Teknolojia
133 subscribers
3.82K photos
4.55K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
︎ Teknolojia

💡 𝗧𝗲𝗸𝗻𝗼𝗹𝗼𝗷𝗶𝗮 𝗵𝗶𝗶 𝗮𝗺𝗯𝗮𝘆𝗼 𝗶𝗻𝗮𝘁𝘂𝗺𝗶𝗮 𝘀𝗮𝘁𝗲𝗹𝗹𝗶𝘁𝗲 ya majaribio kupitia Mwanga wa jua hukusanywa kupitia paneli za jua (solar) na kubadilishwa kuwa umeme.
︎ Teknolojia

Vyoo hivyo ambavyo utalipia Dola $3 kuweza kuruhusu Mashine iweze kutoa majibu ya choo chako wakati ambao umekitumia mfano mkojo ambapo itaweza kukuonyesha ikiwa una maambukizi yoyote.
︎ Teknolojia

uhifadhiwa kwenye Betri Iliyo kwenye ubao kisha kutumwa Ardhini bila Waya kupitia 𝙢𝙞𝙘𝙧𝙤𝙬𝙖𝙫𝙚.
︎ Teknolojia

🚀 𝗡𝗶𝗹𝗶𝗰𝗵𝗼𝗸𝗶𝗽𝗲𝗻𝗱𝗮 𝘇𝗮𝗶𝗱𝗶:

Teknolojia hii haiwezi kuathiriwa na mifumo ya hali ya Hewa au Usiku.

Haya ni mafanikio makubwa kwenye kuelekea kusuluhisha mahitaji ya nishati ya siku zijazo kwa teknolojia mbadala kutoka angani.
︎ Teknolojia

𝗝𝗮𝗽𝗮𝗻 𝗶𝗻𝗮𝗸𝘂𝗮 𝗻𝗰𝗵𝗶 𝘆𝗮 𝗸𝘄𝗮𝗻𝘇𝗮 𝗸𝘂𝘇𝗮𝗹𝗶𝘀𝗵𝗮 𝘂𝗺𝗲𝗺𝗲 𝗸𝘂𝗽𝗶𝘁𝗶𝗮 𝘀𝗮𝘁𝗲𝗹𝗹𝗶𝘁𝗲 𝗻𝗮 𝗸𝘂𝘂𝘁𝘂𝗺𝗮 𝗗𝘂𝗻𝗶𝗮𝗻𝗶

Hakuna kama Japan kwa mwaka huu 2025 🌍 unachukua umeme toka mbinguni na kuleta duniani

Kuna siri Gani ??? Threads ni Yako 💡
︎ Teknolojia

💥 Tarehe 5 May 2025 Mtandao wa Skype utaweza kuzimwa Rasmi ambao kipindi icho ilikua kama ndo Whatsapp watu wengi maofisini na majumbani walikua wanawasiliana kwa njia ya intaneti kupitia Skype.
︎ Teknolojia

𝗥𝗮𝘀𝗺𝗶 𝗺𝘁𝗮𝗻𝗱𝗮𝗼 𝘄𝗮 𝗦𝗸𝘆𝗽𝗲 𝘂𝘁𝗮𝘇𝗶𝗺𝘄𝗮 𝗺𝘄𝗲𝘇𝗶 Huu

Baada miaka 22 ya upendo wa Skype sasa inafikia Tamati Hakika watoto wa 2000 hawawezi kuelewa hii

Threads ni Yako 💡
︎ Teknolojia

💨Kuna vita nahisi imefikia mwisho

Watawala wapya wamezaliwa
Vivo X200 ultra 🔥🔥🔥
@Huduma

💨 OFFER SAMSUNG A SERIES

▪️A05 (4+64) - 250K
▪️A06 (4+64) - 300K
▪️A06 (4+128) - 330K
▪️A05s (4+128) - 350K
▪️A16 (4+128) -450K
▪️A16 (8+256) - 580K
▪️A26 5G (6+128) - 680K
▪️A26 5G (8+256) - 780K
▪️A36 5G (6+128) - 900K
▪️A36 5G (8+256) - 1M
▪️A56 5G (8+128) - 1M
︎ Teknolojia

Unapenda games kwenye simu yako 🎮

Je unapenda game Kali kwa ajili ya Simu yako 🎮, kama unahitaji ku enjoy game za kibabe za kutisha, mpira, Ngumi , thriller utaweza kuzipata

Angalia trailer kwenye comment
︎ Teknolojia

UNGEKUA WEWE POLISI UNGEFANYAJE!!!

JE unahitaji movie ya kutizama Leo hii movie Kali yenye unyama ndani yake 🔥🔥

Basi threads ni Yako
︎ Teknolojia

💨 PIXEL MPYA 💥

▪️Pixel 9 (12+128) - 1.75M
▪️Pixel 9 (12+256) - 2.15M
▪️Pixel 9 Pro (16+128) - 2.4M
▪️Pixel 9 Pro (16+256) - 2.8M
▪️Pixel 9 Pro XL (16+128) - 2.5M
▪️Pixel 9 Pro XL (16+256) - 2.8M

USED DUBAI (Original Display)👇
▪️Pixel 6a (6+128) - 430K
▪️Pixel 7 (8+128) - 650K
▪️Pixel 7a (8+128) - 650K
▪️Pixel 8 (8+128) - 950K
▪️Pixel 8a (8+128) - 950K
▪️Pixel 8 Pro (12+128) - 1.1M

📍Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani 🚚
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

💨Mkuu Harry Kane sawa umeshinda
Njoo @Njiwa_Store tukupe simu ya kurekodi video kali kama brother 🐐😅
︎ Teknolojia

💨USIITUPE, TURN SIMU YAKO YA ZAMANI KUWA CCTV CAMERA

Badala ya kuacha simu yako ya zamani ikivuta vumbi au kuiuza bei chee, tumia kama CCTV ya nyumbani kwa ufuatiliaji wa usalama
︎ Teknolojia

💨 NOTHING PHONE

▪️Phone 3a (12+256) - 1.25M
▪️Phone 3a Pro (12+256) - 1.45M

📍Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
@Huduma

💨 OFFER SAMSUNG A SERIES

▪️A05 (4+64) - 250K
▪️A06 (4+64) - 300K
▪️A06 (4+128) - 330K
▪️A05s (4+128) - 350K
▪️A16 (4+128) -450K
▪️A16 (8+256) - 580K
▪️A26 5G (6+128) - 680K
▪️A26 5G (8+256) - 780K
▪️A36 5G (6+128) - 900K
▪️A36 5G (8+256) - 1M
▪️A56 5G (8+128) - 1M

📍Dar: KKKT Kariakoo
📍Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨 Xiaomi wanatoa hadi discount ya MB kwenye kuupdate apps zao 😁😁