Teknolojia
134 subscribers
3.86K photos
5.05K videos
94 files
13.4K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
Suluhisho:

Jaribu ku-restart simu.

Tumia laini nyingine au jaribu kuwasiliana na huduma kwa wateja.

Clear messages zako ikiwa inbox imejaa.
ZINGATIA
Kama tatizo linaendelea licha ya suluhisho zote hizi, ni vizuri kuwasiliana na huduma kwa wateja wa mtandao wako au kujaribu kutumia laini nyingine kwenye simu yako.

Pia, unaweza kutumia apps mbadala kama WhatsApp kwa ujumbe mfupi wa haraka.
︎ Teknolojia

💨 Happy birthday to you
@Huduma

💨Ni wakati wa kuwazingatia Vivo kwa jicho la tatu
@Huduma

💨 NOTHING PHONE SERIES 🥶

▪️CMF Phone1 (8+256) - 850K
▪️Phone2a (8+256) - 1.25m
▪️Phone2a (12+256) - 1.35m
▪️Phone 2 (12+256) - 1.58m
▪️Phone 2 (12+512) - 1.75m
▪️Phone 3a (12+256) - 1.25M
▪️Phone 3a Pro (12+256) - 1.45M

📍Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani 🚚
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨 Cole Palmer anakuwaga na picha zake za kimiyeyusho sana 😂😂
︎ Teknolojia

💨 Umetisha sana mzigo tayari nishaupokea 🙏
︎ Teknolojia

💨 😂😂😂
💨 Toka juzi network ya voda inapotea na kurudi.

Hii ni kwangu tu?
︎ Teknolojia

💨Asante kwa kutuamini🤝

@Njiwa_Store
@NjiwaFLow

Tunakufikia popote kwa uaminifu mkubwa sana✊🏽
︎ Teknolojia

💨 Vitu kama hivi wanawake ndio mnatakiwa mtupe kama zawadi.
@Huduma

💨 Picha moja imepigwa na Vivo X200 Ultra na nyingine ni DSLR Camera.

Kwa mtu makini anaweza kuona gape kubwa lililopo kati ya Camera ya simu na Camera kama Camera.
@Huduma

💨 Wengi wamejichanganya tena hapa 😁

Wamesema Frame 2 ndiyo picha ya Camera sababu nadhani wamezoom wakaangalia hiyo t-shirt ya huyo dada details zinaonekana zaidi kumbe hata frame 1 ukiiedit ukapunguza saturation details pia utaziona.

Ukijaribu kuzoom upande wa brother wa kulia na kichwa cha huyo dada utagundua Frame 1 imejitosheleza zaidi.

Frame 1: Sony A7iv
Frame 2: Vivo X200 Ultra
7. Auto Software Updates (Unapokuwa na Data)
→ Zima auto updates kupitia bundles. Zinaweza kula data bila kujua.

Android: Play Store > Settings > Network Preferences > Auto-update apps > Over Wi-Fi only

iPhone: Settings > App Store > Automatic Downloads > Off or Wi-Fi only