Teknolojia
133 subscribers
3.82K photos
4.55K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
๐Ÿ†• Sehemu ya DM katika mtandao wa X/Twitter itaitwa โ€œXChatโ€

Baadhi ya watu wamepinga kwa sababu jina lake linafanana chats za mitandao ambayo haina maadili https://twitter.com/nima_owji/status/1910015526006616107#m
๐Ÿ†• WhatsApp imeanza kuruhusu watumiaji kuweka video yenye urefu wa zaidi ya Dakika 1 kwenye WhatsApp Status.

WhatsApp imeanza majaribio ya kuweka video ambazo zitakuwa na urefu wa sekunde 90 (Dakika 1 na sekunde 30) katika sehemu ya WhatsApp Status.
๐Ÿ‘1
โ€ข ๐—ฃ๐—ถ๐˜…๐—ฒ๐—น 9, 8, 7, 6, Fold, Tablet
โ€ข ๐—›๐—ข๐—ก๐—ข๐—ฅ โ€“ Magic 7 Pro
โ€ข ๐—Ÿ๐—ฒ๐—ป๐—ผ๐˜ƒ๐—ผ โ€“ YOGA Tab Plus
โ€ข ๐—ข๐—ป๐—ฒ๐—ฃ๐—น๐˜‚๐˜€ โ€“ OnePlus 13
โ€ข ๐—ข๐—ฃ๐—ฃ๐—ข โ€“ Find X8
โ€ข ๐—ฟ๐—ฒ๐—ฎ๐—น๐—บ๐—ฒ โ€“ GT 7 Pro
โ€ข ๐˜ƒ๐—ถ๐˜ƒ๐—ผ & ๐—ถ๐—ค๐—ข๐—ข โ€“ X200 Pro, iQOO 13
โ€ข ๐—ซ๐—ถ๐—ฎ๐—ผ๐—บ๐—ถ & ๐—ฅ๐—ฒ๐—ฑ๐—บ๐—ถ โ€“ 14T Pro, 15, K70 Ultra
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ Nubia Z70S Ultra
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ NEW ARRIVAL NEW ARRIVAL๐Ÿ’ฅ

๐Ÿ’ฅREDMI 5A ๐Ÿ’ฅ

Redmi A5 Specifications
โ–ช๏ธ Camera: 32MP
โ–ช๏ธ Storage: 64GB
โ–ช๏ธ RAM: 3 GB
โ–ช๏ธ Battery Capacity: 5200mAh ๐Ÿ‘‡

๐Ÿ’ฅPRICE: 250,000

๐Ÿ“ Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo
๐Ÿ“ Roundabout ya Samaki Mwanza
@Njiwa_Store
๐Ÿ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จHonor GT Pro โšช
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ JBL SPEAKER (Original๐Ÿ’ฏ)

โ–ช๏ธJBL Go 3 - 145K
โ–ช๏ธJBL Go 4 - 190K
โ–ช๏ธJBL Flip6 - 300K
โ–ช๏ธJBL Flip7 - 420K
โ–ช๏ธJBL Charger5 - 450K
โ–ช๏ธJBL Charger6 - 550K
โ–ช๏ธJBL XTRME3 - 700K
โ–ช๏ธJBL XTRME4 - 840K

๐Ÿ“Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1 utaingia ndani duka limeandikwa Njiwa
@Njiwa_Store
๐Ÿ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿš€Ili kuongeza athari hadi usiku, chupa hizi sasa zinaimarishwa kwa taa za LED zinazotumia nishati ya jua, na kutoa mbadala safi na wa bei nafuu kwa taa hatari za mafuta ya taa.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

โšก Kwenye jamii Yetu tunajua umeme ni kitu muhimu, ila uvumbuzi huu umepelekea teknolojia kuzidi kushika Kasi sana,

baada ya kubadilisha takataka kuwa hazina kwa kuweza kubadilisha chupa kuu za Plastiki kuwa vyanzo endelevu vya kutoa Mwanga.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Vipande hivyo vinatarajiwa kushuka siku hii ya jumamosi Tarehe 19 au 20 kuanzia Jumamosi, Aprili 19, saa 7:29 asubuhi hadi Jumapili, Aprili 20, saa 3:01 jioni.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Nchini Kenya shirika la anga la Kenya (Ksa) lilitoa tahadhari kuhusu uwezekano wa kuanguka mabaki ya chombo cha Anga

chenye jina la NORAD ID 61909 / 2024 -2025 R ni kipande kikubwa cha Roketi chenye uzito usiojulikana.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐—ž๐˜‚๐—บ๐—ฏ๐—ฒ ๐—ฐ๐—ต๐˜‚๐—ฝ๐—ฎ ๐˜‡๐—ฎ ๐—ฝ๐—น๐—ฎ๐˜€๐˜๐—ถ๐—ธ๐—ถ ๐˜‡๐—ถ๐—น๐—ถ๐˜‡๐—ผ๐—ท๐—ฎ๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐˜‡๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐—ผ๐—ฎ ๐— ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ ๐—ฏ๐—ถ๐—น๐—ฎ ๐˜‚๐—บ๐—ฒ๐—บ๐—ฒ ๐—บ๐—ฎ๐—ท๐˜‚๐—บ๐—ฏ๐—ฎ๐—ป๐—ถ

Umeshawahi kufikiria hii Teknolojia maisha Mwako yani kupitia chupa yenye maji inakupa Mwanga.

Threads ni Yako ๐Ÿ™ƒ
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Ugunduzi huu unaweza kupeleka mamilioni ya Watu kuweza kupata Mwanga kwenye nyumba zao bila kutumia Umeme hata Maeneo ambayo umeme haujafika.

Unasemaje Teknolojia hii ikiletwa Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ tuachie maoni yako?
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿพ Kupitia chupa ya plastiki, maji na bleach, chupa hizi muundo wake ziko kama balbu za jua zenye kutoa Mwanga mkali bila kutumia umeme wa kawaida.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Taarifa iloyotolewa ijumaa shirika hilo lilieleza kuwa vipande hivyo vya Roketi kutoka kundi la Roketi za molekuli isiyojulikana

vinatarajiwa kuruka katika eneo la Kaskazini Mashariki hadi Kusini Mashariki mwa Kenya kuelekea Tanzania na zaidi kusini.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐ŸงŽ๐Ÿพ Kutana na Mwanaume mmoja toka Ufilipino alianzisha Teknolojia ya kipekee yenye kupelekea kuleta vuguvugu la kimataifa baada ya kuleta Mwanga kwenye nyumba yake bila kutumia umeme.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐—ž๐˜‚๐—ป๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ฏ๐—ฎ๐—ธ๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ฅ๐—ผ๐—ธ๐—ฒ๐˜๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—”๐—ป๐—ด๐—ฎ ๐˜‡๐—ฎ ๐—ท๐˜‚๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฎ๐—ป๐—ด๐˜‚๐—ธ๐—ฎ ๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—ž๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฎ

Kuna mabaki ya Roketi kubwa yataweza kushuka Nchini Kenya na Tanzania ๐Ÿ˜

Threads ni Yako