Teknolojia
133 subscribers
3.82K photos
4.55K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
︎ Teknolojia

💨 Huu mtandao una wajasiriamali wengi tena vijana wadogo waliomaliza vyuo na kukosa ajira ya yale waliyofundishwa chuoni na kuamua kujiongeza humu mtandaoni walau wajipatie kipato cha kupunguza umaskini.

Sasa mmefunga huu mtandao sababu ni "maudhui ya ngono" ni vyema mkapima kwa ujumla ni kina nani wanaopata madhara zaidi.

Na bado mchokozi kakushikia panga shingoni anakulazimisha umuite yeye mchokozi na ukimuita anakuchinja.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

💨Mmeona hii Google Flow feature inavyofanya kazi

Naona hata zile animation video huko mbele zitapata upinzani mkali sana

Cheki video jamaa akifufuka
︎ Teknolojia

💨 OFFER SAMSUNG A SERIES

▪️A05 (4+64) - 250K
▪️A06 (4+64) - 300K
▪️A06 (4+128) - 330K
▪️A05s (4+128) - 350K
▪️A16 (4+128) -450K
▪️A16 (8+256) - 580K
▪️A26 5G (6+128) - 680K
▪️A26 5G (8+256) - 780K
▪️A36 5G (6+128) - 900K
▪️A36 5G (8+256) - 1M
▪️A56 5G (8+128) - 1M
▪️A56 5G (8+256) - 1.15M

📍Dar: KKKT Kariakoo
📍Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨Baada ya simu za iOS kuweza kupokea adobe Photoshop beta mwanzoni kabisa mwa mwaka sasa wale wa android mmefikiwa.

Kwa sasa pia simu za android nazo zinauwezo wa kupokea Adobe Photoshop beta ambayo inafanya kazi kama kwenye computer.

Vigezo simu inapaswa kuwa na android 11 na 6GB RAM.

▪️Source: GSMArena
🆕 Mfumo mpya wa mwaka huu wa VisionPro; utaanza kuwa na uwezo wa kukubali support ya kuunganisha controllers za PlayStation, Xbox na Spatial controllers
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
🆕 Samsung imeanza kuonyesha trailer ya simu yake mpya ya Galaxy Fold7 Ultra.

Itakuwa ni nyembamba zaidi na kamera yake itakuwa ni kubwa.

Simu hii itatoka pamoja na simu ya Galaxy Z Fold 7 na Z Flip 7 mwanzo wa mwezi July.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Umeme unatoka kwa maji... lakini ukimwaga maji kwenye socket inaripuka!? 😳🔥 Hii ni sayansi au uchawi? Angalia hadi mwisho ujue ukweli wa hii mystery! 🤯
Theft Detection Lock ni nini?
Ni teknolojia mpya ndani ya Android 15 inayotumia AI kutambua harakati za wizi, mfano:

Simu ikinyakuliwa ghafla.

Ikitolewa kwa kasi mfukoni/mkono.

Ikitoka eneo la Wi-Fi ulilozoeleka kwa njia ya kushangaza.
︎ Teknolojia

💨JE UMESIKIA KUHUSU ANDROID 15?🔥🔥🔥🥶

Android 15 inakuja na Anti-Theft Detection
Hii ndiyo feature unayopaswa kuijua mapema” 🛡️📱

Shuka🧵🧵👇
Usiache 🔄 ufike mbali
Kwa kifupi, Android 15 =
AI-smart theft detection
Lock bila internet
Blocked factory reset
Folder binafsi kwa usalama wako

Huu ni msasa wa kisasa kwa kila mtumiaji wa Android anayejali faragha na usalama.
Hata kama data imezimwa?
Ndio! Kupitia feature mpya inayoitwa:
Offline Device Lock 📴🔒

Android 15 itafungia simu hata kama:

Wi-Fi imezimwa

Sim card imeondolewa

Airplane mode imewashwa

Security haitegemei internet tena!
Protection wakati wa Factory Reset (FRP Upgrade)
Kama mwizi atajaribu kufanya factory reset:
➡️ Simu itahitaji Google account ya mmiliki wa awali kabla ya kutumika.

Hii inazima kabisa mbinu ya "kusafisha" simu kwa kutumia recovery mode.
💡 Tip: Baadhi ya hizi features zitaanza kutolewa kupitia Google Play Services updates kuanzia Android 10 kwenda juu – hata kabla Android 15 yenyewe kufika rasmi.

Lakini kwenye Android 15, hizi zitakuwa native na zenye nguvu zaidi.