Teknolojia
133 subscribers
3.82K photos
4.55K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
︎ Teknolojia

mpango wake ni kuweza kushindana na kampuni ya Starlink toka Kwa Elon musk.

Satellite hizo ambazo zitakua zinafanya kazi ya kutoa mawasiliano kwa mifumo ya Ardhini kupitia mfumo wa mzunguko wa chini wa Dunia na Roketi za muungano wa Uzinduzi wa umoja kutoka cape Canaveral.
︎ Teknolojia

Satellite hizo ambazo zitakua zinafanya kazi ya kutoa mawasiliano kwa mifumo ya Ardhini kupitia mfumo wa mzunguko wa chini wa Dunia na Roketi za muungano wa Uzinduzi wa umoja kutoka cape Canaveral.
︎ Teknolojia

🚀 Sasa vipande viwili vilivyotharia ni vikubwa ambapo vyenye uzani karibu pauni 1,000 zinaweza kuanguka na kugonga Dunia kama kimondo,

💥 wataalamu wanasema Hatari kwa watu sio kubwa sana Lakini kwa sababu ya ukubwa wake inaweza kuleta madhara kwa namna fulani.
@Huduma

Inapanga kupeleka jumla ya satellite 3,000 mpaka kufikia mwaka 2026, ingawa bado iko nyuma sana kwani mtandao mkubwa wa Starlink wameweza kurusha zaidi ya satelaiti 7,200.
@Huduma

Hii ndo nguvu ya Pesa, Maendeleo na Teknolojia kwa ujumla

je unafikiri Kuna matajiri toka nchi Yetu Tanzania Mo dewji, GSM au Bakhresa wataweza kurusha satellite Angani tuachie maoni yako??
︎ Teknolojia

💨 Usb C electric cigarette lighter 😂

Washa sigara kwa kutumia cm yako😅🔥
︎ Teknolojia

💨 PIXEL MPYA 💥

▪️Pixel 9 (12+128) - 1.75M
▪️Pixel 9 (12+256) - 2.15M
▪️Pixel 9 Pro (16+128) - 2.4M
▪️Pixel 9 Pro (16+256) - 2.8M
▪️Pixel 9 Pro XL (16+128) - 2.5M
▪️Pixel 9 Pro XL (16+256) - 2.8M

USED DUBAI (Original Display)👇
▪️Pixel 6a (6+128) - 430K
▪️Pixel 7 (8+128) - 650K
▪️Pixel 7a (8+128) - 650K
▪️Pixel 8 (8+128) - 950K
▪️Pixel 8a (8+128) - 950K
▪️Pixel 8 Pro (12+128) - 1.1M

📍Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani 🚚
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
@Huduma

💨 NOTHING PHONE

▪️Phone 3a (12+256) - 1.25M
▪️Phone 3a Pro (12+256) - 1.45M

📍Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
@Huduma

💨Asante kwa kutuamini

@Njiwa_Store
@NjiwaFLow
Tunakufikia popote kwa uaminifu mkubwa sana
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

💨Viberiti na lighter za gas sasa basi😂😂
Hiki ni USB-C Electric Cigarette Lighter 🔥🔥
kifaa kidogo kinachotumia umeme kupitia USB Type-C kwa ajili ya kuwasha sigara.
Yaani unawasha sigara kupitia simu yako😂
Port za MacBooks za miaka ya 2008, 2010, 2012, 2014, 2016, 2018, 2021, na 2024
🆕 💻 Teaser mpya ya laptop za Microsoft Surface
︎ Teknolojia

𝗖𝗵𝗶𝗻𝗮 𝗻𝗶 𝗯𝗮𝗹𝗮𝗮 𝗺𝗶𝗲𝘇𝗶 𝗺𝗶𝘁𝗮𝗻𝗼 𝗻𝗱𝗮𝗻𝗶 𝘆𝗮 𝗺𝘄𝗮𝗸𝗮 𝟮𝟬𝟮𝟱 𝗶𝗻𝗮𝘁𝗶𝗸𝗶𝘀𝗮 𝘂𝗹𝗶𝗺𝘄𝗲𝗻𝗴𝘂

Kama umefanikiwa kuzifuatilia china kwa mwaka 2025 basi Kuna mambo mengi sana wamefanikiwa kuyafanya Leo nakusogezea china ni balaaa
@Huduma

Iwe inaongoza duniani katika uzalishaji wa roboti au kuweka rekodi katika nishati ya jua,

ushawishi wa China kwenye mazingira ya kimataifa ya viwanda unaongezeka kila siku.