Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.59K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
︎ Teknolojia

⚠️ Kwa Tanzania sasa Watu wengi wakitumia vibaya kwa kuweza kuchukua picha za watu na kuweza kuzifanya watakavyo,

💡 asilimia kubwa ya watumiaji wa mtandao wa X wanachukua picha za watu mara wazivue nguo au kufanya wafanyavyo.
︎ Teknolojia

𝗛𝗮𝘁𝗮𝗿𝗶 𝘆𝗮 𝗔𝗸𝗶𝗹𝗶 𝗯𝗮𝗻𝗱𝗶𝗮 𝘆𝗮 𝗚𝗿𝗼𝗸 𝗻𝗰𝗵𝗶𝗻𝗶 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮 𝘀𝗶𝗼 𝗽𝗼𝗮

AISEEE hii Grok inazidi kuleta Hatari kwa watumiaji wa Mtandao wa X sio poa 😌

Watanzania Tujihadhari sana

Threads ni Yako
︎ Teknolojia

🚀 Lakini Teknolojia hiyo ambayo inasaidia watu kufanya shughuli mbalimbali kwa kupitia chati boti ambayo unaweza kuitumia ndani ya we browser au kupitia app ya X ya Tajiri Elon musk.
︎ Teknolojia

💡 Hakika Maendeleo ya Teknolojia yanazidi kwenda Kasi lakini kuendelea kwasi kumepelekea watu kujisahau sana na kupelekea maadili kushuka.

💡 Mtandao wa X ambao Zamani ulikua unaitwa Twitter uliweza kutambulisha akili bandia aina ya Grok.
@Huduma

Hali hii inapelekea kuvunja maadili kupitia Mitandao ya kijamii, hivyo ndugu, jamaa na marafiki kuwa makini na picha unazotuma Mitandao unaweza jikuta umevalishwa sekti, chupi , boxer au kukaa uchi 😌.
@Huduma

Tutumie Mitandao kwa manufaa sogeza picha kuona sample za picha watu wengi wamezifanya hovyo kabisa Tujihadhari 😌.

⚠️ Picha zitakazo onekana sio nzuri.
Usisahau kutu follow @Bongotech255 kwa maujanja zaidi
︎ Teknolojia

🚀 Mtandao huu unaongoza Kwa kujibu maswali mbalimbali mtu anayomuuliza hata kama ni Hatari kiasi gani inaweza kukusaidia kukupatia majibu ambapo kikawaida Mitandao mingine inakataa kukupa majibu.
︎ Teknolojia

💨Asante kwa kutuamini

Tunakufikia popote kwa uaminifu mkubwa sana.
@Huduma

🔭 Inaweza 𝗸𝘂𝘇𝗼𝗼𝗺 𝗺𝗽𝗮𝗸𝗮 𝗠𝗼𝘆𝗼 𝘄𝗮𝗸𝗼😉, ila kubwa zaidi ni kuhusu Kamera zake inatoa picha kali kwa upande wa picha za kawaida na video haswa zile za Outdoor ikiwa na mwangaza Bora kabisa.
@Huduma

💡 Kampuni ya Tecno katika toleo la simu Bora kwa mwaka 2025 basi hii ni 𝗧𝗲𝗰𝗻𝗼 𝗖𝗮𝗺𝗼𝗻 𝟰𝟬 𝗦𝗲𝗿𝗶𝗲𝘀 wametisha sana humu ndani kwa feature zake za kibabe sana.
@Huduma

📸 Achana na Yote Leo nakuambia kuhusu Teknolojia hii ya 𝐏𝐞𝐫𝐢𝐬𝐜𝐨𝐩𝐞 𝐓𝐞𝐥𝐞𝐩𝐡𝐨𝐧𝐞 𝐂𝐚𝐦𝐞𝐫𝐚 iliyopo kwenye Tecno ni babu kubwa mnoo.

💡 Inakupa uwezo wa kuvuta kitu kilicho mbali kuwa karibu kwa ubora wa hali ya juu.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

📸 Sina shaka kabisa upande wa picha, video na zoom super 1000x Quality so fantastic 🔥🔥, ni rafiki kwa kila mtu yani ukitumia utaweza ku enjoy sana.

Kwa taarifa zaidi Tembelea @TecnomobileTZ
@Bongotech255

Usisahau kutu follow 🔥🔥
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

𝗧𝗲𝗰𝗻𝗼 𝗺𝗯𝗮𝗯𝗲 𝘄𝗮 𝗞𝗮𝗺𝗲𝗿𝗮 𝟮𝟬𝟮𝟱

Hakika Tecno wametisha sana kwa mwaka 2025 huyu ndo mbabe wa Kamera kwa mwaka 2025 🔥🔥

Threads ni Yako 🚀
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Ukiwa na Monitor kama HP X34 ,kazi zinaenda vizuri sana. Asante sana @lexard_computers
︎ Teknolojia

💨Sony wanampango wa kuzindua simu mpya wiki ijayo

Sony Xperia 1 VII imenyooka sana🔥

Unaipa ngapi design ya camera ../10👇