Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.59K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
︎ Teknolojia

Unapenda games kwenye simu yako 🎮

Je unapenda game Kali kwa ajili ya Simu yako 🎮, kama unahitaji ku enjoy game za kibabe za kutisha, mpira, Ngumi , thriller utaweza kuzipata

Angalia trailer kwenye comment
︎ Teknolojia

UNGEKUA WEWE POLISI UNGEFANYAJE!!!

JE unahitaji movie ya kutizama Leo hii movie Kali yenye unyama ndani yake 🔥🔥

Basi threads ni Yako
︎ Teknolojia

💨 PIXEL MPYA 💥

▪️Pixel 9 (12+128) - 1.75M
▪️Pixel 9 (12+256) - 2.15M
▪️Pixel 9 Pro (16+128) - 2.4M
▪️Pixel 9 Pro (16+256) - 2.8M
▪️Pixel 9 Pro XL (16+128) - 2.5M
▪️Pixel 9 Pro XL (16+256) - 2.8M

USED DUBAI (Original Display)👇
▪️Pixel 6a (6+128) - 430K
▪️Pixel 7 (8+128) - 650K
▪️Pixel 7a (8+128) - 650K
▪️Pixel 8 (8+128) - 950K
▪️Pixel 8a (8+128) - 950K
▪️Pixel 8 Pro (12+128) - 1.1M

📍Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani 🚚
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

💨Mkuu Harry Kane sawa umeshinda
Njoo @Njiwa_Store tukupe simu ya kurekodi video kali kama brother 🐐😅
︎ Teknolojia

💨USIITUPE, TURN SIMU YAKO YA ZAMANI KUWA CCTV CAMERA

Badala ya kuacha simu yako ya zamani ikivuta vumbi au kuiuza bei chee, tumia kama CCTV ya nyumbani kwa ufuatiliaji wa usalama
︎ Teknolojia

💨 NOTHING PHONE

▪️Phone 3a (12+256) - 1.25M
▪️Phone 3a Pro (12+256) - 1.45M

📍Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
@Huduma

💨 OFFER SAMSUNG A SERIES

▪️A05 (4+64) - 250K
▪️A06 (4+64) - 300K
▪️A06 (4+128) - 330K
▪️A05s (4+128) - 350K
▪️A16 (4+128) -450K
▪️A16 (8+256) - 580K
▪️A26 5G (6+128) - 680K
▪️A26 5G (8+256) - 780K
▪️A36 5G (6+128) - 900K
▪️A36 5G (8+256) - 1M
▪️A56 5G (8+128) - 1M

📍Dar: KKKT Kariakoo
📍Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨 Xiaomi wanatoa hadi discount ya MB kwenye kuupdate apps zao 😁😁
︎ Teknolojia

💨 SAMSUNG GALAXY A55

▪️24 MONTHS WARRANTY FOR SOFTWARE
▪️12 MONTHS WARRANTY FOR DISPLAY

💥128GB. 900,000Tsh
💥256GB. 1,050,000

📍Dar: KKKT Kariakoo
📍Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
👍1
︎ Teknolojia

Kumbuka: unapoibiwa au kupoteza simu Hakikisha unatoa taarifa kwa watoa huduma wako waweze kukusaidia kuifunga hiyo line ili kuwa Salama.

Share kwa wengine wajifunze zaidi 💥

Usisahau kutu follow @Bongotech255 kwa kujifunza zaidi 🌝
︎ Teknolojia

Baada ya kujua kiasi gani kwenye akaunti jumla kipo ataamua sasa kiasi gani anapanga kukuibia kwenye simu yako kwa kupiga huduma kwa wateja Bure 100 kisha ataweza kuomba abadilishiwe password.
︎ Teknolojia

Ukibiwa simu kama kifaa chako kina nywila mwizi anatoa line na kuiweka kwenye kifaa kingine.

pili ataweza kuchunguza usajili uliofanywa kupitia namba yako kwa kupiga *106# ataweza kujua majina kamili ya mmiliki wa hiyo line.
︎ Teknolojia

𝗷𝗶𝗻𝘀𝗶 𝗺𝘄𝗶𝘇𝗶 𝗮𝗻𝗮𝘃𝘆𝗼𝘄𝗲𝘇𝗮 𝗸𝘂𝗸𝘂𝗶𝗯𝗶𝗮 𝗽𝗲𝘀𝗮 𝘇𝗮𝗸𝗼 𝗸𝘄𝗲𝗻𝘆𝗲 𝗹𝗶𝗻𝗲 𝘆𝗮 𝘀𝗶𝗺𝘂 𝘆𝗮𝗸𝗼

💭 Changamoto ya kuibiwa au kupoteza simu mtu yeyote inawezekana kumkuta mtu yeyote kwenye hii Dunia lakini suala la kulinda kifaa chako ni muhimu,

Threads
︎ Teknolojia

⚠️Swali la kujiuliza Je mwizi aliwezaje kuhamisha pesa toka laini moja kwenda nyingine wakati nywila au namba ya Siri (password) haijui 🙄,

wengi wanaamini kuwa Mitandao ya Simu wanahusika kwenye hili lakini kiuwalisia Sio kweli unajua kwanini 👇🏾
︎ Teknolojia

💡 Kutokana na taarifa zako zote anazo customer care ataweza kumtumia code ambazo akiziweka kwenye hiyo laini ataweza kubadilisha password na kuweza kuhamisha pesa anazotaka.
︎ Teknolojia

Huduma kwa wateja watamuuliza maswali ambayo majibu anayo kuanzia jina alilosajilia, kiasi kilichopo, muhamala wa mwisho kufanyika taarifa hizi hatazitoa kwa Customer Care.
︎ Teknolojia

Kisha wanatumia mfumo wa kutuma pesa ataweza kukutumia kiasi chochote kuanzia 500 nk

kisha jina lako litaweza kutokea kwenye simu yake wakati anakutumia pesa na kujua namba hii imesajiliwa kwa jina gani.
︎ Teknolojia

💡 Kuna mtu mmoja Aliweza kuibiwa simu yake baada ya masaa kadhaa ikaweza kufanyika miamala kwenye line yake bila Yeye kujua ambapo kiasi Cha zaidi ya Tsh 1,000,000/= kiliweza kuhamishwa kutoka laini A kwenda laini X.