Teknolojia
133 subscribers
3.82K photos
4.55K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
😂😂🙌 Influencer wengi wa matangazo ya TECNO, Infinix na Oppo wanatumia iPhone kurekodi matangazo ya simu ambazo sio iPhone 🙌
🆕 Tetesi zinaonyesha mwaka huu mfumo wa iPad wa iPadOS 19 utakuwa na features ambazo zinafanana na mfumo macOS ambao unatumika katika computer za Mac.

Apple itaweka mfumo wa Menu Bar na Stage Manager 2.0 katika mifumo ya iPad na itakuwa inafanana na mfumo wa kompyuta za Mac.
🆕 YouTube itaweka mfumo wa summary ya kutumia AI katika sehemu ya search

Kama mfumo wa AI Overview unavyofanya kazi katika mtandao wa Google
🆕 YouTube imeanza kujaribio ya mwonekano mpya wa Video Player yake ya video kwenye website. Hii ni mara ya kwanza kubadilisha mwonekano wa Video Player yake baada ya takriban miaka kumi

Vitufe vya Play/Pause, Next, na sehemu za video (chapters) zitakuwa na umbo la kona za duara
📊 Ripoti mpya za Meta - kuhusu maendeleo yake ya robo ya kwanza ya mwaka huu.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
⏯️ Wakaanga chips wanatumia sana feni kuchochea moto wa kukaanga chips.

Njia hii mpya imeshusha sana matumizi ya kutumia gesi, kwa sababu ubunifu huu unafanya moto kuwa mkali kwa gharama nafuu.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Firefox sasa imeweka sehemu mpya ya "tab groups
The feature arrives four years after Chrome, Safari and Edge’s versions.
🆕 Apple TV inalenga kuonyesha contents za platforms mbalimbali ili kushindana na Netflix na kuvutia watumiaji
︎ Teknolojia

𝗝𝗘 𝗠𝗢𝗢𝗗𝗘𝗪𝗝𝗜, 𝗚𝗦𝗠 𝗡𝗔 𝗕𝗔𝗞𝗛𝗥𝗘𝗦𝗔 𝗪𝗔𝗧𝗔𝗪𝗘𝗭𝗔 𝗞𝗨𝗥𝗨𝗦𝗛𝗔 𝗦𝗔𝗧𝗘𝗟𝗟𝗜𝗧𝗘 𝗔𝗡𝗚𝗔𝗡𝗜

Je unafikiri kwa matajiri wa Tanzania itawezekana kwani, baada Kampuni ya Amazon imetambulisha satellites zake mpya 27 za kwanza kwa projeti ya kuiper.... 👇🏾👇🏾
︎ Teknolojia

Lengo kubwa la Amazon ni kuweza kusambaza intaneti zenye Kasi zaidi kwa bei ndogo ulimwenguni kupitia mfumo wa satellite kupitia Uwekezaji wa zaidi ya Dola bilioni $10.
︎ Teknolojia

siku ya mei 10 2025,

💡 Chombo hicho kilisafirishwa kwa ajili ya kwenda kwenye Sayari ya Venus mwaka 1972, lakini kilipata changamoto wakati kinarushwa na kupelekea kukwama kwenye mzunguko wa Dunia.
︎ Teknolojia

𝗖𝗵𝗼𝗺𝗯𝗼 𝗰𝗵𝗮 𝗔𝗻𝗴𝗮 𝘇𝗮 𝗷𝘂𝘂 𝗦𝗼𝘃𝗶𝗲𝘁 𝗸𝗶𝗹𝗶𝗰𝗵𝗼𝗽𝗼𝘁𝗲𝗮 𝗺𝗶𝗮𝗸𝗮 𝟱𝟯 𝗸𝗶𝗻𝗮𝗮𝗻𝗴𝘂𝗸𝗮 𝗸𝘂𝗿𝘂𝗱𝗶 𝗱𝘂𝗻𝗶𝗮𝗻𝗶

Chombo cha Anga za juu Cha Soviet kilichorushwa zaidi ya miaka 53 iliyopita, kinaitwa Kosmos 482 hatimaye kinatarajia kurudi duniani.