Teknolojia
134 subscribers
3.86K photos
5.04K videos
94 files
13.4K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli ๐Ÿ‘‹
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Unajua betri inafanyaje hadi iweze kuchajiwa tena? โšก Ni zaidi ya kubonyeza tu chaja! Kuna sayansi kali ya ioni, elektroni na kemia ya ndani! ๐Ÿงช Fuatilia hadi mwisho ujue inavyotokea โ€“ utakushangaza! ๐Ÿ˜ฑ
4. Kwa iPhone: Namna ya kuwezesha Activation Lock
Apple hutumia iCloud Activation Lock ambayo huwasha kiotomatiki ukiwasha:
3. Kwa Android: Namna ya kuwezesha FRP
FRP huja active moja kwa moja pindi unapoweka:

โœ… Screen Lock (PIN/Pattern/Password)
โœ… Google Account (Settings โ†’ Accounts โ†’ Google)
7. Ushauri wa kitaalamu:
โœ”๏ธ FRP ni silaha ya msingi โ€“ washa sasa hivi.
โœ”๏ธ Ikiwa unauza simu yako, toa Google/Apple ID kwanza manually.
โœ”๏ธ Ukiwa muuzaji wa simu, zingatia FRP clean phones tu.
Bila hizo credentials โ€” simu inakuwa unusable (bricked).
5. Usikose haya mambo 3 muhimu:
๐Ÿ”’ Weka lock screen yenye password
๐Ÿ”’ Usitoe account ya Google/iCloud
๐Ÿ”’ Weka Find My Device/iPhone ON
8. Bonus Tip:
Tumia apps za Anti-Theft kama:
๐Ÿ“ฒ Cerberus
๐Ÿ“ฒ Prey Anti-Theft
๐Ÿ“ฒ Google's Find My Device
Zinaongeza protection ya ziada hata kama mtu atajaribu kufanya reset.
โœ… Find My iPhone
(Settings โ†’ Your Name โ†’ Find My โ†’ Find My iPhone โ†’ ON)

๐Ÿ“Œ Hii inazuia mtu kutumia simu hata aki-reset.
๐Ÿ“Œ Hakikisha huondoi account yako ya Google bila sababu.
Bila hivyo โ€“ mtu anaweza kui-reset na kutumia bila restriction yoyote!
6. Je, mtu anaweza kudukua FRP?
Ndiyo, lakini ni ngumu sana.

FRP bypass tools zinahitaji skills za hali ya juu na muda mwingi.

โš ๏ธ Wengi huishia kui-brick simu kabisa.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ JBL SPEAKER (Original๐Ÿ’ฏ)

โ–ช๏ธJBL Go 3 - 145K
โ–ช๏ธJBL Go 4 - 190K
โ–ช๏ธJBL Flip6 - 300K
โ–ช๏ธJBL Flip7 - 420K
โ–ช๏ธJBL Charger5 - 450K
โ–ช๏ธJBL Charger6 - 550K
โ–ช๏ธJBL XTRME3 - 700K
โ–ช๏ธJBL XTRME4 - 840K
โ–ช๏ธJBL Boombox X3 Wi-Fi - 1.3M

๐Ÿ“Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1 utaingia ndani duka limeandikwa Njiwa
@Njiwa_Store
๐Ÿ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จGalaxy Z Fold7 Specifications

โ€ข Snapdragon 8 Elite for Galaxy
โ€ข 8.2 inch 120hz inner display
โ€ข 6.5 inch FHD+ 120hz outer display
โ€ข Smallest bezels on a phone
โ€ข Smaller crease
โ€ข 200mp main camera
โ€ข 4400mah battery
โ€ข 12gb ram & 256/512/1TB storage
โ€ข 3.9mm thin unfolded
โ€ข One UI 8
@Huduma

๐Ÿ’จHuawei wanatarajia kuzondua Huawei pura80 series tarehe 11 mwezi huu.
Hii ni baada ya huawei pura 70 Ultra kufanya vizuri katika soko tangu ilipozinduliwa mwaka jana
๐Ÿ‘‡๐Ÿ”ฅ
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ PIXEL MPYA (Non Active)๐Ÿ’ฅ

โ–ช๏ธPixel 9a (8+128) - 1.45M
โ–ช๏ธPixel 9a (8+256) - 1.7M
โ–ช๏ธPixel 9 (12+128) - 1.75M
โ–ช๏ธPixel 9 (12+256) - 2.15M
โ–ช๏ธPixel 9 Pro (16+128) - 2.4M
โ–ช๏ธPixel 9 Pro (16+256) - 2.8M
โ–ช๏ธPixel 9 Pro XL (16+128) - 2.5M
โ–ช๏ธPixel 9 Pro XL (16+256) - 2.8M

USED DUBAI (Original Display)๐Ÿ‘‡
โ–ช๏ธPixel 7 (8+128) - 630K
โ–ช๏ธPixel 7a (8+128) - 630K
โ–ช๏ธPixel 8 (8+128) - 950K
โ–ช๏ธPixel 8a (8+128) - 950K
โ–ช๏ธPixel 8 Pro (12+128) - 1.15M

๐Ÿ“Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani ๐Ÿšš
@Njiwa_Store
๐Ÿ“ž 0745100757
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ Walitaka wapite na WhatsApp yangu kama sio kutumia mbinu za Jasusi la Mbinguni wangepita nayo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จInfinix G30 Pro 5G simu hii itaanza kuuzwa uko India kuanzia 12/06

Hapa infinix wamekuja kivingine kabisa

Specification zake

โ–ช๏ธ 6.78 AMOLED LTPS 1.5K 144Hz screen, 4500nits peak brightness
โ–ช๏ธ Dimensity 8350U
โ–ช๏ธ 256GB UFS 4.0 storage
โ–ช๏ธ 5500mAh battery | 45W wired charging
โ–ช๏ธ 30W wireless
โ–ช๏ธ 108MP main + 8MP UW
โ–ช๏ธ 2 + 3 years
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ OFFER SAMSUNG A SERIES

โ–ช๏ธA05 (4+64) - 250K
โ–ช๏ธA06 (4+64) - 300K
โ–ช๏ธA06 (4+128) - 330K
โ–ช๏ธA05s (4+128) - 350K
โ–ช๏ธA16 (4+128) -450K
โ–ช๏ธA16 (8+256) - 580K
โ–ช๏ธA26 5G (6+128) - 680K
โ–ช๏ธA26 5G (8+256) - 780K
โ–ช๏ธA36 5G (6+128) - 900K
โ–ช๏ธA36 5G (8+256) - 1M
โ–ช๏ธA56 5G (8+128) - 1M
โ–ช๏ธA56 5G (8+256) - 1.15M

๐Ÿ“Dar: KKKT Kariakoo
๐Ÿ“Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
๐Ÿ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ๐Ÿ“ฑ๐—”๐—ฝ๐—ฝ๐—น๐—ฒ ๐˜ƒ๐˜€ ๐—˜๐—จ๐Ÿ“ฑ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ

EU inataka Apple ifungue AirDrop kwa watengenezaji wengine mfano watumiaji wa Android, Windows n.k, ikidai kuwa kuizuia kwa vifaa vya Apple tu ni ushindani usio wa haki

Apple imekata rufaa na inaweza kuiondoa AirDrop kwenye iPhones za EU