Teknolojia
132 subscribers
3.8K photos
4.48K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Sura za namna hii ndio zinaanzishaga haya majina na lugha ya kichugachuga alafu mtaa unaitika.
Kwa watu wenye matatizo ya kusikia, 'Live Listen' sasa inapatikana kwenye Apple Watch ikiwa na vipengele vipya kama Live Captions kwa wakati halisi. Itasaidia iPhone kutuma sauti moja kwa moja kwenye AirPods, vifaa vya kusikia vya Made for iPhone, au Beats.
Mwaka huu, Magnifier inakuja kwenye Mac kusaidia watumiaji wenye uoni hafifu kuona mazingira yao vizuri. Inatumia kamera ya kifaa au iPhone kupitia Continuity Camera, au kamera ya USB, kukuza vitu kama skrini au ubao.
Accessibility Reader itasaidia watumiaji wa iPhone na wasioweza kuona - kusikiliza kitabu na PDF.

Sehemu hii itakuwa inasoma vitabu, document mbalimbali na PDF kwa sauti
Braille Access itasaidia vifaa vya Apple kuwa vya kuchukua maandishi ya nukta nundu, kurahisisha kufungua programu, kuandika, kufanya mahesabu kwa Nemeth Braille, na kusoma faili za BRF. Pia, huonyesha mazungumzo kwa wakati halisi kupitia kifaa cha nukta nundu.
πŸ†• Apple imetangaza vipengele vipya vya accessibility vitakavyopatikana baadaye mwaka huu kwenye vifaa vyake kama iPhone, iPad, Mac, na Apple Vision Pro.

Lengo kuu ni kuwasaidia watu wenye ulemavu wa kuona, kusikia, au ulemavu wa mwili kutumia teknolojia kwa urahisi zaidi.
App zitakuwa zinaonyesha features zake za Accessibility
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
'Vehicle Motion Cues' itaanza kupatikana kwenye MacBooks
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ IPHONE 17 SERIESπŸ”₯πŸ”₯
Playlists mpya za Apple na Universal Music Group https://twitter.com/Swahili_Tek/status/1922333112760975753#m
πŸ†• Leo, Apple na Universal Music Group wamezindua kwa pamoja - mkusanyiko mpya wa playlist za afya ya akili uitwao β€œSound Therapy”

Ina nyimbo za mawimbi ya sauti na white noise ili kuwasaidia wasikilizaji kutuliza akili, kuwa na focus, na kulala kwa urahisi zaidi.
γ€½οΈŽ Teknolojia

YouTube Premium v20.20.45 (Usajili Umefunguliwa)
━━━━━━━━━━━━━━━━━━━━┳═─
πŸ’Ž 𝗠𝗼𝗱 π—œπ—»π—³π—Ό:
● Malipo | Vipengele Vinavyolipishwa Vimefunguliwa
● Hakuna matangazo
● Moduli thabiti
● Sauti na mwangaza uliowashwa
vidhibiti vya kubadilishana
● Imewasha uchezaji uliopunguzwa
uchezaji wa usuli
● Washa viungo vilivyo wazi moja kwa moja
kivinjari cha nje
● Kitufe cha kutopenda youtube kimewashwa
● Lugha nyingi zinapatikana
● Tao la CPU: armeabi-v7a, arm64-v8a
πŸ–€ YouTube.com/@Getmodpc
✈️ Hifadhi nakala ya kituo