〽︎ Teknolojia
𝗞𝘂𝗻𝗮 𝗺𝗮𝗯𝗮𝗸𝗶 𝘆𝗮 𝗥𝗼𝗸𝗲𝘁𝗶 𝘆𝗮 𝗔𝗻𝗴𝗮 𝘇𝗮 𝗷𝘂𝘂 𝘆𝗮𝗻𝗮𝘄𝗲𝘇𝗮 𝗸𝘂𝗮𝗻𝗴𝘂𝗸𝗮 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮 𝗻𝗮 𝗞𝗲𝗻𝘆𝗮
Kuna mabaki ya Roketi kubwa yataweza kushuka Nchini Kenya na Tanzania 😏
Threads ni Yako

💨Wakuu nani anataka hili tambo awe wa kwanza kuruka na brand kwa ukali?
💥NOTHING PHONE 3a SERIES 🔥
Phone 3a (12+256) - 1.25M
▪️Phone 3a Pro (12+256) - 1.45M
📍Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757

💨 Samsung S25 Ultra
▪️(12GB RAM, 256GB ROM) - 2.95M
▪️(12GB RAM, 512GB ROM) - 3.35M
📍KKKT Kariakoo | Mikoani 🚌
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
💨 Samsung S25 Ultra
▪️(12GB RAM, 256GB ROM) - 2.95M
▪️(12GB RAM, 512GB ROM) - 3.35M
📍KKKT Kariakoo | Mikoani 🚌
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
@Huduma
💨 JBL SPEAKER (Original💯)
▪️JBL Go 3 - 145K
▪️JBL Go 4 - 190K
▪️JBL Flip6 - 300K
▪️JBL Flip7 - 420K
▪️JBL Charger5 - 450K
▪️JBL Charger6 - 550K
▪️JBL XTRME3 - 700K
▪️JBL XTRME4 - 840K
📍Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1 utaingia ndani duka limeandikwa Njiwa

𝗡𝗮𝘀𝗮 𝗪𝗮𝗻𝗮 𝗯𝗮𝗹𝗮𝗮
Umeshawahi kujiuliza Usiku Pana onekanaje kwenye Sayari ya Mars
Threads ni Yako 🚀

⚡ ligi na Timu mbalimbali ukifanikiwa kucheza hii game utaweza kukutana na ushindani wa timu mbalimbali ulimwenguni
🚀 pamoja ligi Bora na zenye ushindani mkubwa kuanzia Premier league, La Liga, Germany, League One, Italia league, Arabic nk.

⚡ Unaweza kutengeneza formation yoyote unayoipenda na kuiweka kwenye timu yako pamoja na
kufanya mabadiliko unaweza sema unacheza pro Evolution soccer kwenye playstation au Kompyuta.

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
〽︎ Teknolojia
Kupitia Sayari ya Mars , utaweza kuiona Sayari ya Dunia Iko kama nyota angavu yenye rangi ya bluu inayongaa.
Video imenaswa na shirika la anga la Marekani @NASA ikionyesha jinsi Sayari ya Mars inavyoonekana Nyakati za usiku.

⚽ Moja kati ya Game nzuri ya kucheza kwa mwaka huu 2025 basi Hii Game inaitwa Efootball ni game nzuri ya mpira ambao watu wanacheza kupitia simu zao na kufurahia burudani.

🎮 Game hii ni muendelezo wa Game la mpira la Pro evolution soccer la mwaka 2010 na 2012 ,
baadae kampuni ya Konami ikaamua kubadilisha jina kuita Efootball ilikua mwaka 2021 ambapo game la kwanza la Efootball lilikua Linaitwa Efootball 2022.

💭 Game ili linapatikana kwa watumiaji wa simu za Android na iOS kwa ujumla kupitia soko la play store na app store. Nini kilichopo ndani ya hii Game 🎮

⚡ Unaweza kumnunua mchezaji yoyote toka timu yoyote au kumkodisha kwa mkopo
💭 bila kusahau kuchamgua Mwalimu unayempenda Kuna guardiola, Ancelloti, xabi Alonso, robin amorim , Vincent kompany nk.

⚡ Inakupa uwezo wa kuunda timu yako binafsi au kuchukua timu yoyote unayoipenda na kuitumia.
⚡ Unaweza kucheza kwa kutumia pad au kutachi kwenye kioo Cha simu yako ili kuweza kufurahia michezo mbalimbali.