Teknolojia
134 subscribers
3.86K photos
5.05K videos
94 files
13.4K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli ๐Ÿ‘‹
Download Telegram
๐Ÿ’ก Leo nakuletea prompt nzuri ukijaribu kuandika hivi basi picha yako itatokea kama hizo unazozitazama kwenye slide sogeza kuangalia Tafadhari.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Lakini ngoja kwanza hivi unajua maana ya prompt ?? ๐Ÿ™„

Okay kwa ufupi tu ni ujumbe ambao unauandika kutoa maelekezo ya kitu gani unahitaji kufanyiwa inawezekana kwenye Picha, video, au ujumbe wowote ila unachokiandika ndipo kinachokupa matokeo yake.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Fanya hivi fungua ChatGpt kisha andika hivi mfano change into cyberpunk style utaona matokeo yake hakikisha una upload picha yako

Usisahau kutu follow @Bongotech255 kwa maujanja zaidi ๐Ÿ’ก
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

. Fantasy storybook style
@Huduma

. Dreamwork style
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จXiaomi Redmi 14C (Officialโœ…)

โ–ช๏ธ(4GB RAM, 128GB ROM) - 300,000
โ–ช๏ธ(8GB RAM, 256GB ROM) - 350,000

๐Ÿ“Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1 utaingia ndani duka limeandikwa Njiwa
@Njiwa_Store
๐Ÿ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ Hivi inakuwaje hii namba ambayo sio yangu inakuwa inafanya majaribio ya kureset PIN za Mpesa alafu natumiwa text kwenye line yangu niidhinishe.
@Huduma

๐Ÿ’จ Kwenye hili suala jamaa huwa hawacheki na wowote.
Remote Lock ni feature inayoruhusu simu kufungwa kwa mbali, bila ya mtu kuwa nayo mkononi.

Inatumiwa sana pale simu inapopotea au kuibiwa, lakini pia inaweza kutumiwa vibaya!
Dalili Simu Yako Iko Hatarini:

Ulishawahi ku-log in kwa akaunti ya mtu

Unatumia password zilezile sehemu tofauti

Haujaset 2FA (Two Factor Authentication)

Mtu ana access ya barua pepe zako
Je, hii ni halali?
Ndiyo โ€” kisheria hii ni feature halali ya ulinzi.
Lakini: Ikitumiwa vibaya na mtu wa karibu au ex wako, inaweza kuwa kosa la jinai โ€” hasa kama aliipata bila idhini.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จJE UNAJUA SIMU YAKO INAWEZA PIGWA REMOTE LOCK IKIWA MBALI NA MTU MWINGINE?

Unajua Simu Yako Inaweza Kupigwa Remote Lock Bila Wewe Kujua?
โ†’ Yaani mtu anaweza kufunga simu yako remotely hata kama hakuiba?

Shuka๐Ÿงต๐Ÿ‘‡
Kindly ๐Ÿ”„ ufike mbali