Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.59K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Sababu:

Tofauti ya encoding kati ya simu yako na ya mtumaji.
Suluhisho:

Jaribu kutumia app tofauti kama Google Messages.

Mwelekeze mtumaji atumie app nyingine au andike kwa lugha tofauti.
3. SMS Inachelewa Kufika (Delayed SMS)
Tatizo: Unatuma leo, inafika kesho.
Sababu:

Mtandao wa mtoa huduma uko slow au congested.

Simu yako au ya mpokeaji imejaa au imezimwa.
7. Simu Inasema “Can't send message to this number”
Sababu:

Unajaribu kutuma SMS kwa namba isiyo sahihi au haifanyi kazi tena.
Suluhisho:

Hakikisha namba iko sahihi, tumia 0 badala ya +255 au kinyume chake.
Suluhisho:

Nenda Settings > Blocked numbers → angalia kama kuna mtu umezuia kimakosa.

Jaribu laini hiyo kwenye simu nyingine.

Angalia permissions za app ya Messages.
5. SMS Inaonekana Imepokelewa Lakini Haisomeki (Garbage characters)
Tatizo: SMS inakuja ikiwa imechanganyika na herufi zisizoeleweka.
Suluhisho:

Hakikisha namba ni sahihi.

Tuma tena baada ya muda au jaribu kumpigia umjulishe.

Ikiwezekana tumia app kama WhatsApp au Telegram kama njia mbadala.
4. Hupokei SMS Kabisa
Tatizo: Watu wanakutumia SMS lakini hupokei hata moja.
Sababu:

Umezuia (blocked) namba nyingi au umeweka filter fulani.

Line haijarekodiwa vizuri kwenye simu nyingine.
Sababu:

App ya messaging imepata bug au corrupted.
Suluhisho:

Update app ya Messages.

Clear cache kupitia Settings > Apps > Messages > Clear Cache.

Restart simu.
6. Ujumbe Unapotea Baada ya Kutumwa (Sent lakini haionekani kwenye outbox)
Tatizo: Unatuma SMS lakini haikai kwenye Sent/Outbox.
Suluhisho:

Jaribu ku-restart simu.

Tumia laini nyingine au jaribu kuwasiliana na huduma kwa wateja.

Clear messages zako ikiwa inbox imejaa.
ZINGATIA
Kama tatizo linaendelea licha ya suluhisho zote hizi, ni vizuri kuwasiliana na huduma kwa wateja wa mtandao wako au kujaribu kutumia laini nyingine kwenye simu yako.

Pia, unaweza kutumia apps mbadala kama WhatsApp kwa ujumbe mfupi wa haraka.
︎ Teknolojia

💨 Happy birthday to you
@Huduma

💨Ni wakati wa kuwazingatia Vivo kwa jicho la tatu
@Huduma

💨 NOTHING PHONE SERIES 🥶

▪️CMF Phone1 (8+256) - 850K
▪️Phone2a (8+256) - 1.25m
▪️Phone2a (12+256) - 1.35m
▪️Phone 2 (12+256) - 1.58m
▪️Phone 2 (12+512) - 1.75m
▪️Phone 3a (12+256) - 1.25M
▪️Phone 3a Pro (12+256) - 1.45M

📍Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani 🚚
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨 Cole Palmer anakuwaga na picha zake za kimiyeyusho sana 😂😂
︎ Teknolojia

💨 Umetisha sana mzigo tayari nishaupokea 🙏