Teknolojia
133 subscribers
3.82K photos
4.56K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
@Huduma

πŸ’¨ Wengi wamejichanganya tena hapa 😁

Wamesema Frame 2 ndiyo picha ya Camera sababu nadhani wamezoom wakaangalia hiyo t-shirt ya huyo dada details zinaonekana zaidi kumbe hata frame 1 ukiiedit ukapunguza saturation details pia utaziona.

Ukijaribu kuzoom upande wa brother wa kulia na kichwa cha huyo dada utagundua Frame 1 imejitosheleza zaidi.

Frame 1: Sony A7iv
Frame 2: Vivo X200 Ultra
7. Auto Software Updates (Unapokuwa na Data)
β†’ Zima auto updates kupitia bundles. Zinaweza kula data bila kujua.

Android: Play Store > Settings > Network Preferences > Auto-update apps > Over Wi-Fi only

iPhone: Settings > App Store > Automatic Downloads > Off or Wi-Fi only
5. Bluetooth na NFC

β†’ Kama hautumii, zima hizi features. Husaidia kuepuka connections za kiholela au udukuzi.

Swipe down > zima Bluetooth & NFC
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ OFFER SAMSUNG A SERIES

β–ͺ️A05 (4+64) - 250K
β–ͺ️A06 (4+64) - 300K
β–ͺ️A06 (4+128) - 330K
β–ͺ️A05s (4+128) - 350K
β–ͺ️A16 (4+128) -450K
β–ͺ️A16 (8+256) - 580K
β–ͺ️A26 5G (6+128) - 680K
β–ͺ️A26 5G (8+256) - 780K
β–ͺ️A36 5G (6+128) - 900K
β–ͺ️A36 5G (8+256) - 1M
β–ͺ️A56 5G (8+128) - 1M

πŸ“Dar: KKKT Kariakoo
πŸ“Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
πŸ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
4. Auto-Download ya Media (hasa WhatsApp)

β†’ Inajaza storage haraka na kupoteza bundles.

Zima kwenye WhatsApp:
Settings > Storage & Data > Media Auto-Download > Weka β€œNo media”
6. App Permissions
β†’ Angalia apps zinazodai ruhusa zisizohitajika (k.m. camera, mic, contacts).

Android/iPhone:
Settings > Privacy > Review permissions by app or function
Bonus:
Disable "Hey Google" au "Siri" kama huitumii
β†’ Inabaki ikisikiliza kila wakati, huathiri battery & faragha.
πŸ’¨ Kuna zile nyumba kigamboni mwaka jana mwanzoni zilikuwa zinapangishwa 250K siku hizi ni 400K.
@Huduma

πŸ’¨ Mbele ni Xiaomi Civi 5 Pro na nyuma ni Xiaomi 15
@Huduma

πŸ’¨ Jana linifanikiwa kucheki BARALUKO Ep1 YouTube ya Gabo itoshe kusema jamaa kaamua kutuonyesha hapa Bongo yuko mmoja tu

β–ͺ️Waliofanya Video&Sound Production βœ…
β–ͺ️Uwezo wa Kuigiza&Kucheza na hisia βœ…
πŸ’¨ Hii idadi ya watu waliopo kwenye mabanda ya mpira na bar kucheki hii game ya Simba na Berkane ni kubwa mno.
Pia watumiaji watakuwa na option ya kuamua watu wengine na marafiki zao kuwa na uwezo wa kupost Status zao.
πŸ†• WhatsApp imeanza majaribio ya kuruhusu mtumiaji kuwa na uwezo wa ku-share Status ya mtu mwingine.

Ukiona status ya rafiki yako, utakuwa na uwezo wa kuipost (re-post) kwenye Status zako bila kulazimika kumuomba akutumie ili uweze kui-post au kuihifadhi.
3. Angalia Battery Health
β†’ Kama simu yako inazima ghafla au moto sana:
β€’ Tumia AccuBattery (Android)
β€’ iPhone: Settings > Battery > Battery Health

Battery chini ya 80% = ni dalili ya kuchoka.
8. Check Storage na RAM Usage
β†’ Simu ikisuasua, fungua:
Settings > Storage / RAM
β†’ Kama apps zinameza RAM au background apps ni nyingi, unaweza kuzifunga manually au tumia lighter apps.