Teknolojia
132 subscribers
3.78K photos
4.45K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ณ China is building the worldโ€™s highest bridge โ€” 625 meters above a canyon, 2.89 km long, cutting a 70-minute journey down to just 1 minute. And itโ€™s not just engineeringโ€ฆ itโ€™s vision, courage, and leadership in action. ๐Ÿ’ก๐Ÿš€ ๐Ÿ“ข To Africaโ€™s leaders: When will we stop watching and start building? We have mountains. We have rivers. We have people. We have potential. What we need is bold leadership that dreams beyond the next election. Leadership that invests in infrastructure, innovation, and generations to come. ๐ŸŒ๐Ÿ’ช ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ซ
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Injinia kazaliwa bunda DDH,kasomea bunda primary na sekondari,chuo ndio Dsm DIT au UDSM what do you ekisipekiti?labda tuwategemee hawa waleo ambao wameona mambo teleโ€ฆ. . ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Jaribuni kutengeneza hii basi tuuzie jiji na Halmashauri zoteโ€ฆSi tutapiga pesa? . ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ OFFER SAMSUNG A SERIES

โ–ช๏ธA05 (4+64) - 250K
โ–ช๏ธA06 (4+64) - 300K
โ–ช๏ธA06 (4+128) - 330K
โ–ช๏ธA05s (4+128) - 350K
โ–ช๏ธA16 (4+128) -450K
โ–ช๏ธA16 (8+256) - 580K
โ–ช๏ธA26 5G (6+128) - 680K
โ–ช๏ธA26 5G (8+256) - 780K
โ–ช๏ธA36 5G (6+128) - 900K
โ–ช๏ธA36 5G (8+256) - 1M
โ–ช๏ธA56 5G (8+128) - 1M
โ–ช๏ธA56 5G (8+256) - 1.15M

๐Ÿ“Dar: KKKT Kariakoo
๐Ÿ“Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
๐Ÿ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Wi-Fi juu ya mawingu? ๐Ÿ˜ณโœˆ๏ธ Ndege ziko mbali na minara, lakini bado unapata internet! Hii hapa ndio siri ya teknolojia ya Wi-Fi angani ๐Ÿ“ก๐Ÿ”ฅ
1. ๐Ÿ“ฆ ๐—ฆ๐—ป๐—ฎ๐—ฝ๐—ฑ๐—ฟ๐—ฎ๐—ด๐—ผ๐—ป (Qualcomm)
๐Ÿ“ Nchi: Marekani ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ
โœ… Inajulikana kwa performance ya hali ya juu, stable na GPU kali (Adreno).
โšก Bora kwenye gaming, 5G, na AI processing.
๐Ÿ”ฅ Mara nyingi huonekana kwenye simu za mid-range hadi premium kama Tecno Phantom, Infinix GT 20 Pro, na Vivo X100.

โš ๏ธ GPU yake (Mali) bado haijafikia kiwango cha Adreno ya Snapdragon kwenye gaming ya muda mrefu.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

โœ”๏ธ Chipset zenye nguvu na bei rafiki.
โœ”๏ธ Dimensity 9300/9300+ zinapambana bega kwa bega na Snapdragon 8 Gen 3.
โœ”๏ธ Zinapatikana kwenye simu nyingi za bei ya kati hadi premium kama Tecno Phantom V Flip, Infinix GT 20 Pro, Vivo X100.
๐Ÿ“Œ Performance nzuri, lakini si bora sana kwa gam
Mfano:
Snapdragon 8 Gen 3 โ†’ inapatikana kwenye simu kama Galaxy S24 Ultra, Xiaomi 14, na OnePlus 12.
๐Ÿง  Inatumia 4nm node โ€“ power efficient na very fast.
3. ๐Ÿ“ฆ ๐—˜๐˜…๐˜†๐—ป๐—ผ๐˜€ (Samsung)
๐Ÿ“ Nchi: Korea Kusini ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ท
๐Ÿ” Inatumiwa zaidi kwenye Samsung Galaxy (toleo la Europe & Asia).

๐Ÿ“‰ Imekuwa ikikosolewa kwa kuwa nyuma ya Snapdragon kwenye performance na heat management.
Lakini mwaka 2025, Exynos 2500 imeonyesha maboresho makubwa kwenye AI na power efficiency.

๐Ÿ’ก Fun fact: Samsung inajaribu kuleta ushindani kwa kurudi kwenye simu zake zenye Exynos baada ya miaka ya kutumia Snapdragon tu.
2. ๐Ÿ“ฆ ๐— ๐—ฒ๐—ฑ๐—ถ๐—ฎ๐—ง๐—ฒ๐—ธ (Dimensity Series)
๐Ÿ“ Nchi: Taiwan ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ผ
โœ… Bei nafuu, lakini performance inakaribia Snapdragon.
๐Ÿ“ˆ Dimensity 9300 & 9300+ zinatoa ushindani mkubwa mwaka huu.
๐ŸŽฏ Inatumiwa na simu nyingi za flagship kama Samsung S-series, OnePlus na Xiaomi Pro series.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

โœ”๏ธ Inatumiwa na baadhi ya Galaxy phones (hasa Ulaya & Asia).
โœ”๏ธ Zamani ilishuka hadhi, lakini Exynos 2500 imeleta maboresho makubwa.
โœ”๏ธ Ina nguvu kwenye AI & battery optimization.
๐Ÿ“Œ Haijafikia kiwango cha Snapdragon kwa speed ya juu au gaming.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

โœ”๏ธ Maarufu zaidi kwenye flagship smartphones.
โœ”๏ธ Performance kali, hasa kwenye gaming & multitasking.
โœ”๏ธ GPU ya Adreno ni imara mno kwenye graphics.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ XIAOMI REDMI (Brand new) ๐Ÿ’ฅ

โ–ช๏ธRedmi A5 (3+64) - 250K
โ–ช๏ธRedmi A5 (4+128) - 280K
โ–ช๏ธRedmi 14C (4+128) - 300K
โ–ช๏ธRedmi 14C (8+256) - 350K
โ–ช๏ธNote 13 (6+128) - 450K
โ–ช๏ธNote 13 (8+256) - 530K
โ–ช๏ธNote 13 Pro 4G (8+256) - 680K
โ–ช๏ธNote 13 Pro+ 5G (8+256) - Tsh. 880K
โ–ช๏ธNote 13 Pro+ 5G (12+512) - Tsh. 1.05M
โ–ช๏ธRedmi Note 14 (6+128) - 480K
โ–ช๏ธRedmi Note 14 (8+256) - 580K
โ–ช๏ธRedmi Note 14 5G (8+256) - 700K
โ–ช๏ธRedmi Note 14 Pro 4G (8+256) - 700K
โ–ช๏ธRedmi Note 14 Pro 5G (8+256) - 800K
โ–ช๏ธRedmi Note 14 Pro+ 5G (8+256)
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จOne plus 13s๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ Haya mambo yanashangaza sana

Vitu tunavyoona vinaweza kusimamiwa na watu wa hapa hapa ndani kumbe kuna wengine wana upeo wa tofauti.