Teknolojia
133 subscribers
3.8K photos
4.52K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

💨 OFFER SAMSUNG A SERIES

▪️A05 (4+64) - 250K
▪️A06 (4+64) - 300K
▪️A06 (4+128) - 330K
▪️A05s (4+128) - 350K
▪️A16 (4+128) -450K
▪️A16 (8+256) - 580K
▪️A26 5G (6+128) - 680K
▪️A26 5G (8+256) - 780K
▪️A36 5G (6+128) - 900K
▪️A36 5G (8+256) - 1M
▪️A56 5G (8+128) - 1M

📍Dar: KKKT Kariakoo
📍Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨 JBL SPEAKER (Original💯)

▪️JBL Go 3 - 145K
▪️JBL Go 4 - 190K
▪️JBL Flip6 - 300K
▪️JBL Flip7 - 420K
▪️JBL Charger5 - 450K
▪️JBL Charger6 - 550K
▪️JBL XTRME3 - 700K
▪️JBL XTRME4 - 840K

📍Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1 utaingia ndani duka limeandikwa Njiwa
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
@Huduma

💨 NOTHING PHONE SERIES 🥶

▪️CMF Phone1 (8+256) - 850K
▪️Phone2a (8+256) - 1.25m
▪️Phone2a (12+256) - 1.35m
▪️Phone 2 (12+256) - 1.58m
▪️Phone 2 (12+512) - 1.75m
▪️Phone 3a (12+256) - 1.25M
▪️Phone 3a Pro (12+256) - 1.45M

📍Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani 🚚
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
🚨 Kwa wanaotegemea WhatsApp kwa mawasiliano ya siri kwenye magroup (kama wanaharakati, waandishi wa habari, au hata biashara), kuna hatari ya jumbe zao kunaswa na watu wasiotakiwa.
Ripoti kamili hii hapa 🔗⬇️
eprint.iacr.org/2025/794.pdf
1️⃣ WhatsApp groups 𝗵𝗮𝘇𝗶𝗻𝗮 𝗺𝗳𝘂𝗺𝗼 𝘄𝗮 𝗰𝗿𝘆𝗽𝘁𝗼𝗴𝗿𝗮𝗽𝗵𝗶𝗰 𝗺𝗮𝗻𝗮𝗴𝗲𝗺𝗲𝗻𝘁

2️⃣ Mtu anaweza 𝗸𝘂𝗶𝗻𝗴𝗶𝗮 𝗸𝘄𝗲𝗻𝘆𝗲 𝗴𝗿𝗼𝘂𝗽 𝗻𝗮 𝗮𝘀𝗶𝗼𝗻𝗲𝗸𝗮𝗻𝗲 𝗻𝗮 𝗺𝗲𝗺𝗯𝗲𝗿𝘀 𝘄𝗮 𝗴𝗿𝗼𝘂𝗽 na kwenye seva za WhatsApp
🚨🆕⚠️ Watafiti na taasisi za kuchunguza usalama wa apps; wamegundua kwamba WhatsApp haina mfumo wa cryptographic kwenye Groups.
︎ Teknolojia

💨Tofauti iliyopo kati ya iPhone 16pro na 17pro
Apple Watch ⌚️
︎ Teknolojia

💨USINUNUE SIMU HIZI 2025

Mwaka 2025 kuna simu nyingi sana sokoni – nzuri, za kawaida na mbovu kabisa.
Sasa, ili usijute, hebu nikueleze aina za simu ambazo hupaswi kabisa kununua mwaka huu.
Twende kazi

Shuka 🧵👇

Usisahau 🔄
5. Simu Feki (Clone Phones)

Huonekani kama simu halali

Hakuna security updates

Bateria za kulipuka

Mara nyingi hazina Play Store
Kagua IMEI, angalia box & specs kwa makini.
2. Simu Bila 4G au 5G

Hii ni 2025, bado unanunua simu ya 3G?

Mitandao mingi duniani tayari imeanza kuzima 3G

Hakuna future-proof
Hakikisha simu ina 4G angalau.
@Huduma

Frame 01: Xiaomi 15 ultra vs Vivo X200 ultra
Frame 02: Vivo X200. Ultra vs Oppo find X8 ultra🔥
Wanaonekana kama watoto wa baba mmoja
︎ Teknolojia

💨 Samsung A05s

(4GB RAM, 128GB ROM) - 350,000

📍Dar: KKKT Kariakoo
📍Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
@Huduma

💨 Vivo X200 Ultra VS Sony 6400 professional camera

Sony 6400 hii ni camera ya daraja la kati ya 2019. Kulinganisha Camera ya simu na Camera kama Camera huwaga kuna gape kubwa linaonekana kutokana na udogo wa sensor za camera za simu.

Hapa Vivo kwa namna flani 👇
@Huduma

Imejitadi kwa kiasi chake ila gape linaonekana 😁😁