Teknolojia
134 subscribers
3.86K photos
5.04K videos
94 files
13.4K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli πŸ‘‹
Download Telegram
SOURCE:
IDC: Smartphone Market Share Q1 2025

Business Insider: iPhone tops global sales

The Verge: Samsung vs Apple vs Xiaomi report

Counterpoint Research, Q1 2025 smartphone sales report

Canalys: Global Smartphone Market Q1 2025 Highlights
Samsung na Apple bado wanadhibiti soko.

Xiaomi, Transsion, na OPPO zinakata njia kwa kasi, hasa kwenye maeneo yenye uwezo mdogo na soko la kawaida.
γ€½οΈŽ Teknolojia

. Huawei

Ingawa kuna sanctions, bado ina share ya ~2‑5 % global , na ime-rebound China Q4 2024 (18.1 %) .
γ€½οΈŽ Teknolojia

. OPPO (ikiwa pamoja na OnePlus)

kwa market share ya ~8 % (103.6 milioni za simu 2023/24) .

Ina moto kwenye fast‑charging na foldables pia.
@Huduma

πŸ’¨ MALI MPYA SOKONI πŸ’₯

REDMI 13X (8GB RAM, 256GB) - 420,000

πŸ“Geti la KKKT Kariakoo
@Njiwa_Store
πŸ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
γ€½οΈŽ Teknolojia

. vivo

Shipments 85.4 milioni 2023/24 (7‑8 % share) .

Imesonga hadi China Q4 2024 .
@Huduma

. Tecno & Infinix (kwa jina lao)

Zipo ndani ya Transsion, lakini zinapiga katika top‑10 global brands kwa mauzo gikubwa sana .
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨NEW NEW NEW NEWπŸ”₯

XIAOMI REDMI 13XπŸ₯Ά
Xiaomi Redmi 13X specifications

πŸ”Ή Display: 6.79" FHD+ (1080 Γ— 2460 pixels)

πŸ”Ή Camera: 108MP Rear, 1080p Video

πŸ”Ή Processor: MediaTek Helio G91 Ultra

πŸ”Ή RAM: 8GB

πŸ”Ή Storage: 128GB / 256GB

πŸ”Ή Battery: 5030mAh

πŸ”Ή Charging: 33W Fast Charging

πŸ”Ή Fingerprint: Side-mounted

πŸ”Ή OS: Android 14, MIUI

πŸ”₯ Price: 420,000Tsh

πŸ“Geti la KKKT Kariakoo
@Njiwa_Store
πŸ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Yani watu wanaenjoy sound kali ya Wiwu thunder speaker alafu mtu anakuja kuharibu party.. Bila Sneaker Cleaning kuwepo karibu jamaa wasingemuelewa πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ Sneaker cleaning Tsh 20,000 Robysportwear Wiwu Speaker 365,000 Simukitaa Ukiwa navyo hivi kwa pamoja unatamba popote pale mjini kwa kujiamini πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯…
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ REDMI NOTE 14 Series πŸ’₯

β–ͺ️Note 14 (6+128) - 480K
β–ͺ️Note 14 (8+256) - 550K
β–ͺ️Note 14 5G (8+256) - 700K
β–ͺ️Note 14 Pro 4G (8+256) - 700K
β–ͺ️Note 14 Pro 5G (8+256) - 800K
β–ͺ️Note 14 Pro+ 5G (8+256) - 1.1M
β–ͺ️Note 14 Pro+ 5G (12+512) - 1.25M

πŸ“Geti la KKKT Kariakoo
@Njiwa_Store
πŸ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Hivi humu ndani siwezi pata content creators kama wawili au watatu tukajichanga tununue CAMERA kali alafu tuwe tunaazimishana?
Watumiaji wa Mac wataweza kuandika kazi ambayo wanataka kompyuta ifanye na itafanya. Mfano kuandika email na app ya email inajifungua na kujituma yenyewe

#WWDC25
Sehemu ya Spotlights itabadilika

#WWDC25
Mabadiliko mapya ya mfumo mpya wa watchOS 26 kwa watumiaji wa Apple Watch

#WWDC25