Teknolojia
132 subscribers
3.82K photos
4.57K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨Realme GT 7 wanakwambia anxiety off, Power on
Kwa kiswahili unapanda nayo Kilimanjaro siku 7 alafu unashuka πŸ˜…πŸ˜…
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨Asante kwa kutuamini

@Njiwa_Store
@NjiwaFLow

Tunakufikia popote kwa uaminifu mkubwa sana.
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Google Pixel 9a

β–ͺ️(8GB RAM, 128GB ROM) - 1.45M
β–ͺ️(8GB RAM, 256GB ROM) - 1.7M

πŸ“KKKT Kariakoo
πŸ“ž 0745100757
@Njiwa_Store
πŸ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
πŸ’₯ Tofauti ya graphics kwenye GTA 5 na GTA 6
2: Wezesha "Call with 5 Presses"
γ€½οΈŽ Teknolojia

Tuanze namna ya kuactivate emergency sos kwenye simu yako

ANDROID USERS

1: Nenda Settings > Safety & Emergency > Emergency SOS
2: Washa chaguo la β€œQuickly press power button 5 times”
3:Ongeza Emergency Contacts kupitia Health app
4: Itatuma location mara moja ukibonyeza side button mara 5 au zaidi.
4: Wezesha kutuma location na kurekodi video kama inapatikana.
3:Chagua namba za dharura (ICE – In Case of Emergency contacts)

Hapa unaweka namba za wale unaowataka wawe wakwanza kupata ujumbe wa dharura unapopata shida
Maoni Muhimu:

Jaribu feature hii kabla ya dharura – ujue inavyofanya kazi.

Hakikisha unaongezea mtu unaemuamini kwenye Emergency Contacts.
β–ͺ️Ukiwa hatarini (umetekwa, unafuatwa, au uko kwenye ajali), unaweza toa taarifa bila hata kufungua lock screen.

β–ͺ️Inafanya kazi kimya kimya – inakusaidia bila kumfahamisha mtekaji au mtu anayekufuatilia.
Kwa iPhone:

1: Nenda Settings > Emergency SOS
@Huduma

πŸ’¨ Zote bei ni moja unachagua ipi?

β–ͺ️Google Pixel 9a (8+128) - 1.45M
β–ͺ️Nothing Phone 3a Pro (12+256) - 1.45M

πŸ“KKKT Kariakoo
wa.me/+255745100757
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Xiaomi 16 πŸ”₯
Wakati xiaomi 15 ultra ikiendelea kufanya vizuri sokoni tayari pamekuwa na tetesi za ujio wa Xiaomi 16 ikiwa na β–ͺ️battery 6800mAh + 100W
β–ͺ️Snapdragon 8 Elite 2
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ SAMSUNG S25 EDGEπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯