL MPYA (Non Active)💥
▪️Pixel 9a (8+128) - 1.45M
▪️Pixel 9a (8+256) - 1.7M
▪️Pixel 9 (12+128) - 1.75M
▪️Pixel 9 (12+256) - 2.15M
▪️Pixel 9 Pro (16+128) - 2.4M
▪️Pixel 9 Pro (16+256) - 2.8M
▪️Pixel 9 Pro XL (16+128) - 2.5M
▪️Pixel 9 Pro XL (16+256) - 2.8M

📍Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani 🚚
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
@Huduma

💨cheki pishi la camera ya Huawei Pura 80 Ultra🔥🔥
︎ Teknolojia

💨SIMU YA BAJETI YA LAKI TATU

REDMI 14C🔥🔥

Redmi 14C specification

📸 Camera: 50MP + 2MP (rear), 13MP (selfie)

🔋 Battery: 5,160mAh, 18W fast charging

📱 Display: 6.88", HD+, 120Hz

⚙️ Processor: Helio G81 Ultra, Android 14 (HyperOS)

💾 Memory: 4/6/8GB RAM,
64/128/256GB ROM

📡 Network: 4G, Dual SIM, Bluetooth 5.4, Wi-Fi

🔐 Security: Side fingerprint, Face unlock

🎨 Colors: Black, Green, Purple, Blue

🔥 Price: Redmi 14C (4+128) 300,000
Redmi 14C (8+256) 350,000
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Hivi Ulikuwa unafahamu kama iPhone 6 imefungiwa huduma ya WhatsApp?!! Na umepokeaje taarifa za Kutopatikana kwa WhatsApp katika simu hizo Mwanakitaa.. Basi kama pia ulikuwa haujui chochote ni kwamba mpaka kufikia dakika hii WhatsApp haifanyi tena kazi katika simu za iPhone 6… Angalia video hii kwa makini kwa taarifa kamili mwanakitaa.. Bado tunaendelea kuwakumbusha kwamba hapa ndiyo chimbo pekee la kujipatia simu genuine kwa bei nafuu kabisa... Call/Whatsapp 0712858344 Tunapatikana Sinza Mori
💨 Kofuli ya geti ya nilipopanga imeharibika nikaipiga picha nimeenda kwa Mhindi anipe kama hiyo kaniambia 80,000 nimeenda kununua mafuta ya chakula ya jero nimeimwagia kumbe ni nzima.
︎ Teknolojia

💨REDMI 13x
(8+256)🔥
Price: 420,000/=

📍 Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨 Hii Beta update ya iOS26 usiiweke kwenye iPhone yako kwasasa kama simu yako ndio unaitegemea zaidi iko na buds za kutosha subiria Official update.