4. Auto-Download ya Media (hasa WhatsApp)
→ Inajaza storage haraka na kupoteza bundles.
Zima kwenye WhatsApp:
Settings > Storage & Data > Media Auto-Download > Weka “No media”

6. App Permissions
→ Angalia apps zinazodai ruhusa zisizohitajika (k.m. camera, mic, contacts).
Android/iPhone:
Settings > Privacy > Review permissions by app or function

Bonus:
Disable "Hey Google" au "Siri" kama huitumii
→ Inabaki ikisikiliza kila wakati, huathiri battery & faragha.

💨 Kuna zile nyumba kigamboni mwaka jana mwanzoni zilikuwa zinapangishwa 250K siku hizi ni 400K.
@Huduma
💨 Jana linifanikiwa kucheki BARALUKO Ep1 YouTube ya Gabo itoshe kusema jamaa kaamua kutuonyesha hapa Bongo yuko mmoja tu
▪️Waliofanya Video&Sound Production ✅
▪️Uwezo wa Kuigiza&Kucheza na hisia ✅

💨 Hii idadi ya watu waliopo kwenye mabanda ya mpira na bar kucheki hii game ya Simba na Berkane ni kubwa mno.
3. Angalia Battery Health
→ Kama simu yako inazima ghafla au moto sana:
• Tumia AccuBattery (Android)
• iPhone: Settings > Battery > Battery Health
Battery chini ya 80% = ni dalili ya kuchoka.

8. Check Storage na RAM Usage
→ Simu ikisuasua, fungua:
Settings > Storage / RAM
→ Kama apps zinameza RAM au background apps ni nyingi, unaweza kuzifunga manually au tumia lighter apps.

5. Test Speaker, Mic na Vibration
→ Rekodi sauti, cheza audio, pika simu.
→ Kama sauti ni ndogo, chafu au haifanyi kazi:
Inaweza kuwa software issue au hardware kama IC/audio chip.

7. Test Sensors
→ Kama compass, light sensor au proximity sensor hazifanyi kazi, utaona kwenye apps kama Phone Doctor Plus.
→ Sensor mbovu = simu inaweza kuzimika ghafla au kuishiwa mwanga bila sababu.

Bonus Tip:
→ Kama hujui chanzo cha tatizo, fanya safe mode boot au factory reset (backup kwanza)
→ Kama bado simu inasumbua, ni hardware issue.

2. Tumia Apps Maalum za Diagnosis
→ Hizi zinakupa taarifa za kina sana:
• Phone Doctor Plus
• TestM Hardware
• AccuBattery – kwa battery health
• CPU-Z – specs na thermal info
• Device Info HW – full breakdown ya simu

9. Kagua Health ya OS
→ Fungua Developer Options (7x tap Build Number)
→ Cheki background processes, animations, CPU usage.
→ OS Corruption inaweza kuwa chanzo cha matatizo mengi ya simu.